Waziri Nape azipiga MARUFUKU Simba na Yanga kutumia Uwanja wa Taifa
Baada ya mashabiki wa Simba kuvunja viti vya uwanja wa taifa katika mchezo wa Simba na Yanga uliopigwa Jumamosi na kumalizika kwa sare ya goli ya moja kwa moja, serikali kupitia kwa Waziri wa Michezo,...
View ArticleRais Magufuli amemteua Profesa Lawrence Mujungu Museru kuwa Mkurugenzi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 03 Oktoba, 2016 amemteua Prof. Lawrence Mujungu Museru kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.Taarifa...
View ArticleTanzania Na Cuba Zakubaliana Kuimarisha Na Kuongeza Uhusiano Na Ushirikiano...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 03 Oktoba, 2016 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Cuba Mhe. Salvador Antonio Valdes Mesa ambapo viongozi...
View ArticleTundu Lissu akosekana Tena Mahakamani Kisutu, aibukia Mwanza
Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki, jana alishindwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ili kujibu mashitaka ya uchochezi huku mdhamini wake akiieleza mahakama kuwa, yupo jijini Mwanza...
View ArticleSaed Kubenea kizimbani tena kwa kupotosha
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya kuandika makala ya kupotosha na kusababisha hofu kwa...
View ArticleSinema ya CUF Yazidi Kunoga.......Bodi ya Wadhamini Nayo Yagawanyika...
Bodi ya wadhamini ya Chama cha Wananchi (CUF), imegawanyika vipande viwili kutokana na mgogoro wa uongozi unaoendelea ndani ya chama hicho.Kugawanyika kwa bodi hiyo kumekuja siku moja baada ya...
View ArticleShomari Kapombe nje wiki tatu
Klabu ya Azam FC leo October 5 2016 kupitia kwa mkuu wake wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu hiyo Jafari Iddi Manganga amethibitisha kupokea taarifa kutoka kwa daktari wa timu yao kuhusu beki...
View ArticlePICHA 3: Mchina afariki baada ya kukandamizwa na mtambo wa kushindilia lami...
Ujenzi wa barabara ya kuanzia Tengeru Arusha hadi Taveta Voi ya ukubwa wa km 234.3 iliyozinduliwa March 3 mwaka huu na Rais John Magufuli, wakati ujenzi ukiendelea kumetokea ajali ambapo Raia wa china...
View ArticleRais Magufuli afanya tena ziara ya kushtukiza Airport Dar es salaam
Leo October 5 2016 Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Joseph Kabila Kabange amemaliza ziara yake ya kiserikali ya siku tatu hapa nchini na kurejea nchini kwake. Katika uwanja wa ndege wa...
View ArticleVIDEO: Utani wa mchekeshaji Eric Omondi kwa wanaotaka kuwa kama Rais Magufuli
Eric Omondi raia wa Kenya ambaye ni moja kati ya watu waliobarikiwa vipaji vingi ikiwemo uwezo binafsi wa kuchekesha kupitia maneno na mwili wake pia.Baada ya kufanya ile ya mambo ya kuzingatia kwa...
View ArticleVideo: Behind the scene Nisamehe ya Baraka da Prince na Alikiba studioni
Moja kati ya single zinazopata airtime ya kutosha kwenye Tv na Radio stations mbalimbali kwa sasa ni Nisamehe ya Baraka da Prince na Alikiba. Pengine wewe ni moja kati watu wanao ukubali mdundo huu na...
View ArticleTFF imetangaza maamuzi tofauti na yaliosambaa mtandaoni kuhusu refa wa Yanga...
Shirikisho la soka Tanzania TFF leo October 5 2016 kupitia kwa afisa habari wake Alfred Lucas imetangaza maamuzi yaliofikiwa na kamati kuhusiana na mchezo wa Simba naYanga uliochezwa October 1 2016 na...
View ArticleHEKAHEKA: Binadamu aliyegeuka fisi baada ya kukosewa masharti ya mazishi…
October 5, 2016 kupitia Leo Tena ya Clouds FM, Mtangazaji Geah Habib amekutana na stori huko Mtwara juu ya mwanaume mmoja aliyekua mganga wa kienyeji, mtu huyo inadaiwa kuwa alitoa masharti kwa watoto...
View ArticleChura ya Snura ruksa kwenye TV na Radio
Leo october 5 2016 Mrembo kutoka Bongoflevani Snura ambaye alizichukua headline baada ya wimbo wake wa Chura kufungiwa na Baraza la Sanaa Tanzani (BASATA) leo mtu wangu nina goodnews kutoka kwa Snura...
View ArticleUPDATES: Full list ya washindi wa Tuzo za BET Hip-Hop Awards 2016 iko hapa
Mtu wangu wa nguvu nakuletea list ya washindi wa tuzo za BET Hip-Hop Awards zilizotolewa kwenye ukumbi wa Cobb Energy Performing Arts Centrejijini Atlanta Marekani; na kuoneshwa usiku wa kuamkia leo...
View ArticleVIDEO: Mapya yaibuka Kijiji cha mauaji, Mke wa Waziri achomoka ATCL
AyoTV kila asubuhi itakua inakuletea uchambuzi wa magazeti ya Tanzania kuhakikisha zote kubwa za siku unazipata, za leo October 5 2016 ziko hapa kwenye hii video.ULIKOSA RAIS MAGUFULI KUSISITIZA KUUZWA...
View ArticleUTAFITI: Haya hapa Madhara ya kukaa sehemu moja kwa muda mrefu..
V10 likesImeelezwa kuwa watu wanaokaa kitako maofisini au kwenye foleni za magari kwa zaidi ya masaa manne wako katika hatari ya kupata magonjwa yasiyokuwa ya kuambukiza ikiwemo magonjwa ya Moyo,...
View ArticleAnayetuhumiwa kutoboa macho Buguruni DSM apandishwa Kizimbani
Mkazi wa buguruni kwa mnyamani anayetuhumiwa kuwachoma watu visu na kisha kuwatoboa macho, Salum Henjewele maarufu kama Scorpion amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya Ilala na kusomewa...
View ArticleBurundi imeamua kusitisha ushirikiano wake na UN kuhusu Haki za Binadamu
Serikali ya Burundi imechukua uamuzi wa kusitisha ushirikiano wake na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu, inayotuhumiwa kula njama katika kuandaa ripoti ya Uchunguzi Huru wa Umoja wa Mataifa...
View Article