LULU AWACHARUKIA WANAOHOJI GHARAMA ZA UREMBO WAKE...NAKUSEMA MANENO HAYA...
STAA asiyekaukiwa matukio Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewacharukia watu wanaohoji kwa nini anapendeza angali mwanafunzi kwa kuwaambia, ‘kwani akiwa mwanafunzi ni mwiko kupendeza?’Staa...
View ArticleDIAMOND AMLIPUA WEMA...NA KUZUNGUMZA MANENO HAYA MAKILII JIONEEE MWENYEWE HAPA
BAADA ya muigizaji nyota Wema Sepetu ‘kumtusi’ mpenziwe wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, kwa kudhihaki zawadi ya bei chee ya gari aliyowahi kumnunulia, rais huyo wa lebo ya Wasafi Classic...
View ArticleWASTARA KUKATWA MGUU TENA!
MASKINI wa Mungu! Baada ya kupata faraja kwa miaka kadhaa kwa kuwekewa mguu wa bandia, mwigizaji wa sinema za Kibongo, Wastara Juma, amepatwa na masaibu mengine ya kutakiwa kukatwa tena sehemu ya mguu...
View ArticleMBASHA APOTEZEA TALAKA KISA MAGUFULI
Mwimbaji wa nyimbo za Injili na mfanyabiashara maarufu Bongo, Emmanuel MbashaMWIMBAJI wa nyimbo za Injili na mfanyabiashara maarufu Bongo, Emmanuel Mbasha amepotezea kuzungumzia suala la kumpa talaka...
View ArticleDAVINA ATAJA SABABU ZA KUANIKA UPAJA!
MWIGIZAJI ambaye inaaminika kwa muda mrefu hajawahi kuvaa nguo yenye mpasuo kiasi cha mapaja yake kuonekana, Halima Yahya ‘Davina’, amefunguka kuwa kwa mara ya kwanza Jumapili iliyopita alilazimika...
View ArticleMWIGIZAJI WA KIBONGO AMANDA APUNGUA KILO 11 MWILINI....SABABU YA KUPUNGUA HII...
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amejikondesha makusudi na kufanikiwa kupunguza kilo 11 mwilini.Akizungumza na mwanahabari wetu, Amanda alisema baada ya kuona mwili unazidi...
View ArticleBREAKING NEWZZZZZ!!! RAIS MAGUFULI AFANYA KIKAO NA MAKATIBU IKULU JIJINI DAR
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es salaam kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi,...
View ArticleKWELI HAPA KAZI TU: RAIS MAGUFULI AFUTA SAFARI ZOTE ZA NJE YA NCHI KUANZIA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo asubuhi katika Ikulu ya Dar es Salaam amefanya kikao na Makatibu wakuu, Manaibu Makatibu wakuu, Gavana wa Benki Kuu Prof. Benno Ndulu...
View ArticleUPDATE: SERIKALI YASITISHA MATUMIZI YA PICHA RASMI YA RAIS MAGUFULI
Serikali inapenda kuzitaarifu ofisi za umma na wananchi kwa ujumla kwamba imesitisha matumizi ya picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Serikali ya Awamu ya Tano, Mhe.Dkt. John Pombe...
View ArticleSAKATA LA UCHAGUZI KUFUTWA: WAPINZANI ZANZIBAR WAGAWANYIKA
Vyama vya upinzania kisiwani Zanzibar vimetofautiana kuhusu uamuzi wa mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha kufuta matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa maelezo kuwa...
View ArticleTUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA IDADI YA WABUNGE WA VITI MAALUM .....CCM VITI...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Mhe. Damian Lubuva ametangaza idadi ya wabunge wa Viti Maalum leo katika ukumbi wa ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam. Jaji Lubuva...
View ArticleHERE ARE ALL TANZANIAN NEWSPAPERS THIS SUNDAY NOV 08,2015, FOR HARD NEWS,...
.I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written here...................
View ArticleWAJUE MASUPA STAR BONGO WANAOPETA KWA MAPENZI MOTOMOTO
2. Vanessa Mdee & Jux Kwa muda mrefu habari za uhusiano wa mapenzi baina ya watu mashuhuri wakiwamo wafanyabiashara na wanamuziki zimekuwa zikitikisa vichwa vya habari katika mitandao ya kijamii,...
View ArticleMKAPA AMPA WASIA DKT MAGUFULI NA KUSEMA MANENO HAYA
Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa amempa wasia Rais Dk John Magufuli, akitaka Serikali yake ikae na wadau ili kuinua kiwango cha taaluma kinachotolewa nchini.Mkapa alitoa kauli hiyo jana...
View ArticleBREAKING NEWS : LEMBELI AKANUSHA KUMILIKI MTANDAO WA TWITTER UNAOISHAMBULIA...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kahama mkoani Shinyanga ambaye pia ni Mkurugenzi wa Radio Kahama FM, James Lembeli amekanusha kumiliki akaunti ya mtandao wa Twitter ambayo imekuwa ikitumiwa na watu wenye...
View ArticleNEWS ALERT : WATU 7 WAUAWA KATIKA MAUAJI YA KINYAMA... INGIA HAPA KWA TAARIFA...
Mwili wa marehemu ukiwa umefunikwa baada ya kutokea kwa mauaji hayo. Watu wenye silaha wamewapiga risasi na kuwauwa watu saba usiku wa kuamkia leo katika mji mkuu wa Burundi- Bujumbura Watu hao...
View ArticleKAMA UNATAKA KUTOKA KIMUZIKI... FANYA KOLABO NA WASANII HAWA HAPA BONGO, YANI...
Ali Kiba. Bernard Paul 'Ben Paul'. UKIACHANA na vyombo vya muziki, kingine kinachombeba msanii ni ubora wa sauti yake na hata akiimba ‘live’ basi ladha yake hupenya zaidi kwenye masikio ya...
View ArticleTB JOSHUA AVUNJA UKIMYA KUHUSU LOWASSA...HUU NDIYO UJUMBE WAKE
T.B. Joshua has broken his silence on the several meetings he has held with Tanzania’s Former Prime Minister Edward Lowassa since his arrival in the country this week.Using the social media platforms...
View Article