Haji Manara Amuombea Msamaha Jerry Muro Kwa Rais Wa TFF
Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba Haji Sunday Manara amejitokeza kwa mara ya kwanza kumuombea msamaha mtani wake Jerry Muro ili kuifufua upya hamasa na kuongeza ushindani...
View ArticleTFF Yasema Mechi ya Simba na Yanga iko palepale
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa mechi ya ligi kuu Tanzania Bara ya mzunguko wa pili kati ya Simba na Yanga iliyokuwa imepangwa kuchezwa Februari 18 mwaka 2017 iko palepale kwa kuwa bado...
View ArticleRatiba ya michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza Disemba 30
Pazia la Mashindano ya Kombe la Mapinduzi linatarajiwa kuanza kutimua vumbi lake Disemba 30, 2016 katika uwanja wa Amaan saa 2:15 Usiku ambapo kutakuwa na mchezo wa Derby ya Jangombe kati ya Taifa ya...
View ArticleWimbo Ambao Kenya Inataka Uondolewe Mtandaoni Kwa Kudhalilisha Dini unaoitwa...
Gazeti la Kenya liitwalo taifa leo limeripoti kwamba bodi ya filamu kwenye nchi hiyo imehuzunishwa na Msanii wa muziki wa Injili SBJ kuimba wimbo wa Injili ambao unadhalilisha Imani.Wimbo wenyewe...
View ArticleHapi Aishika Pabaya Kampuni Ya Zantel, Yalipa Mapato Zaidi Ya Milioni 687...
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Zantel Tanzania imelipa zaidi ya Sh milioni 687 baada ya kupewa siku saba na halmashauri hiyo iwe imelipa fedha hizo ambazo zilikuwa za kodi ya pango inazodaiwa na...
View ArticleWatu 7 Wafikishwa Mahakamani kwa kumchoma mkuki mdomoni mkulima
POLISI mkoani Morogoro imewafikisha mahakamani watu saba kati ya 12, kujibu tuhuma za kumjeruhi kwa kumchoma mkuki mdomoni hadi kutokea shingoni, Augustino Mtitu (35).Walipandishwa kizimbani jana...
View ArticleMapya Yaibuka Sakata la Kijana Aliyefariki Baada ya Nyoka wake Kuuawa na...
Tukio la kushangaza lililohusishwa na kifo cha Denis Komba (24) baada ya nyoka aliyekuwa naye kuuawa, limechukua sura mpya baada ya mambo kadhaa kuibuka.Hayo ni pamoja na familia kudai mzoga wa nyoka...
View ArticleMikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya yaongoza kwa maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI
Kutokana na maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi kupungua kwa asilimia 50 duniani kote na kupelekea watu milioni 2.1 tu kuambukizwa Virusi vya Ukimwi katika mwaka 2015,kumeibua matumaini mapya ya kuwa...
View ArticleMke wa anayedaiwa kutobolewa macho na ‘Scorpion’ atoa ushahidi Mahakamani
Stara Sudi, mke wa Saidi Mrisho ameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala, jinsi alivyoshtuka baada ya kupokea simu aliyopiga mumewe kuwa amevamiwa na kuchomwa visu machoni, mgongoni na tumboni. Akiongozwa...
View ArticleWassira akimbilia Mahakama ya Rufaa kumpinga Bulaya
WAZIRI mwandamizi wa serikali ya Tanzania kwa awamu nne za uongozi, Stephen Masato Wassira, kupitia kwa wafuasi wake watatu, amekata rufaa Mahakama ya Rufaa, akipinga uamuzi wa Mahakama Kuu kwa...
View ArticleBodi ya Mikopo yawatosa Watanzania wanaosoma China
Watanzania waliopata ufadhili wa kusoma nchini China, hawatapata mikopo baada ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kuwaondoa kwenye orodha ya wanufaika. Taarifa iliyotolewa na HESLB,...
View ArticleAliyemkashifu Mtume Z’bar Kufikishwa Kortini
JESHI la Polisi Zanzibar linatarajia kumfikisha mahakamani mtu anayedaiwa kumkashifu Mtume Muhammad (S.A.W).Mtuhumiwa huyo, Dk. Abdallah Saleh Abdallah (50), mkazi wa Kikwajuni mjini Unguja, baada ya...
View ArticleAmuua Rafiki Yake, Ala Ubongo wake na Sehemu Za Siri
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya, linamshikilia mchimba dhahabu, Shija Salum (38), mkazi wa Kahama mkoani Shinyanga kwa tuhuma za kumuua rafiki yake na kula ubongo wake.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,...
View ArticleRais Magufuli Ashiriki Msiba Wa Mzee Maarufu Wa Chato Admirabilis Mbabe...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Desemba, 2016 ameungana na wananchi wenzake Wilayani Chato mkoani Geita kutoa pole kutokana na kifo cha Mzee Admirabilis...
View ArticleUfafanuzi kuhusu taarifa za kukamatwa kwa Watanzania wanaodaiwa ni majasusi...
Baadhi ya Vyombo vya habari vya hapa nchini hivi karibuni vilitoa taarifa kuwa, Watanzania 8 wanaodaiwa kuwa ni majasusi wa Serikali ya Tanzania wamekamatwa nchini Malawi kwa tuhuma za kuingia kwenye...
View ArticleBondia Francis Cheka Atangaza Ramsi Kustaafu Ngumi
Bondia maarufu nchini Tanzania Francis Cheka, jana ametangaza rasmi kustaafu mchezo wa msumbwi kwa kile alichokieleza ni ubabaishaji wa ma-promota pamoja na kutopata faida katika mchezo huo.Cheka...
View ArticleWashitakiwa Wanne Mauaji wa Dr. Mvungi Waachiwa Huru
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru washitakiwa wanne kati ya 10 waliokuwa wanakabiliwa na mashitaka ya mauaji ya bila kukusudia ya aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk...
View ArticleWaziri Mkuu: Wasichana Waachwe Wasome
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuwalinda watoto wa kike na ndiyo maana inasisitiza waachwe wasome hadi wamalize kidato cha sita.Alitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti wakati...
View ArticleDC Singida Aagiza Atakayeugua Kipindupindu Afikishwe Mahakamani Kujibu Tuhuma...
Na Nathaniel Limu, SingidaWatu wawili wakazi wa jimbo la Singida Kaskazini mkoani Singida, wamefariki dunia baada ya kuugua ugonjwa hatari wa Kipindupindu unaotokana na uchafu.Akizungumza na mwandishi...
View ArticleBaba Adaiwa kumlawiti mtoto wake wa kiume
Mwanamume mwenye miaka 45 Yohana Omari anatafutwa na Polisi kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 16, kwa zaidi ya miaka miwili. Omari ametoroka baada ya kupata taarifa kuwa...
View ArticleJela maisha kwa kupora simu ya Sh110,000 na kujeruhi
Kesi ya wizi wa simu aina ya Tecno iliyochukua takriban miaka miwili mahakamani, imefika tamati kwa mtuhumiwa kufungwa maisha jela. Hukumu hiyo ilifikiwa jana katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, baada...
View ArticleViongozi Chadema Arusha Wakamatwa Na Polisi
JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu 12, wakiwemo viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Arusha.Viongozi hao walikamatwa kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha,...
View Article