Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

MOSES IYOBO AWACHARUKIA WANAOSEMA MPENZI WAKE AUNTY EZEKIEL NI MZEE

$
0
0

Aunty Ezekiel na Mpenzi wake Moses Iyobo.
 
Kafunguka! Dansa wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye ni mwandani wa staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson, amewatolea uvivu baadhi ya watu wanaomsema Aunt kuwa ni mzee kwa kuwa amempita umri, jambo ambalo hakubaliani nalo.

Dansa wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Moses Iyobo akiwa na mpenzi wake Aunt Ezekiel Grayson

Akizungumza na mwanahabari wetu, Iyobo alitiririka kuwa anawashangaza watu wanaoingilia mapenzi yao kwani yeye anachojua kwenye mapenzi watu hawaangalii umri ila ni upendo na kuheshimiana.

“Nani anasema Aunt ni mzee? Mimi namuona ni mtoto mbichi kabisa,” alisema Iyobo mwenye umri wa miaka 23 huku Aunt akiwa na 29.
GPL

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

Trending Articles