Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

Video: Behind the scene Nisamehe ya Baraka da Prince na Alikiba studioni

$
0
0
Moja kati ya single zinazopata airtime ya kutosha kwenye Tv na Radio stations mbalimbali kwa sasa ni Nisamehe ya Baraka da Prince na Alikiba. Pengine wewe ni moja kati watu wanao ukubali mdundo huu na ungependa kuona jinsi ambayo ilikua wakati wa kurekodi studioni na producer ‘Ema the boy’
Mpaka tunaziona hits zinachezwa kwenye radio  hivi ndo inavyokua mtu wangu, unaweza kuicheck hapa >>>

ULIKOSA HAYA MAJIBU YA BARAKA THE PRINCE KWA WALIOSEMA AMESHINDA KUONGEA KINGEREZA BASI BONYEZA PLAY HII VIDEO HAPA>>>


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

Trending Articles