Polisi Dar yaua majambazi wanne wanaodaiwa kuwaua askari wanne waliokuwa...
Kikosi Maalumu cha Kupambana na Ujambazi wa Kutumia Silaha cha Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kilifanikiwa kukamata watuhumiwa wanne wa ujambazi waliohusika katika mauaji ya askari...
View ArticleProfesa Anna Tibaijuka amwakilisha Amwakilisha Rais Magufuli mkutanoni UN
Rais Dk. John Magufuli, amemteua aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kumwakilisha katika mkutano wa makazi wa Habitat III unaofanyika katika mji wa Quito,...
View ArticleRais Magufuli Aagana Na Kiongozi Mkuu Wa Bohora Duniani, Ikulu Jijini Dar
Jumuiya ya Madhehebu ya Dawoodi Bohra imetoa mchango wa Dola za Marekani laki mbili na nusu (Usd. 250,000) sawa na Shilingi Milioni Mia Tano Arobaini na Tano za Kitanzania (Ths. 545,000,000) kwa ajili...
View ArticleMiaka 17 Bila Nyerere: Mwinyi Asema Taifa Limepoteza Mwelekeo, Asikitishwa na...
Wakati Tanzania leo ikiadhimisha kumbukumbu ya miaka 17 tangu kufariki kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amesema Taifa limepoteza mwelekeo...
View ArticleKafulila Akwaa kisiki cha mwisho mahakamani.......Ubunge wampita Kushoto...
Hatimaye mbio za David Kafulila kupinga mahakamani matokeo ya uchaguzi wa ubunge wa Kigoma Kusini ya Oktoba mwaka jana uliompa ushindi Husna Mwilima (CCM) zimefika ukingongoni baada ya mahakama ya...
View ArticleAliyeng'olewa Macho na Scorpion Aneemeka...Apewa Nyumba, Bodaboda 5, Bajaji...
Tangu mkazi mmoja wa Dar es Salaam Said Ally alivyoeleza namna alivyofanyiwa ukatili na kutobolewa macho yake mawili mbele ya umati wa watu katika eneo la Buguruni, watu wengi wamejitolea kwa hali na...
View ArticleDiwani Chadema anaswa na dawa za kulevya, bunduki
Jeshi la Polisi Mkoani Rukwa linamshikilia Diwani wa kata ya Izira, Paschael Silimba (Chadema) baada ya kumkamata akiwa na dawa za kulevya aina ya bangi na bunduki moja aina ya gobole.Kamanda wa Polisi...
View ArticleMbowe kuiburuza Serikali mahakamani
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema ataiburuza Serikaliya Awamu ya Tano mahakamani ili chombo hicho cha haki kitoe tafsiri ya vitendo vya ukandamizaji wa...
View ArticleSerikali Yaiamuru Bodi ya Mikopo Istishe Makato na Imlipe Pesa Zake Mstaafu...
Serikali imeiagiza Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kusitisha mara moja makato ya fedha yaliyokuwa yakifanywa kwenye malipo ya pensheni ya mstaafu Ernest Lameck, katika Chuo cha Ualimu cha...
View ArticleMakontena 100 Yapitishwa Kinyemela Bandarini Bila Kukaguliwa .....Waziri...
WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage ametoa siku nne kwa wafanyabiashara waliopitisha makontena 100 bandarini bila kukaguliwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS), wakatoe taarifa...
View ArticleTaarifa Ya Jeshi La Polisi Kwa Umma Kutoka Mkoa Wa Mwanza
Tarehe 12.10.2016 majira ya saa 16:35 katika eneo la Busenga “A” kata ya Buswelu wilaya ya Ilemela jiji na mkoa wa Mwanza, askari walifanikiwa kumkamata mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Juma Biria...
View ArticleBREAKING NEWZZ!! TCRA Yapiga Marufuku Uuzwaji wa Samsung Galaxy note 7 Hapa...
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepiga marufuku uingizaji na usambazaji wa simu za mkononi za Smartphone Samsung Galaxy note 7 kwa kuwa zina matatizo ya betri.TCRA pia imewataka wananchi ambao...
View ArticleRais Magufuli afanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Biashara wa China kuhusu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 14 Oktoba, 2016 amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe.Qian Keming...
View ArticleBREAKING NEWZZ!! Bodi Ya Mikopo Yapitisha Majina 7904 Ya Wanafunzi Waliopata...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imetangaza awamu ya kwanza ya majina ya wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na vyuo vya elimu ya juu nchini watakaopewa mkopo kugharimia masomo yao....
View ArticleUpepo Mkali Waezua Nyumba 44 Musoma
Upepo mkali ukiambatana na mvua umeezua nyumba 44 katika Kijiji cha Kiemba Kata ya Ifulifu, Wilaya ya Musoma mkoani Mara. Kati ya nyumba hizo, tano ziliathirika vibaya kiasi cha kusababisha wamiliki...
View ArticleDr. Shein: Hatutakubali misaada yenye masharti
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein amesema serikali ipo madhubuti katika kupembua misaada ambayo wahisani mbalimbali wapo tayari na katika misaada ambayo itakuwa na masharti magumu kwa sasa...
View ArticleMakamu Wa Rais Samia:tunaendelea Kuziba Mianya Ya Rushwa/wafichueni Wafuja...
Na Mwamvua Mwinyi,PwaniMAKAMU wa rais ,Samia Suluhu Hassan,amewataka kuwafichua watumishi mbalimbali wa halmashauri na taasisi za serikali katika wilaya na mikoa wanaodhaniwa kufuja fedha za serikali...
View ArticleSingeli Michano: Sholo Mwamba Aingia Kifalme Dar Live
Shollo MwambaBaadhi ya mashabiki wakiserebuka. Shollo Mwamba baada ya kupandisha jukwaani akiwa amebebwa kifalme.
View Article