Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hii Ndio Kauli Ya Rais Magufuli Kuhusu Amani Aliyoitoa Leo Katika Maadhimisho...

July 25 2016 Serikali ya Tanzania imefanya maadhimisho ya siku ya mashujaa ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Rais John Pombe Magufuli alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho hayo yaloiyofanyika kitaifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu; Naagiza Mawaziri wote kuhamia Dodoma mara moja

Kila ifikapo July 25 ya kila mwaka Tanzania huadhimisha siku ya mashujaa ikiwa kwa mara ya kwanza July 25 2016 maadhimisho hayo yamefanyika kitaifa katika mkoa wa Dodoma ambapo pia mgeni rasmi alikuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tazama Video ya Sentensi za Rais Magufuli Alizozitoa Leo Kuhusu Mashujaa...

Kila ifikapo July 25 ya kila mwaka Tanzania huadhimisha siku ya mashujaa ikiwa kwa mara ya kwanza July 25 2016 maadhimisho hayo yamefanyika kitaifa katika mkoa wa Dodoma ambapo pia mgeni rasmi alikuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pitia Hapa Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Jumanne Julai 26,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha: Rais Magufuli alivyoisindikiza siku ya mashujaa Dodoma Jana

Rais John Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi na Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein katika Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zitto Kabwe na Maalim Seif Kutua Marekani kwa Clinton

ZITTO Kabwe na Maalim Seif Sharif Hamad kwa pamoja wameitwa jijini Philadelphia, Marekani.Maalim Seif ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) ambapo Zitto ni Kiongozi Mkuu wa Chama cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kikao Cha RCC Shinyanga Chapitisha Makao Makuu ya Msalala Kuwa NTOBO, ISAKA...

Jumatatu Julai 25,2016 kumefanyika kikao cha dharura cha Kamati ya Ushauri mkoa wa Shinyanga katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga ambacho kimehudhuriwa na viongozi mbalimbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wabunge chadema kuhojiwa kwa kukiuka agizo la kutofanya mikutano

Jeshi la polisi mkoani Arusha, limewaita kwa mahojiano, mbunge wa Karatu,Wilbroad Qambalo, mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Arusha, Cecilia Paresso na Mwenyekiti wa halmashauri ya Karatu,Jubilate Mnyenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hatua iliyochukuliwa na serikali kuhusu madereva 18 waliogoma Bukoba

JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani nchini kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imesitisha leseni za madereva 18 kutokana na mgomo walioufanya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa kuhusu uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Iringa juu ya mauaji ya Daudi...

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Iringa imemtia hatiani askari Polisi, Pacificius Cleophace Simoni, kwa kosa la mauaji ya bila kukusudia ya mwanahabari Daudi Mwangosi yaliyotokea Septemba 2 mwaka 2012 katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mshtakiwa wa Kuiba Milioni 7 kwa dakika Aongezewa Kesi Nyingine

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) leo inatarajiwa kuwapandisha kizimbani wafanyabiashara wawili akiwemo Mohamed Mustafa Yusufali ‘Choma’ aliyewahi kutajwa kuwa anajipatia Sh milioni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mchungaji Anthony Lusekelo Adai Lowassa ni Tishio CCM... Asema Uchaguzi...

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) la Ubungo jijini Dar es Salaam, Anthony Lusekelo maarufu ‘Mzee wa Upako’ amesema kitendo cha viongozi wa CCM kulitaja zaidi jina la Edward Lowassa katika Mkutano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pitia Hapa Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Jumatano Julai 27,2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kikwete: Nashukuru Mungu Kwa Kuutua Mzigo Salama Huku Nikiiacha Nchi Ikiwa...

Na David John PwaniMWENYEKITI Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt.Jakaya Kikwete amesema anashukuru Mungu Kwa kuutua mzigo salama huku akiicha nchi ikiwa salama tulii kabisa.Amesema kuwa safari yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha: Zitto na Maalim Seif walivyokutana kwenye mkutano Marekani

Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad wamekutana Katika Mkutano Maalum wa Viongozi wa Kisiasa Ulimwenguni (International...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) yamkubali Rais Magufuli Na Kumuahidi...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  tarehe 26 Julai, 2016 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Frannie Leautier...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu Aongoza kikao cha wadau kujadili utekelezaji wa Serikali kuhamia...

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema uamuzi wa Serikali kuhamia siyo siasa kama watu wanavyodhani bali ni utekelezaji wa maamuzi kamili na kwamba Serikali inakamilisha eneo la kisheria juu ya uamuzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ajali: Basi la UDA lagonga Treni Kariakoo, Mmoja Afariki, 45 Wajeruhiwa

Basi la UDA lenye namba za usajili T 696 CVP limegonga treni katika eneo la Kamata Jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo  wakati Basi hilo likotokea stendi ya Gerezani Kariakoo kuelekea Mbagala na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Majambazi sasa kukamatwa kielektroniki, Wananchi Kuandikishwa Majina Kila...

SERIKALI imeanza mkakati mpya wa kuandikisha wananchi waliopo kwenye vijiji na vitongoji kwa njia ya kielektroniki ili kupata takwimu sahihi zitakazosaidia utoaji wa huduma bora kwa jamii.Pia mfumo huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara ya Kilimo yatangaza kuhamia Dodoma wiki ijayo

KATIKA kutekeleza agizo la Rais John Magufuli la kutaka serikali kuhamia Dodoma, Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk Charles Tizeba amesema watendaji wa wizara hiyo wataanza kuhamia Dodoma kuanzia...

View Article
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live