Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

BASI LA NEW FORCE LAPINDUKA NA KUUWA WATU 12 NA KUJERUHI 30 HUKO NJOMBE

$
0
0
 
Basi la New Force kutoka Dar es salaam kwenda Songea limepata ajali baada ya kupinduka eneo la Kifanya kilomita kadhaa kutoka mkoani Njombe.

Ajali hiyo imetokea Septemba 19,2016 majira ya saa moja na dakika 40 usiku.


Inaelezwa kuwa watu 12 (wanawake 8,wanaume 4) wamepoteza maisha huku 30 wakijeruhiwa.

Abiria wa basi hilo wanasema basi  lilikuwa katika mwendo kasi na kwamba lilinusurika kupinduka mara mbili na mara ya tatu ndipo likapinduka.

Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe ACP Prudenciana Protas amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

Trending Articles