Rais Magufuli Afanya Uteuzi wa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mshauri...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Gerson J. Mdemu kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali.Kabla ya Uteuzi huo, Bw. Gerson J. Mdemu alikuwa Karani wa Baraza...
View ArticleMwenyekiti Wa Mtaa Wa Babale Uliopo Wilaya Ya Nyamagana Jijini Mwanza Auawa...
MWENYEKITI wa Mtaa wa Bulale wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, Alphonce Nyinzi (48) ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiofahamika wakati akielekea nyumbani kwake.Akizungumza na waandishi wa...
View ArticleProfesa Anna Tibaijuka kitanzini Tena... Katuhumiwia Kujimilikisha Shamba la...
Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka na Mkuu wa Wilaya ya Siha, Dk Charles Mlingwa wamelipuliwa bungeni wakidaiwa kutumia madaraka yao vibaya.Tuhuma hizo zilitolewa jana na wabunge wa...
View ArticleMaalim Seif Sharif Hamad Aitwa Polisi Kuhojiwa
Jeshi la Polisi Zanzibar litamhoji Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad Ijumaa ya wiki hii kuhusu masuala mbalimbali ambayo hata hivyo, hayakuwekwa wazi.Kamishna wa Polisi Zanzibar, Hamdani...
View ArticleWaliokosa Ubunge Walipuliwa Bungeni.... Mbunge Adai NHC Imepoteza Mwelekeo
Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (CCM), maarufu kwa jina la ‘Maji Marefu’ amewalipua wabunge waliokosa ubunge katika kipindi hiki na vilivyopita kwa kuhodhi nyumba za Shirika la Nyumba la...
View ArticleMadiwani wa Misungwi Watoa Tamko Zito Kuhusu Kutumbuliwa kwa Mbunge Wao...
UTANGULIZINdugu Waandishi wa habari, Karibuni kwenye mkutano huu mfupi ambao lengo lake ni kutoa taarifa yetu fupi kuhusu ukweli uliojificha kuhusu kitendo kilichopelekea Mh. Rais Dk. John Pombe...
View ArticleNape Nnauye Ashindwa Kuhutubia Kwenye Tamasha la Muziki Jijini Mwanza...
Mzimu wa kuzuia shughuli za Bunge kuonyeshwa moja kwa moja na vituo vya televisheni uliopachikwa jina la ‘Bunge Live’, umeendelea kumwandama Waziri wa Habari, Nape Nnauye baada ya juzi kupokewa kwa...
View ArticleCUF Waitupia Lawama Serikali kwa Kushindwa Kuwajibika na Kuruhusu Uingizwaji...
Jumuiya ya Vijana CUF (JUVICUF) imeitaka Serikali kubeba mzigo wa kushindwa kuwajibika ipasavyo kwa kuruhusu uingizwaji wa simu feki nchini.Kauli ya jumuiya hiyo imekuja wakati imebaki mwezi mmoja kwa...
View ArticleMhifadhi Mwandamizi wa TANAPA, Genes Shayo anashikiliwa na Kikosi cha...
Vita dhidi ya ujangili inazidi kushika kasi baada ya kikosi kazi maalumu cha kupambana na ujangili kumnasa Mhifadhi Mwandamizi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) kwa tuhuma za ujangili.Pia, kikosi...
View ArticleZitto Kabwe kuisaliti kambi ya ukapera...Amchumbia mrembo huyu
Kambi maarufu mjini ya Ukapera inatarajia kupata pigo la mwaka pale member wake mahiri na wa muda mrefu, mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe atakapoigika kibuti rasmi.Zitto amemchumbia msichana mrembo...
View ArticlePolisi Wavamia Nyumbani Kwa Diamond Platnumz Usiku
Polisi wenye silaha hivi karibuni wali ka nyumbani kwa msanii nyota, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anayeishi Mivumoni Madale na kusitisha shughuli za burudani zilizokuwa zikiendelea ndani, Risasi...
View ArticleKinga ya Ukimwi Haifanyi Kazi Kwa Wasichana
Ripoti inaonyesha kuwa kinga dhidi ya Ukimwi haifanyi kazi kwa wasichana ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara huku wengi wakihitaji msaada wa kinga ili kuepuka maambukizi mapya.Mkurugenzi mkuu wa...
View ArticleVIDEO: Sumaye aeleza alivyoshawishiwa kugombea uenyekiti CHADEMA
Leo July 14 2016 Waziri mkuu mstaafu wa serikali ya awamu ya tatu Frederick Sumaye amerudisha fomu ya kuwania nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ‘CHADEMA’ kanda ya Pwani, Sumaye...
View ArticleHii Hapa Video Ya wimbo Mpya wa Joh Makini ft. Chidinma wa Nigeria
Ni mwanahiphop kutoka Tanzania Joh Makini kwa mara nyingine tena kwenye TV zetu, katuletea brand new video ya single yake inaitwa Perfect Combo ambayo kamshirikisha mwimbaji maarufu wa Nigeria anaitwa...
View ArticleWaziri Mkuu Majaliwa Akagua Kiwanda Cha Kutengeneza Vigae Cha Goodwill...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha viwanda vinajengwa kwa wingi nchini kwani ndiyo msingi imara wa ukuaji wa uchumi na muarobaini wa tatizo la ajira hususan kwa vijana.“Mbali na...
View ArticleBavicha wabadili mbinu... Tarehe 20 Kutua Tena Dodoma
BARAZA la Vijana wa Chadema (Bavicha) limepanga kufanya mkutano wa Kamati ya Utendaji ya baraza hilo Julai 20, mwaka huu mkoani Dodoma ambao utatoa mwelekeo wa kupigania demokrasia.Aidha, limewataka...
View ArticleBreaking News: Matokeo Ya Kidato Cha Sita(ACSEE) Na Ualimu (DSEE Na GATCE)...
Matokeo ya Kidato cha Sita 2016 Yametoka....Bofya hapo chini Kuyaangalia1.( Form Six ) ==> BOFYA HAPA KUYAANGALIA>>2.DSEE==>> Bofya Hapa3.GATCE==> Bofya Hapa
View Article