Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

Breaking News: Basi La Super Shem Lagongana Na Hiace Na Kuua Watu 11 Huko Hungumalwa Kwimba Mwanza

$
0
0

Basi la Super Shem linalofanya safari za Mwanza kwenda  Mbeya limepata ajari ya kugongana na hiace katika kijiji cha Hungumalwa wilayani Kwimba jijini Mwanza na kusababisha vifo vya watu  wanaodaiwa kufika 11 asubuhi hii.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo, wanaeleza kuwa Basi hilo liliigonga gari hiyo ndogo ambayo iliingia kwenye barabara kubwa bila ya kuwa na tahadhali, Juhudi za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza zinaendelea kufanyika ili kuthibitisha tukio hilo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

Trending Articles