MKE WA MHESHIMIWA LOWASSA AKATAA UBUNGE CHADEMA...ADAI ATAKOMAA NA AKINA MAMA...
Mke wa aliyekuwa Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mama Regina Lowassa.******* Mke wa aliyekuwa Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mama Regina Lowassa,...
View ArticleFULL TIME YA ARSENAL VS TOTTENHAM NA MATOKEO YA MECHI NYINGINE ZA UINGEREZA...
Ikiwa msimu wa mwaka 2015/2016 wa Ligi Kuu Uingereza unatajwa kuwa sio mzuri kwa kocha wa klabu ya Chelsea ya Uingereza Jose Mourinho kiasi cha jana kuvunja rekodi yake kwani hakuwahi kufungwa mechi...
View ArticleFULL TIME YA FC BARCELONA VS VILLARREAL NOVEMBER 8 (+PICHAZ&VIDEO)
Kivumbi cha Ligi Kuu Hispania kimeendelea tena Jumapili ya November 8 kwa michezo minne kupigwa katika viwanja tofauti tofauti, klabu ya FC Barcelona ambayo bado inaendelea kumkosa staa wa kimataifa wa...
View ArticleFULL TIME YA FAINALI YA TP MAZEMBE VS USM ALGER, MBWANA SAMATTA KWENYE...
Licha ya kuwa Jumapili ya November 8 kuna michezo kadhaa inapigwa barani Ulaya ila mchezo wa fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika ndio mchezo uliyokuwa umevuta hisia za watu wengi barani...
View ArticleBABU SEYA ATUA MAHAKAMA YA AFRIKA......AWASILISHA HOJA TATU, ALIA NA SERIKALI...
Hatimaye mwanamuziki, Nguza Viking maarufu kama Babu Seya na mwanae, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’, wametua katika Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika (AFCPHR) Arusha.Wanamuziki hao wamekata rufaa dhidi...
View ArticleBREAKING NEWZZZZ!!!! NIKO TAYARI KUKAMATWA-MAALIM SEIF
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema yuko tayari kukamatwa na kufikishwa mahakamani kujibu mashtaka, kama kitendo chake cha kujitangazia ushindi ni kosa.Maalim Seif alikuwa akizungumza...
View ArticleWEMA: HATA NIKIZEEKA NYOTA IPO PALEPALE...UNAJUA ANAMAANISHA NINI BOFYA HAPA
Mtoto mzuri Bongo, Wema Isaac Sepetu.Nyota na ing’ae! Mtoto mzuri Bongo, Wema Isaac Sepetu ameliambia Ijumaa Wikienda kuwa hata kama akizeeka na kuwa kikongwe, bado nyota yake itaendelea kung’aa siku...
View ArticleDIAMOND: ZARI AMEMHARIBU TIFFAH!...AKUISHIA HAPO KATAMKA MANENO HAYA MAKALI...
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’Kila kitu ukizidisha ni sumu! Ndivyo ilivyotokea kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye anadaiwa kumtupia lawama mzazi...
View ArticleYAMEMKUTA!!!! CHUCHU HANS AKATALIWA KWA AKINA RAY...KISA KIZIMA HIKI HAPAA
Yamemkuta! Staa wa sinema za Kibongo, Chuchu Hans anadaiwa kukataliwa na baadhi ya ndugu wa mwandani wake, Vincent Kigosi ‘Ray’ hivyo kuzidi kufifia kwa penzi lao.Staa wa sinema za Kibongo, Vincent...
View ArticleWEMA, IDRISS, WAONESHANA MAHABA LIVE IKULU
MASTAA wa Bongo, Idriss Sultan na Wema Sepetu, Alhamisi iliyopita walikuwa kwenye Ikulu ya Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli wakionesha mahaba yao...
View ArticleBREAKING NEWZZZZ!!!! POLISI YAMNASA KIJANA NA MABOMU KUMI
Mfano wa mabomu ambayo yamekamatwa kutoka kwa kijana huyo.JAMANI! Siku chache tu kufuatia Jeshi la Polisi Tanzania kupitia msemaji wake, Advera Bulimba kupiga marufuku maandamano na mikusanyiko ya...
View ArticleRAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUSUDIA KUPUNGUZA WIZARA 8 KATI YA WIZARA 28...
Siku chache baada ya kufuta safari za vigogo nje ya nchi,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Magufuli anakusudia kufyeka wizara 8 miongoni mwa 28 zilizopo sasa ili...
View ArticleKOFIA YA 'M4C' YATAJWA KAMA KIGEZO CHA KUMVUA UBUNGE PETER MSIGWA
Aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, Frederick Mwakalebela amefungua kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Ubunge wa jimbo la Iringa mjini yaliyompa ushindi Mchungaji Peter Msigwa wa Chadema...
View ArticleZITTO KABWE ATOA USHAURI MUHIMU KWA RAIS MAGUFULI UTAKAOSAIDIA KULETA...
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ametoa ushauri wake kwa kiongozi mkuu wa nchi ili kuleta mabadiliko makubwa katika mfumo. Zitto ameandika kupitia ukurasa wake wa Facebook, japo hakutaja...
View ArticleHERE ARE ALL TANZANIAN NEWSPAPERS THIS WEASDAY NOV 11,2015, FOR HARD NEWS,...
I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written here...........................
View ArticleWEMA, AUNT WAKWEPANA IKULU...ETI KISA KISA CHENYEWE HIKI HAPAAAA
Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu.MAHASIMU wawili katika anga la mastaa, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wiki iliyopita walikwepana na kushindwa kusalimiana, licha ya wote kuwa waalikwa katika hafla maalum...
View ArticleDUUUUUUUH!!!!!!!!! JB ALISHWA SUMU!
Habari mbaya iliyolifikia gazeti hili imeeleza kwamba, staa wa sinema za Kibongo, Jacob Stephen ‘JB’ amenusurika kifo baada ya kudaiwa kulishwa sumu na kujikuta katika hali mbaya kiafya kabla ya...
View ArticleRIYAMA KUWASAKA WANAOMTUMIA KIIIVIIII
Msanii wa filamu Bongo Riyama Ally.MSANII wa filamu Bongo Riyama Ally amesema baadhi ya wasanii wanaomhitaji na kucheza nao filamu, huuza baadhi ya vipande vya filamu anazocheza bila idhini yake, jambo...
View ArticleAUNTY LULU: WASTARA KUBALI YAISHE
BAADA ya hivi karibuni wasanii wa filamu waliokuwa wapenzi, Wastara Juma na Bond Suleiman kutengana, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ameibuka na kumshauri staa huyo kukubaliana na matokeo. Lulu Semagongo...
View ArticleMEMBE ATOA KAULI NZITO BAADA YA RAIS MAGUFULI KUPIGA MARUFUKU SAFARI ZA NJE...
Dar es Salaam. Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amempongeza Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli kwa kupiga marufuku safari za nje ya nchi, akisema...
View Article