VIDEO: Maelezo Ya DK 4, Ndugu Aelezea Dakika Za Mwisho Kabla Ya KUNDAMBANDA...
Leo July 22 2016 taarifa za kifo cha msanii wa filamu za Comedy Ismail Issa Makombe ambaye wengi tunamfahamu kwa jina la ‘Kundambanda’ zimeanza kuenea, taarifa rasmi kutoka kwa ndugu wa karibu wa...
View ArticleKesi za Uhujumu Uchumi zaigiza Bilioni 29
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe amesema Mahakama Kuu chini ya kitengo kinachosimamia kesi za kuhujumu uchumi imetoa adhabu ya kifungo na kulipa faini ya Sh29 bilioni kwa watu 12 baada...
View ArticleUtiaji Saini Makubaliano Ya Awali Ya Ujenzi Wa Reli Ya Kati (Standard Gauge)
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo imetiliana saini na Benki ya Exim ya China makubaliano ya awali ya ujenzi wa reli ya kati kwa kiwango cha kisasa (Standard Gauge).Makubaliano hayo ya...
View ArticleProgramu za vyuo vikuu ambazo hazijasajiliwa na TCU na NACTE kufutwa
Na: Lilian Lundo -Maelezo Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Bi. Maimuna Tarishi ameitaka Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi...
View ArticleKikwete Aongoza Kikao Cha Halmashauri Kuu Ya Taifa Ya CCM Mjini Dododma...
JAKAYA Kikwete, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) anayemaliza muda wake amemtahadharisha mwenyekiti mtarajiwa wa Chama hicho John Magufuli kwa kumweleza kuwa uenyekiti ndani ya CCM siyo lelemama...
View ArticleRipoti ya Jeshi la Polisi Dar es Salaam Baada ya Kumalizika kwa zoezi la...
Jeshi la Polis kanda Maalumu jijini Dar es salaam limekamata watuhumiwa sugu 1,065 kwa makosa mbalimbali yakiwemo unyang’anyi wa kutumia nguvu, wizi wa maungoni, wapiga debe, wavuta bangi, kikosi cha...
View ArticleAlichokisema Rais Magufuli Baada ya Kuchaguliwa Kuwa Mwenyekiti wa CCM
MWENYEKITI wa tano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Magufuli, amewaomba wanachama wa chama hicho kumuombea kwa Mungu ili apate uvumilivu wa mtangulizi wake, Mwenyekiti mstaafu, Jakaya...
View ArticleAlichokiandika Zitto Kabwe baada ya Rais Magufuli kupewa uenyekiti wa CCM
Jana July 23 2016 Rais John Pombe Magufuli alikabidhiwa rasmi nafasi ya uenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM baada ya kupigiwa kura za ndio 2398 kutoka kwa wanachama wa chama hicho ambapo hakuna...
View ArticleKinana Ajiuzulu... Achaguliwa Tena mbele ya Mkutano Mkuu Kuwa Katibu Mkuu wa CCM
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ameandika barua ya kujiuzulu nafasi hiyo kwa Mwenyekiti mpya wa CCM, Rais John Magufuli, lakini Rais amekataa barua yake hiyo.Badala yake, Rais Magufuli amemtaka...
View ArticleLowassa na Sumaye Wapewa MAKAVU Ndani ya Mkutano wa CCM ... Mpendazoe Ahamia...
VIGOGO mashuhuri wa Chadema waliowahi kuwa mawaziri wakuu; Edward Lowassa na Frederick Sumaye, jana waligeuka gumzo ndani ya Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kumchagua Rais John...
View ArticleMwigizaji Jackline Wolper atangaza kuhama CHADEMA na kijiunga na CCM
Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania Jackline Wolper aliyakuwa akimuunga mkono Edward Lowassa katika uchaguzi Mkuu 2015, ametangaza kujiunga na CCM rasmi janaWolper alikaribishwa na mwenyekiti...
View ArticleWasanii Wamlilia Kikwete Walipokuwa Wakimuaga Kwa Kustaafu Uwenyekiti Wa...
Wasanii wa Bongo Movie na muziki wa kizazi kimpya wamesema watamkumbuka sana Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Jakaya Kikwete kwa msaada aliyowapatia kipiti cha utawala wake akiwa Rais na Mwenyekiti wa chama...
View ArticleMsindai : Nimerudi CCM Kwa Kuwa Sasa Hakuna Cha Kupinga
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida na baadaye kuhama chama na kujiunga na CHADEMA, Mgana Msindai ametangaza kurudi CCM.Msindai alitangaza uamuzi huo jana mjini Dodoma baada ya kupewa nafasi na...
View ArticleKauli ya CHADEMA baada ya wanachama wake kutangaza kujiunga CCM
Wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM jana mjini Dodoma, Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) kiliwapoteza wanachama wake watatu baada ya kutangaza rasmi kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).Wanachama...
View ArticleAskofu Gwajima Amjibu Yusuf Makamba... Asema Sio Saizi Yake
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amemjibu katibu mkuu wa zamani wa CCM, Yusuf Makamba aliyemtuhumu kuwa ni mwongo akisema leseni yake ni ya kuendesha magari makubwa na siyo...
View ArticleVikongwe Wawili Wauawa Kwa Tuhuma Za Uchawi
Vikongwe wawili mke na mumewe wa Kitongoji cha Nyag’holongo, Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, wameuawa kwa kutumia silaha za jadi na watu wasiojulikana wakituhumiwa kuwa ni wachawi. Kaimu Kamanda wa...
View ArticleDiwani Akwepa Risasi Sita Akipambana Na Majambazi Moshi
Diwani wa Kata ya Kiborlon (Chadema) katika Manispaa ya Moshi, Frank Kagoma ameonyesha ujasiri wa hali ya juu alipopambana na majambazi waliokuwa na silaha za moto. Alinusurika kuuawa baada ya...
View ArticleMtandao wa haki za binadamu walia na Jeshi la Polisi
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) umelitaka Jeshi la Polisi mkoani Arusha kuwafikisha mahakamani wanachama wake wanne linaowashikilia kwa siku 12 sasa. Mtandao huo umedai kuwa watu saba...
View ArticleRais Magufuli Mgeni Rasmi Katika Sherehe Za Mashujaa Dodoma Leo
AMIRI Jeshi Mkuu, Rais John Magufuli atakuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Kitaifa, yatakayofanyika mjini Dodoma leo.Hiyo itakuwa ni mara ya kwanza kwa maadhimisho hayo kufanyika...
View Article