Picha: Kwa mara ya kwanza Tanzania imeweza kuweka betri kwenye moyo wa mtoto
Na John Stephen, MNHDar es Salaam, Tanzania.Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)-Muhimbili LEO imefanya upasuaji mkubwa wa moyo kwa mtoto, Happiness John Josephat ambaye amepandikizwa peacemaker...
View ArticleNECTA Imezitaja Shule 10 Bora Kitaifa Pamoja na Shule 10 za Mwisho Kitaifa
Baraza la mitihani Tanzania(NECTA) imetangaza matokeo ya kidato cha sita 2016, na Kuzitaja shule zilizo fanya vizuri zaidi Kitaifa na zile ambazo hazikufanya vizuri Kitaifa.Ubora wa shule umepagwa kwa...
View ArticleRais Magufuli Atoa Sh bil 12.3 kukarabati Mahakama
JAJI Mkuu, Mohamed Chande Othman amempongeza Rais John Magufuli kwa kutoa zaidi ya Sh bilioni 12.3 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa majengo ya mahakama nchini.Ametoa pongezi jana wakati akizindua...
View ArticleUshuhuda: Nilimlisha Mume Wa Mtu Limbwata La Nyama Ya Bundi
USHUHUDA WA THEOFLIDA WA YESU : NILIMLISHA MUME WA MTU, LIMBWATA LA NYAMA YA BUNDI.Nawasalimu wa jina la YESU, jina kuu kupita majina yote. Jina langu ninaitwa Theoflida , ni...
View ArticleWasomi wamfagilia Sumaye uongozi Pwani Wasema ameonyesha siyo aina ya...
Wasomi nchini wamesema iwapo Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye atakuwa mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, atasaidia kukijenga chama hicho cha upinzani nchini, kuanzia ngazi ya chini....
View ArticleMakinda atumbua wakurugenzi 9 NHIF....Wadaiwa Kuhusika na Ufujaji wa...
Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ambayo Spika wa Bunge la 10, Anne Makinda ni Mwenyekiti wake, imewatumbua wakurugenzi 9 wa mfuko huo kutokana na ufujaji wa mabilioni ya fedha za...
View ArticleAliyeoongoza kidato cha 6 ni tunda la Shule ya Kata, aeleza alivyodharauliwa
Mwanafunzi aliyeongoza katika matokeo ya kidato cha sita yaliyotangazwa jana na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Hassan Gwaay ameonesha moja kati ya tunda bora lililodhihirisha faida ya...
View ArticleKapteni wa JWTZ Apanda Kortini Kwa Kutishia Kuua
KAPTENI wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi la Tanzania (JWTZ), Henrick Mahenge (34) mkazi wa Mliman City, Dar es Salaam, juzi alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu mashitaka ya...
View ArticleMtoto aliyewekewa ‘mashine’ kwenye moyo aanza mazoezi
Mtoto Happiness John Mkazi wa Seliani Arusha aliyefanyiwa upasuaji kwenye moyo na kupandikiziwa kifaa cha kusaidia kudhibiti mapigo ya moyo (pacemaker), ameanza mazoezi. Daktari Bingwa wa magonjwa ya...
View ArticleRais Magufuli Amteua Longinus Kyaruzi Rutasitara Kuwa Mwenyekiti Mpya Bodi Ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Longinus Kyaruzi Rutasitara kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA). Prof. Longinus Kyaruzi...
View ArticleSauti: Augustino Mrema azungumzia hatua ya Rais kumteua na hatma yake ndani...
Mwenyekiti wa Tanzania Labour Party, Augustino Lyatonga Marema amezungumzia hatua ya Rais Magufuli kumteua kuwa Mwenyekiti wa Parole Taifa na kuwa ni ipi hatma yake ndani ya TLP. Kumsikiliza Mrema...
View ArticleVijana Chadema Walianzisha Tena Dodoma
Vijana wa Chadema wanatua tena Dodoma ambako CCM inaendelea na maandalizi ya mwisho mwisho kwa ajili ya mkutano mkuu maalumu wa kumkabidhi Rais John Magufuli kiti cha uenyekiti.Mwenyekiti wa Baraza la...
View ArticleTaarifa za Jerry Muro Kuteuliwa Kuwa Msemaji Msaidizi wa Ikulu, Jerry Asema Haya
Ule ujumbe wa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga, Jerry Muro kuwa ameteuliwa na Rais John Pombe Magufuli kuwa msemaji msaidizi wa Ikulu imezua gumzo kubwa.Ujumbe huo umesambaa...
View ArticleDiamond Asherehekea Video ya Kidogo Kufikisha Views Milioni 1 Ndani ya Siku 4
Diamond Platnumz anasherehekea mafanikio ya video ya wimbo wake mpya, Kidogo.Ndani ya siku nne, video ya wimbo huo aliowashirikisha P-Square imefikisha views zaidi ya milioni moja kwenye mtandao wa...
View ArticleMrema Afunguka: Asema Rais Magufuli Anaishi Kwenye Maneno Yake Hana Longo Longo
Mwenyekiti wa TLP Dkt. Augustino Lyatonga Mrema amesema Rais Dkt. John Magufuli anaishi kwenye maneno yake kwa kuwa mwaka jana alipofika kwenye jimbo la Vunjo aliwaambia wananchi wamchague Mrema na...
View ArticleTaarifa Kamili Kuhusu Habari ya Rais Magufuli Kumteua Jerry Murro Kuwa...
Baada ya taarifa kuenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa Rais John Pombe Magufuli amemteua Jerry Murro ambaye alikuwa afisa habari wa Yanga kuwa msaidizi wa mawasiliano ya Rais Ikulu, kurugenzi ya...
View ArticleBreaking News: Ajali ya Lori Yaua Watu Watatu Huko Dodoma Wakitoka Mnadani
WATU watatu wamekufa baada ya kufukiwa na mizigo wakati lori walilokuwa wamepanda kutoka Mnada wa Mgaga wilayani Bahi mkoani Dodoma, kupasuka tairi na kupinduka.Ajali hiyo iliyotokea katika Kijiji cha...
View ArticleMaalim Seif Kitanzini... Jeshi la Polisi Lasema Litamkamata na Kumshitaki kwa...
MKUU wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali, Ernest Mangu amefunguka kuhusu mambo juu ya utendaji wa jeshi hilo na kueleza kuwa wakati wowote litamburuza mahakamani Katibu Mkuu wa Taifa wa Chama cha...
View Article