KANISA KATOLIKI SASA KUVUNJA NDOA
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis jana alieleza mabadiliko mapya yanayolenga kuwarahisishia Wakatoliki kuvunja ndoa zao na kuoa upya.Dhamira hiyo ni ishara nyingine ya dhamira ya Papa...
View ArticleRAIS KIKWETE ATUNUKIWA TUZO YA KIONGOZI BORA AFRIKA MASHARIKI
TANZANIA imetajwa kuwa kinara katika nchi za Afrika Mashariki kwa kutunza amani na utulivu tangu ipate uhuru, huku Rais Jakaya Kikwete akiibuka kiongozi bora katika ukanda huo kwa kujitolea kuleta...
View ArticleMGOMBEA MWENZA WA URAIS CCM AAHIDI UMEME KILA KIJIJI RUVUMA
MGOMBEA mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu ameanza ziara yake mkoani Ruvuma akiinadi ilani ya chama hicho huku akiahidi neema kwa wakulima wa kahawa na...
View ArticleMAAJABU..!! MNYAMA PUNDA AIBA MTOTO WA MIEZI 5 KWA KUMNG'ATA NA KUKIMBIA NAYE...
 Punda huyo akiwa ameuawa na kuchomwa moto na wananchi baada ya tukio hilo.Katika hali isiyokuwa ya Kawaida Mtoto Bosco Daudi mwenye umri wa miezi 5 amejeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili wake baada ya...
View ArticleAJALI MBAYA..!! BASI LA PEACE MAKER LAGONGA NA KUUWA DEREVA BODABODA HUKO...
Mwendesha pikipiki aliyefahamika kwa jina la Davidi Amoni umri (27) mkazi wa nyasubi wilayani kahama mkoani Shinyanga amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu baada ya kugongwa na Basi la kampuni ya...
View ArticlePITIA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI SEPT 09,2015, KWA HABARI ZOTE ZA UDAKU,...
Pitia hapa headline mpya kwenye magazeti mbalimbali ya Udaku, Michezo na Hardnews. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya...
View ArticleCCM YALAANI UDINI WA LOWASSA NA CHADEMA.
Nape Nnauye.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKatika hali ya kushangaza na kusikitisha tarehe 6/09/2015 siku ya Jumapili mjini Tabora mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chadema Ndg....
View ArticleULINZI CHUO KIKUU MMH!...EBU TAZAMA HII
HUKU kumbukumbu za tukio la uvamizi wa kigaidi lililosababisha mauaji ya wanafunzi 147 wa Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya zikiwa bado hazijafifia vichwani, hali ya ulinzi Chuo Kikuu Cha Dar es...
View ArticleNI HATARI!!! MUME ANG'ATA PUA YA MKE WAKE NA KUIMEZA KAMA SUPU...EBU JIONEE...
“Aliporudi kutoka kazini alianza kunishambulia kwa kunipiga kisha akaing’ata pua yangu na kumeza kipande cha nyama ya pua “ hayo ni malalamiko ya Mke wa Mr. Yang anayetokea kaskazini mwa nchi ya China...
View ArticleHUYU NDIYO MUFTI MKUU WA TANZANIA WA BAADA YA MUFTI SIMBA KUFARIKI DUNIA...
Mkutano mkuu wa baraza kuu la waislamu Tanzania Bakwata umempitisha Sheikh Abubakary Zubeir kuwa mufti mkuu wa awamu ya tatu wa Tanzania baada ya kukosa mpinzani katika kinyang’anyiro cha uchaguzi huku...
View ArticleTRENI YA ABIRIA YAACHA NJIA SHINYANGA,ABIRIA ZAIDI YA 150 WANUSURIKA KUFA
Hapa ni katika eneo la station mjini Shinyanga treni ya abiria ikiwa imeacha njia( haionekani vizuri hapo chini) na kusababisha abiria 159 waliokuwa wanasafiri na treni hiyo kutoka Tabora kwenda jijini...
View ArticleUMEIPATA HII YA WATU 89 KULAZWA BAADA YA KUBUGIA JUISI YENYE SUMU HARUSINI...
Wakazi 89 wa Kijiji cha Rugunga, Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamelazwa katika hospitali ya wilaya hiyo, baada ya kunywa juisi ya kienyeji inayosadikiwa kuwa na sumu wakati wa sherehe ya...
View ArticlePITIA HAPA MAGAZETI YA LEO IJUMAA SEPT 11,2015, KWA HABARI ZOTE ZA UDAKU,...
Pitia hapa headline mpya kwenye magazeti mbalimbali ya Udaku, Michezo na Hardnews. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya...
View ArticlePICHA 6 ZA MAFURIKO YA LOWASSA KIBAIGWA MKOANI DODOMA JANA....ZITAZAME HAPA>>>
Tangu tarehe 29 August ulipofanyika uzinduzi wa kampeni za Ukawa,Lowassa ameendelea kuwa gumzo sehemu mbali mbali anapofanya mikutano ya kampeni zake.Jana Sept 10,Lowassa alikuwa Mkoani Dodoma katika...
View ArticleMBUNGE WA CCM AIBUKA KATIKA MKUTANO WA ACT-WAZALENDO.....POLISI WAMWONDOA...
Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), aliyemaliza muda wake, Ally Keissy jana aliibuka kwenye mkutano wa kampeni wa chama cha ACT-Wazalendo na kupinga maelezo kwamba mshahara wake wa ubunge ni zaidi ya Sh10...
View ArticleLHRC YAMTAKA DKT. MAGUFULI KUFUTA KAULI ZAKE
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimekemea kauli zenye kuwajengea hofu wananchi kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kidemokrasia unaoendelea kwa kutoa mifano isiyoshabihiana na hali iliyopo...
View ArticleMWANACHAMA WA CHADEMA AUAWA NA WENGINE WATANO WAJERUHIWA KWENYE VURUGU ZA...
Mtu moja amefariki na wengine watano kujeruhiwa baada ya kuzuka vurugu za kisiasa katika jimbo la Tarime mkoani Mara na gari la mgombea wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Esther Matiku...
View ArticlePICHA KUTOKA KWENYE MKUTANO WA MGOMBEA URAIS WA CCM JOHN MAGUFULI MUSOMA SEPT...
Ziara za wagombea nafasi za Urais kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania bado inazidi kuchukua kasi,upande wa Chama Cha Mapinduzi na mgombea wake John Magufuli leo walikua wakizungumza na wapiga kura wa...
View ArticleUNYAMA..!! MWINJILISTI AUAWA KWA KUCHOMWA MISHALE HUKU MWALIMU AKIUAWA KWA...
MWINJILISTI wa Kanisa la Wasabato wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, Yese Milenyi (50), ameuawa kwa kuchomwa mishale na watu wasiojulikana.Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda...
View Article