Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABY MADAHA AREJEA NA MBWEMBWE

BAADA ya kula bata kwa mwezi mmoja huko Dubai anakodaiwa kuwa pamoja na mfanyabiashara tajiri wa mafuta,msanii wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha amerejea kwa mbwembwe, akisema anajiandaa kufungua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND SIYO KOSA KUISHI NA MAMA LAKINI KUNA UMUHIMU WA KUJITENGA NAYE‭!‬

.KWAKO mkali wao katika anga la Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Mambo vipi mzazi jembe? Hongera sana kwa ushindi mnono ulioupata hivi karibuni katika Tuzo za MTV EMA 2015 jijini Milan Italy,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT : TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU RAIS MSTAAFU BENJAMINI MKAPA KUFARIKI...

Msemaji  Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Assah Mwambene amekanusha taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa kuwa amefariki Dunia. Akizungunza na waandishi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS : RAIS JAKAYA KIKWETE ATANGAZA KESHO KUWA NI SIKU YA MAPUMZIKO...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameamua na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAKATA LA ZANZIBAR LAKWAMISHA VYAMA VYA SIASA KUMUAGA RAIS KIKWETE

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeahirisha kwa mara ya pili  hafla ya vyama vya siasa kumuaga Rais Jakaya Kikwete baada ya  kumaliza miaka 10 ya uongozi wake kwa mujibu wa katiba.   Hafla hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LHRC: POLISI WANAENDELEA KUSHIKILIA VIFAA VYETU VYA KAZI

Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.  Hellen-Kijo Bisimba, amesema vifaa vilivyokuwa vikitumiwa na kituo  hicho kukusanya taarifa za uchaguzi vilivyochukuliwa na polisi,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND PLUTNUMZ AMZAWADIA QUEEN DARLEEN GARI MPYA LEO… KWANINI AMEFANYA...

Leo star na mkongwe wa Bongo Flava aitwae Queen Darleen, anasheherekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa.  Sasa kaka yake ambaye pia ni Icon wa Muziki Afrika hivi sasa Naseeb ‘Diamond’ Abdul, ameamua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR, MAALIM SEIF -...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania amefanya mazungumzo na makamu wa rais wa kwanza kisiwani Zanzibar ambaye ndiye mgombea Urais kupitia tiketi ya chama cha upinzani (CUF) Maalim Seif katika Ikulu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASIMILIA 82 YA WANAFUNZI WAKOSA MIKOPO 2015/16

Zaidi ya wanafundi 50,000 watashindwa kuendelea na masomo ya elimu ya juu kutokana na kushindwa kupata mikopo kutoka katika Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB).Hayo yamebainika ikiwa ni siku tatu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA SASA LULU KUMRITHI ZARI....UNAJUA KISA NINI DAIMOND NAYE AFUNGUKA HAYA...

LULU KUMRITHI ZARI KWA DIAMOND-Ni baada ya familia ya Diamond kukubali-Lulu amsingizia Wema-Diamond naye afunguka-Unajua kisa ni nini?TB JOSHUA ASHINDWA KULALA NIGERIA MAGUFULI AKIAPISHWA-Atua Bongo na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BEN POL AKIMBILIA SAUZ KUPAKUA MZIGO

Mkali wa R&B Bongo, Ben Pol.KACHAA mkali wa R&B Bongo, Ben Pol muda wowote kuanzia sasa anatarajia kuelekea nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ kwenda ku-shoot video zake mbili mpya.Ben ameliambia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HERE ARE ALL TANZANIAN NEWSPAPERS THIS THURSDAY NOV 05,2015, FOR HARD NEWS,...

.I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written here................................

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. MAGUFULI AAPISHWA RASMI KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA

Hatimaye, Dkt. John Magufuli ameapishwa rasmi na kuwa Rais wa serikali ya awamu ya Tano ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania akihitimisha rasmi uongozi wa serikali ya awamu ya nne iliyoongozwa na Rais...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAWAZIRI WAAGIZWA KUREJESHA IKULU MAGARI YA SERIKALI LEO… HII NI BAADA YA...

Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue, amewaagiza  Mawaziri na Naibu Mawaziri leo kurudisha magari ya serikali baada ya Rais Mteule, Dk. John Magufuli kuapishwa kwa kuwa ndiyo siku yao ya ukomo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

T.B JOSHUA WA NIGERIA ALIVYOKUTANA NA UKAWA NYUMBANI KWA LOWASSA

Muhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, T. B. Joshua (shati la miraba), akizungumza jambo na wenyeji wake, aliekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA kupitia mwamvuli wa UKAWA,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIKI NDICHO RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA ALICHOMUANDIKIA RAIS MTEULE DKT, MAGUFULI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE "LULU" AMRITHI ZARI, AINGIA KWENYE PENZI LA DIAMOND... FAMILIA...

Madai mazito! Siku chache baada ya kubainika kuwa uwezekano wa mzazi mwenzake na ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kurudi Bongo na kuendelea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AUNT EZEKIEL NA WEMA KWISHA KAZI... AUNT AAAPA KWA WEMA ATAMUONA KWENYE KIFO

KIAPO! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mwigizaji matata Bongo, Aunt Ezekiel ‘Mama Cookie’ kufunguka kuwa kamwe hatajihusisha kwenye ishu yoyote ya sherehe inayomuhusu staa mwenzake Wema Sepetu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PENZI LA RAY NA CHUCHU LAVUNJIKA... JOHARI ACHEKELEA MBAYA

DAH! Imebuma! Lile penzi lililoziba masikio ya wengi kati ya waigizaji wakubwa Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans linadaiwa kuanguka chali kufuatia mume wa mwanamke huyo kutua nchini kimyakimya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA YA KWANZA YA SHUKRANI ALIYOTOA RAIS MAGUFULI BAADA YA KUAPISHWA

John Pombe Joseph Magufuli (56) ameapishwa mapema leo kuwa Rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.Baada ya kuapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Jaji...

View Article
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live