Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII HAPA VIDEO YA COLLABO YA MAFIKIZOLO, DIAMOND NA MASTAA WENGINE AFRICA…...

Good news mtu wangu, ile collabo ya kundi la Mafikizolo kutoka South Africa na mtu wetu Diamond Platnumz imetoka! ‘Tell Everybody’ ndio njia la wimbo, na ni wimbo ambao ni sehemu ya project ya Umoja wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JIONE PICHA 6 ZA MAFURIKO YA LOWASSA JANA DODOMA MJINI....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA WASANII MAARUFU WA BONGO MOVIE WAKIWA KATIKA MSAFARA WA KAMPENI ZA...

Baadhi ya nyota wa Bongo Movie wakiwa katika basi lao kwenye msafara wa kampeni za mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli.Wasanii hawa na wengine wengi wa kiume na fani ya muziki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHERIA YA MAKOSA YA MITANDAO YAPINGWA MAHAKAMANI...KIVIPI TAZAMA HAPA>>>

Mtandao wa watetezi wa haki za binaadamu THRDC pamoja na kituo cha haki za binaadamu LHRC wameamua kufungua kesi kupitia wakili Jebra Kambole kupinga baadhi ya vipengele kwenye sheria ya makosa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCRA YAPIGA MARUFUKU MTU AMBAYE SIO MGOMBEA KUSHIRIKI VIPINDI VYA TV VYA MOJA...

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kutoa taarifa kuwa kuanzia tarehe 10 Septemba 2015, na katika kipindi chote cha kampeni za uchaguzi mkuu 2015, watu ambao sio wagombea wa udiwani,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUBENEA AWASHUKIA NEC

Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Saed Kubenea amefichua mbinu za Tume ya uchaguzi (NEC) kukutana na mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

.....NI LOWASSA KILA KONA YA NCHI

Hakuna shaka kwamba jina la Edward Lowassa (pichani), ndilo linalozungumzwa zaidi kwenye kampeni za urais zinazoendelea sasa;iwe kwa mazuri au mabaya.Wakati Chadema na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA AAHIDI KUKOMESHA UTARATIBU WA VIONGOZI KULALAMIKA NA KUTOA AHADI HEWA.

Mgombea urais wa UKAWA Mh Edward Lowassa amesema akichaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano ataunda serikali itakayokuwa na viongozi wenye uwezo wa kuchukua hatua na kutatua matatizo ya wananchi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI: NITAHAKIKISHA NCHI HAIFANYWI SHAMBA LA BIBI

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema iwapo atachaguliwa kuingia Ikulu, atahakikisha nchi inapata mgao halali kutokana na uwekezaji kwenye rasilimali zilizopo.Akizungumza uwanja wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA: MAMA MZAZI WA MSANII WA KUNDI LA YAMOTO BAND DOGO ASLAY AFARIKI DUNIA

Mama mzazi wa ‘Dogo Aslay’, Moza Mohamed enzi za uhai wake.Mwimbaji wa Yamoto Band, Aslay Isihack ‘Dogo Aslay’ aliyefiwa na mama yake mzazi.Mama mzazi wa muimbaji wa Yamoto Band, Aslay Isihack ‘Dogo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZ..!! MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA LUSHOTO KUPITIA CHADEMA AFARIKI...

Mgombea ubunge wa jimbo la Lushoto mkoani Tanga, Mohamedi Mtoi Kanyawana wa UKAWA kupitia CHADEMA, amefariki dunia jioni hii baada ya gari walilokuwa wamepanda kupata ajali wakiwa wanatoka kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PITIA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI SEPT 13,2015, KWA HABARI ZOTE ZA UDAKU,...

Pitia hapa headline mpya kwenye magazeti mbalimbali ya Udaku, Michezo na Hardnews. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KUHUSU WATANZANIA WALIOKO MECCA SAUDI ARABIA AKIWEMO MZEE MAJUTO,...

Moja ya Habari zilizogusa Vichwa vingi vya Habari Duniani September 12 2015 ilikuwa Breaking News ya kuanguka kwa winch ya kujengea ambayo ilikuwa inatumika kwenye ujenzi wa eneo la pembeni ya Msikiti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BASATA YAWAONYA WASANII WANAOTUMIA LUGHA CHAFU KATIKA KIPINDI HIKI CHA...

KATIKA siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la wasanii kuvunja maadili, kukaidi adhabu na kutumia lugha chafu kwa makusudi katika kazi za Sanaa hususan muziki hali ambayo imezua malalamiko, masikitiko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA NDIYO MAMBO YALIYOMBEBA MAGUFULI MIKOA 11 ALIYOFANYA KAMPENI

KAMPENI za mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, zimemalizika katika mikoa 11 jana, kwa kumalizia katika Mkoa wa Simiyu, huku ajenda kadhaa na ubora wake wa kutawala jukwaa,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFURIKO YA LOWASSA YAHAMIA SINGIDA... APOKELEWA KIFALME, SHUGHULI ZASIMAMA...

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akionyesha mfano wa funguo kwa umati wa wananchi wa Singida, waliofurika kwa wingi kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BANGO LA DALADALA LAMKUNA LOWASSA....“MNASHANGAA LOWASSA KUPANDA DALADALA,...

Mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa alishangaza wapinzani wake wakati alipofanya ziara za kushtukiza jijini Dar es Salaam, ikiwa ni pamoja na kupanda daladala, lakini wananchi mkoani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ULE WIMBO MPYA WA ROMA ULIOIFANYA BASATA ITOE ONYO KWA WASANII... "VIVA ROMA...

Msanii wa Hip-hop ametoa track yake mpya inayoitwa VIVA ROMA. Kama kawaida, kwenye track hiyo amezungumzia mambo mengi yanayohusu Siasa za Tanzania;Haya  ni  Mashairi  ya  Wimbo  huo:Nimeshapigwa sana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PITIA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU SEPT 14,2015, KWA HABARI ZOTE ZA UDAKU,...

Pitia hapa headline mpya kwenye magazeti mbalimbali ya Udaku, Michezo na Hardnews. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA NI BALAA..!! ANGALIA PICHA ZA MWANZO ZA MAFURIKO YA LOWASSA LEO...

View Article
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live