Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

DUHH..!! RAIS MSTAAFU JAKAYA MRISHO KIKWETE AMEANDIKA UJUMBE HUU MZITO KWA WATANZANIA BAADA YA KUKABIDHI MADARAKA KWA DK MAGUFULI

$
0
0
 
Ikiwa leo Novemba 5, 2015 ndio Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemaliza muda wake wa kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huku Dk.John Pombe  Magufuli akiapishwa kama rais wa awamo wa 5 wa kuliongoza taifa hili.Sasa kupitia kwenye akaunti ya twitter ya Jakaya Mrisho Kikwete ameyaandika haya maneno kuhusu kulitumika taifa la Tanzania kwa miaka 10..’Miaka 10 imekwisha. Imekuwa safari nzuri na yenye mafanikio makubwa kwa nchi yetu. Taifa letu litabaki salama. Nawatakia kila la kheri’ – Kikwete

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

Trending Articles