Mkuu Wa Wilaya Ya Kahama Awawema Maabusu Afisa Mazingira Wa Halmashauri Na...
Mkuu wa wilaya ya Kahama FADHILI NKULU amewaweka mahabusu afisa afya wa halmashauri ya mji wa Kahama JOHANNES MWEIBESA na Afisa mtendaji wa kata ya Nyasubi INNOCENT EPHRAIM kwa kushindwa kusimia zoezi...
View ArticleWawili Wafikishwa Mahakamani Wilayani Kahama Kwa Tuhuma ya Kutishia Kuua
Wakazi wa UBILIMBI wilayani KAHAMA, MAKOYE BAKWEYA na JOHN CHARLES jana wamefikishwa katika mahakama ya wilaya kujibu shitaka la kutishia kumuua MAYOMBO NKWABI mkazi wa MAJENGO,SOKOLA mjini Kahama....
View ArticleTASAF Mkoa Wa Shinyanga Yaomba Msaada Kuhakiki Kaya Zilizoingizwa Katika...
Jamii imeombwa kutoa ushirikiano kwa wasimamizi wa mpango wa kunusuru kaya masikini TASAF III mkoani Shinyanga, katika kuhakiki kaya zisizo na sifa ambazo ziliingizwa katika mpango huo kimakosa....
View ArticleKinana atoa Masharti Endapo Rais Magufuli Atamhitaji Aendelee Kuwa Katibu...
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ametoa neno endapo Rais John Magufuli atamhitaji kuendelea na wadhifa huo, huku akibainisha kuwa amekutana na changamoto nyingi katika...
View ArticleLowassa Ataka Mbowe alindwe kama nyuki wanavyomlinda malkia wao
ALIYEKUWA mgombea urais kupitia mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa amewataka vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumlinda Mwenyekiti wa chama hicho,...
View ArticleVigogo Ofisi ya Waziri Mkuu kortini kwa wizi
MAOFISA Ugavi wanne wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kitengo cha Maafa), wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kwa madai ya kuiba mali za ofisi hiyo zenye thamani ya Sh...
View ArticleNCCR wamtimua makamu Mwenyekiti wa Chama
Chama cha NCCR – Mageuzi kimemvua uanachama makamu mwenyekiti wake (Bara), Leticia Ghati (pichani) kikimtuhumu kujihusisha na migogoro ndani ya chama na tuhuma nyingine za kijinai. Mwenyekiti wa chama...
View ArticleCHADEMA Wafungua kesi mahakama ya Afrika Mashariki dhidi ya Serikali
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana kimefungua rasmi kesi dhidi ya Serikali katika mahakama ya Afrika Mashariki kupinga zuio la kufanya mikutano ya hadhara ya kisiasa.Naibu Katibu Mkuu wa...
View ArticleKikwete Akata Mzizi wa Fitina... Awapiga Kijembe Waliodhani CCM Itakufa
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais mstaafu Jakaya Kikwete, amekata mzizi wa fitna kwa kutangaza rasmi kuwa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM, utakaofanyika mjini Dodoma kesho utafanya...
View ArticleZuio la Mikutano ya Kisiasa ni Kumyima Mwanchi Uhuru wa Haki ya Kujumuika-...
Serikali imetakiwa kufanya marekebisho ya sheria mbalimbali ambazo zimeonekana kuwa kandamizi ikiwepo ile sheria za vyombo vya habari ambazo zinakandamiza uhuru wa vyombo vya habari pamoja na waandishi...
View ArticleSerikali Yaifuta Bodi ya Ushirika Kagera... Yawasimamisha Kazi Mameneja...
Bodi ya Chama Kikuu cha Ushirika Mkoani Kagera, Kagera Co operative Union 1990 LTD (KCU) pamoja na Meneja Mkuu wa Chama hicho na Mrajisi Masidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoani Kagera wamesimamishwa kazi...
View ArticleKatibu Mkuu Chadema Dkt Vicent Mashinji Awafunda Bavicha... Awapatia Mbinu za...
Katibu Mkuu Chama cha Demokrasia na Maendeleo Dkt Vicent Mashinji amewataka vijana wa Bavicha kutokuwa wazembe wakufikiria bali kujipanga kwa ajili ya kushika dola mwaka wa uchaguzi mkuu 2020 huku...
View ArticleWananchi Wa Msalala Kahama Watakiwa Kulinda Miundo Mbinu Ya Maji Na...
WAKAZI wa Kata ya Isaka, Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga, wametakiwa kuilinda miundo mbinu ya mradi wa maji ulioko katika kata hiyo na kuwafichua waharibifu wake, ili kuuwezesha...
View ArticleJeshi La Polisi Shinyanga Kumaliza Vitendo Vya Uhalifu Mkoani Humo Na Kutoa...
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga limeanzisha utaratibu wa kila mwezi kubaini askari mfanyakazi bora, na kumpa zawadi huku anayefanya kazi vibaya kumchukulia hatua ili kuleta ufanisi katika jeshi hilo,...
View ArticleUtafiti : Harufu ya KUKU Inazuia Maambukizi ya Ugonjwa wa Malaria
Je unaogopa kuambukizwa na ugonjwa wa malaria ?Ikiwa jibu lako ni ndio basi nakupa ushauri nasaha,, Fuga kuku !Utafiti umebaini kuwa ,harufu ya kuku inaweza kukulinda dhidi ya maambukizi ya...
View ArticleHuyu Ndio Mwanaume Anayelipwa Ili Awatoe Bikra Watoto Wa Kike
Habari hii imeripotiwa na BBC Swahili kuhusu jamii moja nchini Malawi ambayo haithamini ubikira wa watoto wao wa kike.BBC Swahili wameripoti kuwa katika jamii hiyo wazazi wanamlipa mwanaume kumbikiri...
View ArticleKutana Na Boti Hizi Zinazotumia Umeme Wa Mionzi Ya Jua
Sayansi na teknolojia inazidi kukua kwa kasi na katika pitapita zangu leo nimekutana habari ya boti za solar . Boti hizi kutumia umeme wa mionzi ya Jua (Solar Power) katika nchi mbalimbali duniani...
View Article