Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AMTEUA RAMADHAN KASWA KUWA KATIBU TAWALA WA MKOA WA LINDI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua  Ndugu Ramadhan Kaswa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi kuanzia Oktoba  30, mwaka huu, 2015.Kabla ya uteuzi wake,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HERE ARE ALL TANZANIAN NEWSPAPERS THIS TUESDAY NOV 03,2015, FOR HARD NEWS,...

I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written here.                                   

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHERIA YA MTANDAO BALAA : YERICKO NYERERE APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUTOA...

Mfanyabiashara Yericko Nyerere amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka matano ya kutoa taarifa za uongo kupitia mtandao wa kijamii wa Facebook.Nyerere...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDALIZI YA KUMWAPISHA MAGUFULI YAIVA... KILA KITU KIPO HAPA

WAGENI wa kimataifa zaidi ya 50 wanatarajiwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli zitakazofanyika keshokutwa jijini Dar es Salaam.Ofisa Uhusiano wa Wizara ya Mambo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MVUA YALETA MAFURIKO NA KUUA WATU WAWILI MWANZA.... UWANJA WA NDEGE WAFUNGWA...

MVUA kubwa imenyesha mkoani Mwanza na kusababisha maafa, ikiwemo vifo vya watu wawili na familia kadhaa kukosa makazi kutokana na nyumba kubomoka.Aidha, mvua hiyo imesababisha kufungwa kwa muda uwanja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

News Alert : CCM YAFUTA USHINDI WA MTOTO WA DK ABDALLAH KIGODA HUKO TANGA......

Kamati Kuu ya CCM imefuta matokeo ya kura za maoni katika Jimbo la Handeni, mkoani Tanga ambako Omar Abdallah Kigoda ambaye ni mtoto wa mbunge wa zamani, marehemu Abdallah Kigoda alikuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDANI YA CCM KUMENUKA..!! NIMEKUWEKEA HAPA YANAYOENDELEA NDANI YA CHAMA...

Baada ya upepo wa Uchaguzi Mkuu kuanza kutulia, baadhi ya makada wa CCM wameanza kutuhumiana kuwa unafiki na hujuma zilizofanywa na baadhi ya wanancha wa chama hicho zimesababisha kishindwe kufanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUEPUSHA BALAA, ZEC ITANGAZE MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBAR

By Ibrahim Haruna LipumbaJamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwamo Zanzibar ilifanya Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2015. Kwa upande wa Visiwani, Wazanzibari walipiga kura kumchagua diwani, mwakilishi, Rais wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

COLLABO YA DIAMOND, ALLI KIBA NA WIZKID SASA INAKUJA KWA KASI... TAARIFA...

Diamond Platnumz amefanya collabo na kila msanii mkubwa wa Nigeria.Ameshafanya ngoma au kushiriki kwenye ngoma na P-Square, Davido, D’Banj, Tiwa Savage, Iyanya, Waje, Kcee, Bracket, Flavour na wengine...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TB JOSHUA ATUA TANZANIA, APOKELEWA NA RAIS KIKWETE IKULU… LICHA YA KUTABIRI...

Mhubiri maarufu duniani TB Joshua wa kanisa la Church of All Nations nchini Nigeria ametua jijini Dar es salaam leo tayari kwa kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Magufuli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA ‘WAJIGAMBA’ KUFAWAFANYISHA POLISI MAANDAMANO BILA KUPENDA… WASEMA...

Katika hali isiyo kuwa ya kawaida Chama cha Demokrasia na Maendeleo mkoani Shinyanga leo kimedai kwamba Jeshi la Polisi mkoani humo limefanya maandamano ya Chadema bila kujijua.Kwa mujibu wa baadhi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YAMPITISHA MTOTO WA KIGODA KUGOMBEA UBUNGE HANDENI MJINI

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Handeni Mjini wamempigia kura na kumchagua tena mgombea ambae alishinda awali Omari Abdallah Kigoda katika uchaguzi uliofanyika wilayani humo leo baada ya kamati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZOEZI YA KUAPISHWA RAIS MTEULE DR MAGUFULI YAPAMBA MOTO JIJINI DAR

Kibanda cha kitakachotumika wakati wa kuapishwa kwa Rais Mteule, Dk John Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kesho kutwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Askari wa Jeshi la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MTEULE DK MAGUFULI AMPOKEA T.B JOSHUA UWANJA WA NDEGE DAR JIONI HII,...

  Rais mteule wa awamu ya tano, Dkt John Pombe Joseph Magufuli alimpokea Mhubiri wa kimataifa kutoka Nigeria TB Joshua Uwanja wa ndege Dar leo jioni. Mhubiri huyo aliyekuja na watu 40 kwa ndege yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HERE ARE ALL TANZANIAN NEWSPAPERS THIS WEDNESDAY NOV 04,2015, FOR HARD NEWS,...

I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written here............................

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAMUEL SITTA KUWANIA NAFASI YA KUWA SPIKA WA BUNGE LA 11

WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta ametangaza kuwa atawania nafasi ya Spika ili kuliongoza Bunge la 11. Sitta aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Tisa amekuwa kada wa kwanza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOIHUJUMU CCM WAKATI WA KAMPENI KUTIMULIWA... NI AKINA NANI?? INGIA HAPA

WANACHAMA na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliohusika kwa namna moja ama nyingine kukihujumu chama hicho wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu na kukikosesha ushindi katika kata na majimbo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA KUPINGA USHINDI WA HUSSEIN BASHE MAHAKAMANI

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Nzega mkoani Tabora kimetangaza kwenda mahakamani kupinga matokeo yaliyompatia ushindi Mbunge wa jimbo la Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM)....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMA AMTUSI DIAMOND....KWA SABABU GANI NI KWANINI KISA KIZIMA HIKI HAPA....

WEMA Isaac Sepetu ‘Madam’ ameangusha bethidei baab’kubwa ambayo imesheheni kufuru ya aina yake na ‘kumtusi’ hadharani mpenzi wake wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa kumsema kuwa ni mtu wa kununua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHAMSA:TUMALIZENI BIFU, UCHAGUZI UMEISHA

STAA wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford amewataka wasanii wenzake waliotofautiana wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu kumaliza bifu kwani zoezi hilo limemalizika na...

View Article
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live