UVCCM Wamtembelea Kjiana Aliyetobolewa Macho na Scormpion
UMOJA wa Vjana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umelihimiza Jeshi la polisi nchini kutambua kuwa ujambazi, wizi wa kutumia silaha na uporaji bado ni tatizo linalohitaji kushughulikiwa kwa nguvu zote...
View ArticleMashahidi Kesi ya Ester Bulaya wapunguzwa... Sasa Keshi hiyo Kutolewa Maamuzi...
Mashahidi wa pande zote mbili katika kesi ya kupinga ushindi wa Ester Bulaya katika uchaguzi wa mbunge wa Jimbo la Bunda wamepunguzwa na kuweka mazingira ya shauri hilo kutolewa uamuzi mapema.Katika...
View ArticleCUF Tanga Wamgomea Profesa Lipumba... Waahidi kutompokea katika Ziara Zake
CHAMA cha Wananchi (CUF) wilayani hapa kimetoa tamko la kutomtambua Mwenyekiti wa Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba, na kwamba hakitampokea katika ziara yake.Lipumba anatarajia kuanza ziara mkoani Tanga...
View ArticleAfrica Yatoa Heshima Nyingine Kubwa kwa Mwalimu Nyerere
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amezindua jengo jipya makao makuu ya Umoja wa Afrika ambalo limepewa jina la rais mwanzilishi wa taifa la Tanzania, Julius Nyerere.Jengo hilo ambalo jina lake kamili...
View ArticleSerikali Yakiri uhaba wa Dawa na vifaa tiba katika hospitali nchini
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, amekiri kuwapo uhaba wa dawa na vifaa tiba katika hospitali za Serikali nchini.Amesema uhaba huo wa dawa ni changamoto ya muda mfupi na Serikali inatafuta...
View ArticleMaalim Seif Aziandikia Barua Benki Zote Nchini Kupinga Profesa Lipumba...
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amemdhibiti mwenyekiti anayetambulika na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Profesa Ibrahim Lipumba kwa kuandika barua kwa benki zote...
View ArticleMwalimu Ashinda Kesi ya Kumtukana Mwanafunzi wa Kidato cha 6 Huko Iringa
Mahakama ya Mwanzo Iringa Mjini imemuachia huru mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Kiwele baada ya kukosa ushahidi wa kumtia hatiani katika kesi ya kumtukana mwanafunzi.Mwalimu huyo, Elizabeth Maliga...
View ArticleTaarifa mpya ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kuhusu tukio la kupigwa kwa Mwanafunzi...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makala amesema kuwa wanafunzi wa ualimu na walimu waliohusika na tukio la kumpiga mwanafunzi katika Shule ya Sekondari ya Kutwa Mbeya tayari wanaendelea kuhojiwa na Jeshi la...
View ArticleRais Magufuli afuta safari za watumishi wa serikali kwenda Kwenye Kilele cha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza viongozi wote wa Serikali walioalikwa kuhudhuria sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa zitakazofanyika tarehe...
View ArticleNauli za daladala kuanza kulipwa kielektroniki kuanzia mwakani ili kubaini...
Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imetangaza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa ukataji wa tiketi za mabasi na daladala kwa njia ya kielektroniki.Hatua hiyo ina lengo la kurahisisha...
View ArticleWaziri Awapa Ahaueni walimu Waliotoa kipigo kwa mwanafunzi Mbeya
Baada ya uamuzi wa kuwafukuza vyuo walimu wanne waliokuwa kwenye mafunzo ya vitendo katika Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Mbeya (Mbeya Day), serikali imesema vyuo husika vinaweza kushauri adhabu...
View ArticleTanzia: Aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam Dk. Didas Masaburi afariki Dunia
Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi amefikwa na umauti jana majira ya saa tatu na nusu usiku katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa.Taarifa za kifo chake...
View ArticleRais Magufuli Atuma Salamu za Rambirambi kufuatia kifo cha Meya Mstaafu wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameitumia salamu za rambirambi familia ya Meya Mstaafu wa Jiji la Dar es Salaam Dkt. Didas Masaburi aliyefariki dunia jana tarehe 12...
View ArticleNauli za ATCL zitakazotumika kuanzia Oktoba 14 hadi 28
Ndege mbili mpya za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Bombardier Q400 zinatarajia kuanza kazi wakazi wa mikoa ya Mwanza, Arusha na Zanzibar watakuwa wa kwanza kupata ofa.Ofisa Habari wa shirika...
View ArticleKampuni ya Moladi Yaahidi kujenga nyumba za watumishi Dodoma
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameikaribisha kampuni ya ujenzi ya Moladi Tanzania ielekeze nguvu zake Dodoma ambako kuna mahitaji makubwa ya nyumba za watumishi.“Natambua kuwa mnatumia teknolojia ya...
View ArticleMashahidi 16 Kujenga Kesi ya Akina Halima Mdee na Saed Kubenea
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewasomea maelezo ya awali (PH) washtakiwa wanane wakiwamo, wabunge watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) katika kesi ya kumpiga na kumjeruhi Katibu...
View ArticleMbio Za Kilimanjaro Marathon 2017 Zazinduliwa Dar Es Salaam, Kufanyika...
Mbio za Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2017 ambazo ni za 15 tangu Kuanzishwa kwake, zimezinduliwa rasmi leo jijini Dar es Salaam katika mkutano na wanahabari, wadhamini na Chama Cha Riadha...
View ArticleAUDIO: Wachina wakamatwa Mtwara, wakutwa wakibadili Expire date kwenye dawa
Watu watano wakiwemo raia wawili wa China na Watanzania watatu wamekamatwa Mtwara kwa kutuhumiwa kubadili tarehe zilizokwisha muda wa matumizi kwenye dawa za kilimo (expire date) ili dawa hizo...
View ArticleRC Arusha Arejesha fedha zaidi ya shilingi milioni 1.3 alizokuwa amelipwa kwa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo leo ametekeleza agizo la Rais Magufuli la kusitisha safari ya kwenda Mkoani Simiyu kwenye sherehe za kuhitimisha kilele cha mbio za mwenge wa Uhuru kwa...
View Article