NARUDIA TENA..!! MATOKEO YA MTIHANI WA KITAIFA WA DARASA LA SABA 2015 YAKO HAPA
Haya ndo Matokeo...Bonyeza Mkoa husika kuyaonaARUSHADAR ES...
View ArticlePICHA HALISI ZA AJALI YA BASI LA PRINCESS MURO NA NOAH ILIYOUWA WATU SITA...
Watu sita wamefariki dunia baada ya gari ndogo waliokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la abiria mali ya kampuni ya Princess Muro, lililokuwa likitokea Dar es salaam kuelekea Tunduma,...
View ArticleNEWS ALERT : CHADEMA WAKANUSHA HABARI KUWA WAMEFUNGUA MASHITAKA MAHAKAMA YA...
Salaam, Ziko habari zimezushwa, kuenezwa na sasa zinakuzwa kuwa mgombea urais wa CHADEMA na chama kwa ujumla kimefungua shauri Mahakama za Kimataifa, kuhusu ubakwaji wa demokrasia na hujuma dhidi ya...
View ArticleKATIBU MKUU AISIKITIKIA NCCR, ASEMA HISTORIA ITAWAHUKUMU... NA NDICHO...
Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Mosena Nyambabe amesema kuwa alitabiri kwamba historia itawahukumu na ndicho kilichotokea.Akizungumza na gazeti hili jijini Dar es Salaam jana,...
View ArticleHAYA NDIYO MATAMANIO YA WATANZANIA KWA DK MAGUFULI BAADA YA KUSHINDA URAIS
Siku moja baada ya Rais Mteule wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk John Magufuli kukabidhiwa cheti chake kuwa ndiye mshindi katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, wananchi wakiwamo wa kada mbalimbali wameelezea...
View ArticleMTANDAO WA TACCEO WALAANI POLISI KUVAMIA KITUO CHAO KUWAKAMATA WAANGALIZI NA...
Mtandao wa Asasi za Kiraia za Uangalizi wa Chaguzi (TACCEO), umelaani kitendo cha Polisi kuvamia kituo chao na kuwakamata waangalizi na vifaa walivyokuwa wakitumia kupokea taarifa zilizokuwa...
View ArticleLIPUMBA AIBUKIA OFISI ZA CUF, ATAKA RAIS KIKWETE AINGILIE KATI SUALA LA TUME...
Ibrahim Lipumba Dar es Salaam. Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amemwomba Rais Jakaya Kikwete kuiamuru Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC ) kumtangaza mshindi...
View ArticleDR. SHEIN AONGOZEWA MUDA WA URAIS ZANZIBAR... MAPAKA LINI?? TAARIFA YOTE IKO...
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imetoa tamko kuwa Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, ataendelea kushikilia wadhifa huo hadi hapo rais mwingine atakapochaguliwa kihalali na kuapishwa....
View ArticleHERE ARE ALL TANZANIAN NEWSPAPERS THIS MONDAY NOV 02,2015, FOR HARD NEWS,...
I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written here................................
View ArticleKINGUNGE KUZUNGUMZIA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA 25 BAADA YA KUMALIZA KUKUSANYA...
Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale- Mwiru amesema atazungumzia mchakato wa Uchaguzi Mkuu baadaye baada ya kukusanya taarifa za kutosha.Akizungumza kwa njia ya simu baada ya kuombwa kutoa...
View ArticleIKULU YAKANUSHA RAIS KIKWETE KUTOPOKEA SIMU YA MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD
Wakati saa 48 zilizotolewa na mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad kutaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kuendelea na mchakato wa majumuisho ya kura na...
View ArticleCUF YASEMA VIFARU NA MAGARI YA MAJI YA KUWASHA HAVITALETA UFUMBUZI WA MGOGORO...
Chama cha Wananchi (CUF) kimesema kuwa ufumbuzi wa mgogoro wa Zanzibar hauwezi kupatikana kwa kutumia nguvu au vitisho vya kuingiza vifaru na magari ya maji ya kuwasha, kama inavyotokea sasa; bali...
View ArticleDR. MAGUFULI ASHAURIWA KUTOFANYA UTEUZI WA BARAZA LA MAWAZIRI KWA KULIPA FADHILA
RAIS Mteule wa awamu ya tano katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli, ameshauriwa kuwa makini katika uundaji wa Baraza lake la Mawaziri kwa kuepuka masuala ya kujuana au kuteua...
View ArticleWABUNGE WATEULE WAITWA DAR KATIKA HAFLA YA KUAPISHWA DK. MAGUFULI
Ofisi Ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam, imewataka wabunge wote wateule walioko majimboni kufika katika ofisi hizo Jumatano wiki hii kwa ajili ya kushiriki hafla ya kuapishwa kwa Rais Mteule...
View ArticleCHOO CHA AKINA DIAMOND PLATNUMZ "AIBU TUPU"... CHADAIWA KUSABABISHA KIPINDUPINDU
No! Wakati supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiinjoi maisha kwenye hekalu lake lililoko maeneo ya Tegeta-Madale jijini Dar, habari kutoka nyumbani kwa mama yake mdogo...
View ArticleTANZIA : MMILIKI WA BENDI YA FM ACADEMIA AFARIKI DUNIA
Martin Kasyanju enzi za uhai wake. Mmiliki wa Bendi ya FM Academia, Martin Kasyanju amefariki dunia jana akiwa Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa. Msemaji wa Bendi ya FM...
View ArticleAJALI MBAYA YA DALADALA, MWALIMU MJAMZITO ACHOMOKEA DIRISHANI
Mwalimu wa Shule ya Msingi Mwere ya mjini hapa ambaye jina halikupatikana mara moja, akiwa mjamzito, amenusurika kifo baada ya daladala walilopanda kutumbukia mtaroni na yeye kuchomokea kwenye...
View ArticleJESHI LA POLISI LAPIGA STOP MAANDAMANO YA CHADEMA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI...
Taarifa ya jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga kwa vyombo vya habari. Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limezuia maandamano ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) yaliyopangwa kufanyika Kesho...
View ArticleMOSES IYOBO AWACHARUKIA WANAOSEMA MPENZI WAKE AUNTY EZEKIEL NI MZEE
Aunty Ezekiel na Mpenzi wake Moses Iyobo. Kafunguka! Dansa wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye ni mwandani wa staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson, amewatolea uvivu baadhi...
View ArticleMWANAJESHI FEKI AKAMATWA KIGOMA AKIWA AMEVAA NGUO ZA JESHI
Mwanajeshi feki wa jeshi la wananchi(JWTZ)amekamatwa leo Mkoani Kigoma akiwa amevaa sare za jeshi hilo.Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake juu ya tukio hilo kamanda wa polisi wa Mkoa wa...
View Article