Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

TANZIA: MAMA MZAZI WA MSANII WA KUNDI LA YAMOTO BAND DOGO ASLAY AFARIKI DUNIA

$
0
0

Mama mzazi wa ‘Dogo Aslay’, Moza Mohamed enzi za uhai wake.

Mwimbaji wa Yamoto Band, Aslay Isihack ‘Dogo Aslay’ aliyefiwa na mama yake mzazi.

Mama mzazi wa muimbaji wa Yamoto Band, Aslay Isihack ‘Dogo Aslay’, Moza Mohamed amefariki leo alfajiri katika Hospitali ya Temeke, jijini Dar es Salaam alimokuwa amelazwa.

Akizungumza na mwandishi wetu, Meneja wa Yamoto Band, Said Fella amethibitisha kutokea kwa msiba huo na kuongeza kuwa, Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho Temeke.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

Trending Articles