Wakazi wa Magome Kota kuishi miaka 5 kwenye nyumba za kupanga bila kulipa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza waliokuwa wakazi wa Magomeni Kota kukaa kwenye nyumba za Serikali miaka mitano bure na baadaye kuzinunua kwa bei...
View ArticleTaarifa ya spika Job Ndugai kuhusu Rais Magufuli kupitisha miswada mitano
Na Eleuteri Mangi-MaelezoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameridhia na kusaini Miswada mitano kutumika kama Sheria kamili za nchi.Hayo yamesemwa na Spika wa Bunge la...
View ArticleJeshi la Magereza lawasilisha taarifa za utekelezaji wa sheria ya Bodi za...
Jeshi la Magereza nchini limekabidhi rasmi ripoti ya taarifa ya utekelezaji wa sheria ya bodi za Parole kwa Mwenyekiti wa bodi hiyo Taifa, Agustino Lyatonga Mrema ikihusisha uelewa na elimu juu ya...
View ArticleRais Magufuli apokea ujumbe kutoka kwa Rais Salva Kiir na Rais Nkurunziza
Rais wa Jamhuri ya Sudan Kusini Mhe. Salva Kiir Mayardit amemtumia ujumbe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki...
View ArticleUVCCM Wamtetea Rais Magufuli.... Wasema Hotuba Yake Aliyoitoa Zanzibar...
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesema Rais John Magufuli, hana baya alilolitamka katika mikutano yake ya Unguja na Pemba, bali amezika upotoshaji wa siasa uchwara, kusafisha upepo...
View ArticleAfikishwa Mahakamani kwa Kumtisha Rais Magufuli Kupitia Mtandao wa Watsapp
Mfanyabiasha Leonard Materu (31) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kutuma ujumbe wa kumtishia Rais John Magufuli kupitia mtandao wa...
View ArticleBASI LA NEW FORCE LAPINDUKA NA KUUWA WATU 12 NA KUJERUHI 30 HUKO NJOMBE
Basi la New Force kutoka Dar es salaam kwenda Songea limepata ajali baada ya kupinduka eneo la Kifanya kilomita kadhaa kutoka mkoani Njombe.Ajali hiyo imetokea Septemba 19,2016 majira ya saa moja na...
View ArticleBreaking News: Basi La Super Shem Lagongana Na Hiace Na Kuua Watu 11 Huko...
Basi la Super Shem linalofanya safari za Mwanza kwenda Mbeya limepata ajari ya kugongana na hiace katika kijiji cha Hungumalwa wilayani Kwimba jijini Mwanza na kusababisha vifo vya watu wanaodaiwa...
View ArticleRais Magufuli atengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya Mfuko wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 21 Septemba, 2016 ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Prof. Hasa Mlawa kuanzia...
View ArticleMahakama ya Kisutu yamtaka Mhe.Tundu Lissu kufika mahakamani kujieleza kwa...
Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemtaka mbunge wa Singida Mashariki kupitia CHADEMA, Mhe.Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uchochezi pamoja na wahariri wa gazeti la Mawio...
View ArticleBREAKING NEWZZ!!! MASKINIII MTU ASIYEJULIKANA ATOA MIMBA NA KUMTUPA MTOTO...
BREAKING NEWZZ!!! MASKINIII MTU ASIYEJULIKANA ATOA MIMBA NA KUMTUPA MTOTO NDANI YA MAJI....SAMAHANI KWA PICHA HII
View ArticleInasikitisha!! Watafiti Watatu wa Serikali Wauawa na Wananchi Kwa Kuchomwa...
Yowe ya kuvamiwa na wanyonya damu , iliyopigwa na wanawake waliokuwa wakichimba chumvi katika Kijiji cha Iringa-Mvumi wilayani Chamwino, Mkoa wa Dodoma ndiyo iliyosababisha kuuawa kwa watafiti wa Chuo...
View ArticleTazama video mpya ya Lady JayDee- Sawa Na Wao (Official Music Video)
Tazama video mpya ya Lady JayDee- Sawa Na Wao (Official Music Video)
View ArticleKituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) latoa tamko siku ya wazee duniani
OKTOBA Mosi (1) ya kila mwaka ni siku iliyoteuliwa na Umoja wa Mataifa kuadhimisha uwepo wa wazee katika jamii kote ulimwenguni. Siku hii ilianza kuadhimishwa rasmi Oktoba 1, 1991 kwa lengo la kuongeza...
View ArticleProf. Lipumba Ateua Wakurugenzi Wapya... Atoa maagizo kwa bodi ya wadhamini...
Licha ya baadhi ya viongozi wa ngazi za juu wa Chama cha Wananchi (CUF) na wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kutamka kutomtambua Profesa Ibrahim Lipumba kama mwenyekiti wa CUF, Lipumba ameendelea...
View ArticleBarua ya Baraza Kuu la CUF kwa Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis...
YAH: MSIMAMO NA USHAURI WA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUHUSU UONGOZI WA KITAIFA WA CHAMA CHA THE CIVIC UNITED FRONT (CUF)Tafadhali husika na somo hapo juu pamoja na barua yako ya tarehe 23 Septemba...
View Article