JOKATE AMTOLEA CHOZI JERRY SILAA BAADA YA KUKOSA UBUNGE
Na Hamida HassanMWANADADA ‘kiraka’ anayefanya mitindo, muziki, uigizaji na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amemwaga chozi baada ya kupata taarifa za kukosa ubunge wa Jimbo la Ukonga kwa aliyekuwa Meya wa...
View ArticleJOYCE KIRIA APATA KIKWEWE BAADA YA MUMEWE KUKOSA UBUNGE HUKO MWANGA
‘Host’ wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria . Na Imelda Mtema ‘HOST’ wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria ameonekana kuwewesekea matokeo ya uchaguzi baada ya mumewe aliyekuwa akigombea Ubunge...
View ArticleAUDIO : LEMBELI AELEZA HATMA YAKE BAADA YA KUUKOSA UBUNGE, AJIBU TETESI JUU...
Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Kahama Mjini, James Lembeli ameelezea kinachoendelea katika maisha yake ya kisiasa hasa baada ya kushindwa katika uchaguzi wa mwaka huu akiwa ndani ya chama chake...
View ArticleZANZIBAR KIMENUKA : CUF YAIPA ZEC SIKU TATU KUKAMILISHA MCHAKATO WA...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amesema hakuna malalamiko yoyote yaliyowasilishwa katika siku ya upigaji kura.Maalim Seif ambaye ni Mgombea Urais wa Zanzibar kwa...
View ArticleDR. MAGUFULI AIWAKIA CCM BAADA YA KUSHINDA URAIS..... AWATAKA WANAFIKI...
Rais Mteule Dk John Magufuli ameamua kufunguka kuhusu ugumu aliokabiliana nao wakati wa mchakato wa kampeni akieleza kuwa uchaguzi wa mwaka huu umekuwa na changamoto kubwa kutokana na hujuma...
View ArticleHERE ARE ALL TANZANIAN NEWSPAPERS SATURDAY OCT 31,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP...
I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written here......................
View ArticleRAILA ODINGA AMPONGEZA MAGUFULI....ATOA USHAURI KWA LOWASSA
Waziri Mkuu wa zamani Kenya Raila Odinga amempongeza Dkt. John Pombe Joseph Magufuli baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa Urais Tanzania.Aidha, Mhe Odinga amemshauri mgombea wa upinzani Mhe....
View ArticleBREAKING NEWZZZZ!!!! HALI NI TETE ZANZIBAR....BOMU LATEGWA KITUO CHA POLISI,...
Jeshi la Polisi Zanzibar kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi (JWTZ), limefanikiwa kuteguwa bomu lilitegwa eneo la Mkunazini karibu na kituo cha polisi mjini Zanzibar.Bomu hilo lilitegwa na watu...
View ArticleUKAWA WATOA TAMKO ZITO LENYE MASHARTI MANNE.....MASHARTI YENYEWE HAYA HAPA...
Viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wamesema baada ya kufuatilia mwenendo wa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wana taarifa za uhakika kwamba Maalim Seif Sharif Hamad, Mgombea...
View ArticlePROFESA KITILA MKUMBO AMTAKA LOWASSA AKUBALI YAISHE
Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Kitila Mkumbo amesema aliyekuwa mgombea wa urais wa Chadema, Edward Lowassa, hana budi kukubali matokeo licha ya kupoteza nafasi...
View ArticleNYUMBA YA DIAMOND SI YAKE
Nyumba ya Diamond inayodaiwa si yake.IMEVUJA! Ile nyumba ya kifahari iliyoaminika ni ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ imefahamika kuwa siyo yake kama wengi walivyokuwa wakifahamu.Diamond...
View ArticleBOFYA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA DARASA LA SABA HAPA
Kuangalia matokeo bonyeza mkoa hapa chiniARUSHADAR ES SALAAMDODOMAIRINGAKAGERAKIGOMAKILIMANJAROLINDIMARAMBEYAMOROGOROMTWARAMWANZAPWANIRUKWARUVUMASHINYANGASINGIDATABORATANGAMANYARAGEITAKATAVINJOMBESIMIYU
View ArticleAUNT ADAIWA KUHONGWA GARI
Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson ‘Mama Cookie’mpenzi wake, Moses Iyobo ‘Mozes’.BAADA ya kuanika picha za gari lake jipya aina ya Audi A4 kwenye akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa...
View ArticleHERE ARE ALL TANZANIAN NEWSPAPERS SUNDAY OCT 01,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP...
I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written here....................
View ArticleBAADA YA KUSHINDA UDIWANI, BABA LEVO KUTUMIA MILIONI 110 KUFUNGUA STUDIO...
Baba Levo ambaye hivi sasa ni mheshimiwa Diwani Mteule wa Kata ya Mwanga, Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT –Wazalendo, amepanga kubadili mazingira ya muziki Kigoma na kuwavuta wasanii wa Dar es Salaam...
View ArticleCCM WASHIKANA 'UCHAWI' BAADA YA KULIPOTEZA JIMBO LA BUNDA
BAADHI ya vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Bunda wamemtuhumu mwenyekiti wa chama hicho wilayani hapa, Chacha Gimanwa, kwamba alichangia jimbo la Bunda Mjini kuchukuliwa na mgombea wa Chama...
View ArticleMITIHANI YA TAIFA YA KIDATO CHA NNE KUANZA KESHO JUMATATU NOV 02,2015
WATAHINIWA 448,358 wa shule na wa kujitegemea, wanatarajiwa kufanya mtihani wa kumaliza kidato cha nne, kuanzia kesho hadi Novemba 27 mwaka huu. Idadi hiyo ni ongezeko la watahiniwa 150,870...
View ArticleLOWASSA : SAFARI YA YA IKULU NDIYO KWANZA IMEANZA... KIVIPI?? SOMA HAPA
Aliyekuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amesema awamu ya pili ya safari yake ya kuelekea Ikulu ndio kwanza imeanza na kuwataka watu wote wanaomuunga mkono kutokata...
View ArticleNEWS ALERT..!! WATU 6 WAMEFARIKI KATIKA AJALI YA BASI LA PRINCESS MURO...
 Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro, Leonard Paul.Watu sita wamepoteza maisha baada ya gari waliyokuwa wanasafiria kugongana uso kwa uso na basi linalomilikiwa na kampuni ya Princess Muro.Ajali hiyo...
View Article