Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA 39 ZA DR MAGUFULI ALIVYOKULA KIAPO CHA KUWA RAIS NA KUKAGUA GWARIDE KWA...

  

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAZI IMEANZA: RAIS MAGUFULI AMTEUA GEORGE MASAJU KUWA MWANA SHERIA MKUU WA...

Saa chache baada ya kuapishwa rasmi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Magufuli ameanza kazi kwa kasi zaidi ambap leo hii ameanza kazi kwa kumteua mwanasharia mkuu na kuitisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DUHH..!! RAIS MSTAAFU JAKAYA MRISHO KIKWETE AMEANDIKA UJUMBE HUU MZITO KWA...

 Ikiwa leo Novemba 5, 2015 ndio Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemaliza muda wake wa kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huku Dk.John Pombe  Magufuli akiapishwa kama rais wa awamo wa 5 wa kuliongoza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASANJA MKANDAMIZAJI ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE LUDEWA NA KUTANGAZA...

Masanja Mkandamizaji.  MSANII maarufu na mwigizaji Emmanuel Mgaya maarufu kwa jina la (Masanja mkandamizaji) ameahidi kuvaa viatu vya Deo H. Filikunjombe kwa kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASIKINI..!! LOWASSA AFUNGUKA MAZITO KUHUSU UJIO WA TB JOSHUA TANZANIA

 Nashukuru kwa heshima aliyonipa mtumishi wa Mungu, T.B Joshua kwa kuja nyumbani kujadili mambo ya taifa, na baadaye kushiriki kwenye sala na ndugu na familia. Mungu atuongoze. Mungu ibariki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HERE ARE ALL TANZANIAN NEWSPAPERS THIS FRIDAY NOV 06,2015, FOR HARD NEWS,...

 I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written here..............................

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE AAGA KWA KUSAMEHE WAFUNGWA 4,160… BABU SEYA...

RAIS mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 4,160 katika kuaga na kukabidhi madaraka ya Serikali kwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli.Dk Magufuli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKE WA DEO FILIKUNJOMBE AMPIGIA KAMPENI MDOGO WA FILIKUNJOMBE ACHUKUE UBUNGE...

Tanzania bado iko kwenye majonzi baada ya msiba wa aliyekuwa mbunge wa Ludewa,Deo.Najua kuna watu walikuwa na maswali juu ya atakayewaongoza wakazi wa Ludewa, sasa leo Novemba 5, 2015 mke wa marehemu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAALIM SEIF AWEKA NGUMU ADAI HAWAWEZI KURUDIA UCHAGUZI ZANZIBAR

 Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema CUF inaendelea kutafuta haki ya Wazanzibar ya kutaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar (Zec) kuendelea kutangaza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA NA ZITTO KABWE WAPELEKA KILIO CCM… KIVIPI?? SOMA HAPA

 Hawa jamaa wawili kwa kweli kwa pamoja tunaweza kusema wamepeleka kiliomtaa wa Lumumba, waswahili husema kwa mjinga huenda kicheko lakini kwa mwelevu huenda kilio. Ujio wa Lowassa UKAWA umepeleka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HILI LINAMUHUSU WEMA SEPETU : LUIS MUNANA AFICHUA SIRI YA JINSI ALIVYOJIKUTA...

Wiki iliyopita picha za mtandaoni zilionesha kuwa Wema Sepetu na mshiriki wa Big Brother Hotshots kutoka Namibia, Luis Munana wamefunga ndoa. Hakuna taarifa rasmi kutoka kwa wawili hao baada ya ‘ndoa’...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKUBWA YAIBUKA UKAWA..!! MKE WA LOWASSA AKATAA UBUNGE WA VITI MAALUMU...

Mke wa aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, Regina Lowassa, ameikataa nafasi ya ubunge wa viti maalum aliyopewa na kamati Kuu ya chama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASAJU AAPISHWA KUWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI (AG)

Rais Dk John Magufuli amemuapisha George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika hafla fupi iliyofanyika leo Ikulu mjini Dar es Salaam.Huo ni uteuzi wa kwanza kufanywa na Rais Dk Magufuli tangu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPA KAZI TU: RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA ZIARA YA GHAFLA WIZARA YA FEDHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dk.John Pombe Magufuli akisani kitabu cha wageni baada ya kufika Wizara ya Fedha....Akikagua utendaji kazi wa wafanyakazi mbali mbali wizarani hapo.  Akitembea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAREKANI YATOA TAMKO ZITO KUHUSU UCHAGUZI WA TANZANIA

Tamko la Waziri wa Mambo ya Nje John Kerry kuhusu Uchaguzi wa Tanzania  Kwa niaba ya Rais Obama na watu wa Marekani, nawapongeza watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa uchaguzi wa rais na wabunge...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATOA PICHA RASMI YA RAIS WA AWAMU YA TANO DK. JOHN POMBE MAGUFULI

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji wa Serikali Bw. Assah Mwambene akiwaonesha waandishi wa Habari picha rasmi ya Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA VIDEO HII YA KITUKO KILICHOTOKEA LEO WIZARA YA FEDHA BAADA YA RAIS...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza kwa kutembea kwa miguu kutoka Ikulu hadi katika Wizara ya Fedha na kukagua utendaji kazi wa wafanyakazi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TB JOSHUA AYEYUKA GHAFLA.... AACHA MASWALI MAZITO HAPA NCHINI

Muhubiri wa kimataifa nabii maarufu duniani Temipote Balogun maarufu kama TB  Joshua ameacha maswali baada ya kushindwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa rais mpya wa awamu ya tano Dk.John...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJAMBAZI WATEKA MAGARI HUKO TABORA HUKU WAKIIMBA "HAPA KAZI TU"

Kundi la watu wanaoaminika kuwa ni majambazi wakiwa na silaha mbalimbali kama mapanga na marungu, juzi waliteka magari katika kijiji  cha Igogo,Wilaya ya Igunga huku wakiimba ‘hapa kazi tu’.Baadhi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HERE ARE ALL TANZANIAN NEWSPAPERS THIS SATURDAY NOV 07,2015, FOR HARD NEWS,...

I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written here..............................

View Article
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live