JAMES MBATIA NAYE AFUNGUKA KUHUSU TUHUMA ZA DR. SLAA...MSIKILIZE HAPA
BOFYA HAPA CHINI KUISIKILIZA VIDEO HII
View ArticleMAGUFULI NOMAAA!!! TAZAMA UMATI WA WATU WALIVYOJITOKEZA MTWARA...JIONEE...
Headlines za Tanzania kwa sasa ni kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka huu2015,Wagombea wa nafasi mbalimbali wanapita kila sehemu,kila Mkoa,kila Wilaya kunadi sera zao ambapo leo Mgombea wa Chama Cha...
View ArticlePITIA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI SEPT 03,2015, KWA HABARI ZOTE ZA UDAKU,...
Pitia hapa headline mpya kwenye magazeti mbalimbali ya Udaku, Michezo na Hardnews. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya...
View ArticleMAMA SAMIA AITEKA DODOMA MJINI, MAELFU WAFURIKA MKUTANO WAKE
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan, akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni Dodoma mjini.Kijana akiwa na bango wakati akienda mkutano wa kampeni za CCM...
View ArticleMAMA ZARI AMALIZA UBISHI!
MAMA mkwe wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambaye pia ni mama mzazi wa mzazi mwenza wa staa huyo, Zarinah Hassan ‘The Boss Lady’, Halima Hassan amempigia chapuo msanii huyo kwa kumpa...
View ArticleDENTI ACHINJWA, ATOLEWA UTUMBO!
Inatisha! Kijana anayedaiwa ni denti wa sekondari aliyetajwa kwa jina la Manka Omari (19), mkazi wa Golani-Kimara jijini Dar, anadaiwa kuuawa kikatili kwa kuchinjwa na kutolewa utumbo na watu wenye...
View ArticleVIJANA 100 ARUSHA WANAOMUUNGA MKONO DR. SLAA WAHAMA UKAWA NA KUJIUNGA...
WANACHAMA zaidi ya 100 wa Chadema, NCCR-Mageuzi na CUF wameandamana mjini Arusha na kuchoma moto bendera na kadi za vyama hivyo, wakimuunga mkono aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod...
View ArticleTANESCO YAMSHTAKI ASKOFU GWAJIMA POLISI
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limeishtaki polisi Kanisa la Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima kutokana na kuharibu miundombinu ya umeme katika maeneo ya shirika hilo...
View ArticleLOWASSA AAHIDI KUCHUNGUZA UPYA SAKATA LA OPERESHENI TOKOMEZA
Mgombea urais wa Chadema chini ya mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa amesema akichaguliwa kuwa rais wa Awamu ya Tano, ataunda tume tatu ikiwamo ya kuchunguza upya sakata la Operesheni Tokomeza Ujangili...
View ArticleMKE WA DR. SLAA AMWAGA MBOGA......ASEMA SLAA NI MUONGO, DHAIFU NA ANATUMIWA...
Mke wa zamani wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, Rose Kamili jana aliibuka na kumtuhumu mzazi mwenzake huyo kwamba anatumiwa kuvuruga upinzani...
View ArticlePITIA HAPA MAGAZETI YA LEO IJUMAA SEPT 04,2015, KWA HABARI ZOTE ZA UDAKU,...
Pitia hapa headline mpya kwenye magazeti mbalimbali ya Udaku, Michezo na Hardnews. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya...
View ArticlePITIA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI SEPT 05,2015, KWA HABARI ZOTE ZA UDAKU,...
Pitia hapa headline mpya kwenye magazeti mbalimbali ya Udaku, Michezo na Hardnews. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo..........................
View ArticleGODBLESS LEMA AACHIWA KWA DHAMANA.
Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema na wenzake wanne wameachiliwa kwa dhamana jana baada ya kushikiliwa na polisi juzi.Polisi...
View ArticleGAZETI LA MWANAHALISI LAFUNGULIA RASMI
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imesema Waziri wa Habari, Dk. Fennela Mkangara hakufuata utaratibu wa kisheria katika kulifungia gazeti la MwanaHALISI Julai 30 miaka mitatu iliyopita. Jaji Salvatory Bongole...
View ArticleMKE MDOGO WA DR. SLAA NAYE AJIBU MAPIGO......ASEMA MUMEWE AMEACHANA NA SIASA...
Hatimaye mke mdogo wa Dk. Willibrod Slaa, Josephine Mushumbusi, ameibuka na kujibu baadhi ya hoja ambazo zimekuwa zikielekezwa kwake yeye binafsi na kwa mume wake na zaidi akisema yote yanayosemwa...
View ArticleLIPUMBA AKANA KUTUMIWA NA CCM KUVURUGA UPINZANI
Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema wanaodhani wanatumika CCM wamekosa mwelekeo kwani alikuwa kinara wa kuitaka itoke madarakani.Profesa Lipumba aliyekuwa...
View Article‘UKOMEDI’ WAMSAIDIA KINGWENDU KUOMBA KURA JIMBO LA KISARAWE
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kisarawe kupitia Cuf, Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu’ juzi alikuwa kivutio wakati akitambulishwa na mgombea mwenza wa urais wa Jamhuri, Juma Duni Haji.Juma Duni Haji ni mgombea...
View ArticleMABANGO YA LOWAASSA YAZUA KIZAAZAA
Mabango yenye picha ya mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, yanayoendelea kubandikwa katika maeneo mbalimbali nchini yamezua kizaazaa, baada ya...
View Article