Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

WEMA: HATA NIKIZEEKA NYOTA IPO PALEPALE...UNAJUA ANAMAANISHA NINI BOFYA HAPA

$
0
0
Mtoto mzuri Bongo, Wema Isaac Sepetu.

Nyota na ing’ae! Mtoto mzuri Bongo, Wema Isaac Sepetu ameliambia Ijumaa Wikienda kuwa hata kama akizeeka na kuwa kikongwe, bado nyota yake itaendelea kung’aa siku zote wala haitafifia kwani amezaliwa nayo labda asiwepo duniani.

Wema ameliambia gazeti hili kuwa anamshukuru Mungu kwa kumjalia nyota hiyo ambayo inawezekana kuna watu wanatamani izimike wakati wowote, jambo ambalo haliwezekani leo wala kesho na kwa kuwa alitoka nayo tumboni kwa mama yake, Miriam Sepetu.

“Hata kama watu wataichafua kiasi gani, nyota yangu itaendelea kung’aa hadi nitakapokuwa mzee. Nitakuwa ni bibi mwenye mvuto na hata watoto watapenda kusikiliza hadithi zangu,” alisema Wema.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

Trending Articles