Waziri Mkuu Apiga Marufuku wanafunzi kutumia viberit na mishumaa mabwenini
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amepiga marufuku matumizi ya viberiti, mishumaa na hita za kuchemshia maji kwa wanafunzi wa bweni ili kuepusha majanga ya moto na atakayekutwa, atachukuliwa hatua...
View ArticleKikwete Akubali Ombi La Mheshimiwa Rais Fikipe Nyusi Wa Msumbiji Kushiriki...
Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amepokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Filipe Nyusi.Ujumbe huo uliwasilishwa jana jijini Dar es Salaam na Mjumbe Maalum wa Rais...
View ArticlePAUL Makonda Afunguka na Kutolea Ufafanunuzi Kauli yake ya Kukamata Watu...
Jukumu la Ulinzi na Usalama kwa ngazi ya chini lipo chini ya Serikali za Mitaa baada ya Serikali Kuu kuhamishia madaraka yake huko likiratibiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ambaye...
View ArticleHatima ya Abdulrahman Kinana mikononi mwa Rais Magufuli
HATIMA ya nani atakuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ipo mikonini mwa mwenyekiti mtarajiwa Rais Dk. John Magufuli, ambaye sasa yupo mbioni kukabidhiwa mikoba ya chama hicho.Nafasi hiyo kwa...
View ArticleAskofu Gwajima Aibuka... Azungumzia Sakata lake Kanisani, Msaidizi wake...
KIONGOZI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima, amefunguka kwa kuelezea safari yake aliyoifanya nje ya nchi hivi karibuni, baada ya taarifa mbalimbali kudai kuwa alilikimbia Jeshi la...
View ArticleJukwaa Huru la Wazalendo Lalaani Maamuzi ya Meya wa Dar es salaam
Siku chache baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kutoa agizo la msako wa nyumba hadi nyumba ili kuwabaini watu wasio na kazi maalum, Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita aliibuka na...
View ArticleChenge Akaidi Agizo la Jeshi la Polisi
Agizo la Jeshi la Polisi nchini la kusitisha kufanyika kwa mikutano ya hadhara ya kisiasa imeonekana kutoathiri ratiba za Mbunge wa Bariadi, John Chenge ambaye ameendelea na mikutano ya hadhara jimboni...
View ArticleUmoja wa Vijana wa Chama cha Wananchi (JUVICUF) Wataka Halmashauri...
UMOJA wa Vijana wa Chama cha Wananchi (JUVICUF), umeapa kutotoa ushirikiano wa kikazi kwa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walioteuliwa na Rais John Magufuli ambao wanatoa matamko yasiyo na tija...
View ArticleNaibu Makamishna wa Polisi (DCP) na Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Naibu Makamishna wa Polisi (DCP) na Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi (SACP) na Viongozi mbalimbali wa Serikali...
View ArticleRais Magufuli atema cheche Wakati akiwaapisha makamishna wa polisi waliopanda...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewataka Makamishna Wasaidizi Waandimizi na Mananibu Kamishna wa Jeshi la Polisi kufanya kazi kwa bidii zote bila ya kumuogopa mtu...
View ArticleRais Magufuli aibua ufisadi mwingine wa mabilioni ya shilingi ndani ya Jeshi...
Rais Magufuli amelitaka Jeshi la Polisi kujiepusha na vitendo vya rushwa ambavyo vilinafanya jeshi hilo kukosa heshima katika jamii huku akisema kuwa ana taarifa za jeshi hilo kuingia katika...
View ArticleKiwanda Cha Nguo Cha 21st Century Chateketea Kwa Moto Huko Morogoro
BAADHI ya mitambo, nguo na malighafi katika Kiwanda cha Nguo cha 21st Century kilichopo Kihonda, Morogoro vimeteketea kwa moto na kusababisha hasara.Akizungumzia moto huo Clement Munisi, meneja...
View ArticleRais Magufuli Akataa Kuwapandisha vyeo Maofisa 17 wa Polisi
Rais John Magufuli, amekataa kuwapandisha vyeo maofisa 17 wa polisi waolipendekezwa na amewapa nafasi ya kujipanga zaidi. Rais Magufuli aliwapandisha vyeo maofisa 60 kuanzia Jumamosi iliyopita, kati...
View ArticleMakonda: Mashoga wanataka kuniangamiza
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema tangu alipotangaza kuanza kukamatwa kwa mashoga, amebaini kuna mkakati unawaohusisha watu hao zaidi ya 150 kutaka kumwangamiza.Kauli hiyo aliitoa...
View ArticlePolisi Warudisha Vifaa vya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC)...
Baada ya vifaa vyao vya ofisi zikiwamo kompyuta 25 kushikiliwa na polisi kwa miezi 10, hatimaye jana Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamerejeshewa. Oktoba mwaka jana, polisi walikwenda...
View ArticleMrema Ataka Watanzania Waupime Utendaji Kazi wake Baada ya Siku 100
Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Msamaha kwa Wafungwa (Parole), Augustine Mrema amemmwagia sifa Rais John Magufuli huku akiwataka Watanzania kumpa siku 100 aonyeshe mabadiliko katika magereza nchini....
View ArticleBavicha: Msimamo Wetu ni Ule Ule, Lazima Nasisi Tufanye Kikao Chetu Dodoma
Ikiwa zimebaki siku tatu kabla ya Mkutano Mkuu wa CCM kufanyika, Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) limesema azma yao ya kufanya kikao chao cha kamati ya utendaji mjini Dodoma ipo palepale. Julai...
View ArticleWaziri Mkuu Majaliwa: Maliasili Na Utalii Jipangeni Vizuri
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kujipanga vizuri na kufanya mapitio ya idara zake hususan ya misitu baada ya kubainika kuwepo kwa matatizo makubwa.“Eneo la misitu...
View ArticleSerikali Yaamua Kuwarudisha Wanafunzi 382 kati ya 7805 Waliofukuzwa Chuo...
May 28 2016 Serikali iliwarejesha nyumbani wanafunzi 7,805 waliokuwa wanasoma Stashahada Maalum ya Ualimu wa Sayansi na Hisabati Chuo Kikuu Dodoma. Wanafunzi waliosimamishwa masomo walikuwa...
View ArticleFedha za Mafunzo kwa vitendo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kutoka Bodi ya...
Na: Lilian Lundo – MAELEZOWaziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Joyce Ndalichako ameeleza kuwa fedha kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo zitatolewa mara baada ya kukamilika kwa zoezi la...
View Article