Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

JOKATE AMTOLEA CHOZI JERRY SILAA BAADA YA KUKOSA UBUNGE

$
0
0

Na Hamida Hassan
MWANADADA ‘kiraka’ anayefanya mitindo, muziki, uigizaji na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amemwaga chozi baada ya kupata taarifa za kukosa ubunge wa Jimbo la Ukonga kwa aliyekuwa Meya wa Ilala, Jerry Silaa na kusema ameumia kuliko maelezo.

 
Mwanadada ‘kiraka’ anayefanya mitindo, muziki, uigizaji na ujasiriamali, Jokate Mwegelo.

Akizungumza na Ijumaa juzi, Jokate ambaye ni mtu wa karibu sana na mheshimiwa huyo alisema, hakutarajia kabisa kupata matokeo hayo lakini akadai anachoamini bado ‘mtu’ wake huyo ana nafasi ya kupata cheo kingine.

“Mimi nina imani kuwa atapata nafasi nyingine nzuri kwani uwezo wa kuongoza anao lakini nimeumia sana, yaani dah!” alisema Jokate.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

Trending Articles