Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

BREAKING NEWZZ..!! MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA LUSHOTO KUPITIA CHADEMA AFARIKI DUNIA KWA AJALI MBAYA YA GARI

$
0
0
Mgombea ubunge wa jimbo la Lushoto mkoani Tanga, Mohamedi Mtoi Kanyawana wa UKAWA kupitia CHADEMA, amefariki dunia jioni hii baada ya gari walilokuwa wamepanda kupata ajali wakiwa wanatoka kwenye kampeni za uchaguzi mkuu zinazoendelea.

Mpaka mauti yanamkuta Mohamed Mtoi, alikuwa ni afisa Mwandamizi Idara ya Uratibu wa Kanda makao makuu ya CHADEMA.

MTANDAO HUU WA DUNIA KIGANJANI UTAWALETEA HABARI ZAIDI KESHO

VIA: www.tanzaniaclassic.com

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

Trending Articles