PITIA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI SEPT 06,2015, KWA HABARI ZOTE ZA UDAKU,...
Pitia hapa headline mpya kwenye magazeti mbalimbali ya Udaku, Michezo na Hardnews. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo.....
View ArticleDR. SLAA AISHAMBULIA CHADEMA KWA MARA YA PILI.......ASISITIZA KUWA LOWASSA NI...
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk Wilbrod Slaa amejitokeza hadharani kwa mara nyingine na kujibu watu waliojitokeza kuponda hotuba yake, aliyoitoa hivi karibuni...
View ArticlePICHA: MAFURIKO YA LOWASSA YAHAMIA TABORA NI BALAAAA
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasalimia wananchi wa Mji wa Tabora, Septemba 5, 2015.Aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa...
View ArticleKUBENEA KUMVAA DR. SLAA......ASEMA ATAANIKA MAOVU YAKE YOTE WATANZANIA WAJUE
Katika taarifa yake kwa Mwanahalisi Online, Saed Kubenea, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers Ltd (HHPL) wachapishaji gazeti la MwanaHALISI, (ambaye amechimba kwa undani sakata la...
View ArticleDK MAGUFULI KUWANYANG'ANYA VIGOGO ARDHI WALIYOJILIMBIKIZIA NA KUIGAWA KWA...
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akikimbia kuonesha ukakamavu kwenda jukwaani kujinadi wakati wa mkutano wa kampemi katika Uwanja wa Taifa mjini Ifakara wilayani Kilombero, Mkoa...
View ArticleHII NI LIST YA MASTAA WA MOVIE NA SOKA WANAOFANANA, DI MARIA, MESSI NA KOLOU...
Kuna usemi unaosema duniani watu wawili wawili kwa maana ya kuwa kila mtu duniani ana mtu aliyefanana naye. Huenda ukawa hujawahi kuonana na mtu unayefanana naye ila huwa inaamika kuwa yupo tu sema...
View ArticleANGALIA PICHA- MAGUFULI "TINGA TINGA" BALAA ,AFUNIKA VIBAYA MKOANI...
Mgombea urais kupitia CCM Dr John Pombe Magufuli amesema serikali yake itatilia mkazo suala la ukusanyaji wa kodi hasa kwa wawekezaji wa nje pamoja na kuangalia upya misamaha ya kodi ili kuiwezesha...
View ArticleWEKA PEMBENI MAFURIKO YA MAGUFULI NA LOWASSA...HAYA NI YA ACT WAZALENDO HUKO...
Kampeni meneja Habibu Machange akiongea na wakazi wa mji wa Kigoma Moses Machali akiongea na wana Kigoma Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo Mama Anna Mgwira akiongea na wananchi wa Jimbo la...
View ArticleANGALIA RATIBA YA LOWASSA MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA MPAKA OKTOBA 25
U K A W A!CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)RATIBA YA MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 2015tarehe mkoa wilaya muda maelezo29/8/2015 Dar es salaam wilaya zote saa 1.00 asubuhi...
View ArticleNI BALAA SANAAAA!! LOWASSA AITINGISHA NZEGA,AFANYA MAFURIKO YA HATARI,...
Wananchi wa wilaya Nzega mkoani Tabora wamewataka watanzania wanaotaka mabadiliko ya kweli wamesema kabla ya CCM na serikali yake kutaka kuendelea kutawala wana deni kubwa la kuwaeleza watanzania...
View ArticlePITIA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU SEPT 07,2015, KWA HABARI ZOTE ZA UDAKU,...
Pitia hapa headline mpya kwenye magazeti mbalimbali ya Udaku, Michezo na Hardnews. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya...
View ArticleMAKAMBA ASEMA LOWASSA NI FISADI.......AIPONGEZA CCM KULIKATA JINA LAKE
KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba, amepongeza chama hicho kwa kukata jina la Edward Lowassa, katika kundi la wawania urais wa chama hicho kwa kuwa hakuwa na sifa za kuwa...
View ArticlePICHA: MAGUFULI, RAIS KIKWETE WAUTEKA MJI WA MOROGORO.
Sehemu ya gharika la wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawalaSehemu ya gharika la wananchi katika Uwanja wa...
View ArticleUKOSEFU WA UMEME KUKUMBA MIKOA YOTE YA GRIDI YA TAIFA KUANZIA LEO...MIKOA...
BAADA ya kufika kwa gesi asilia jijini Dar es Salaam ikitokea Mtwara, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), itaingiza gesi hiyo katika...
View ArticleMAGUFULI AFUNIKA MOROGORO........KIKWETE ASEMA BAADA YA UCHAGUZI UKAWA...
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amesema Serikali atakayoiongoza itajenga viwanda vikubwa, vya kati na vidogo ili kuongeza ajira na...
View ArticleSUMAYE: WALIOFICHA FEDHA NJE WATAZIRUDISHA; MAGUFULI HAIINGII IKULU...
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, amesema kama Lowassa atafanikiwa kuingia madarakani Watanzania walioficha fedha nje ya nchi watazirudisha.Sumaye alitoa kauli hiyo jana alipohutubia mkutano wa...
View ArticleGWAJIMA KUJIBU MAPIGO YA DK SLAA KESHO DAR
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kesho anatarajia kujibu mapigo kuhusu tuhuma dhidi yake zilizotolewa na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk Willibrod Slaa ambaye hivi karibuni...
View ArticleMBOWE: ULOFA NA UPUMBAVU WETU NI KWA SABABU YA CCM...TAZAMA ALICHOKISEMA
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema ili umasikini unaowakabili Watanzania uweze kuondoka lazima washirikiane kuiondoa madarakani CCM.Amesema ulofa na upumbavu wanaodaiwa kuwa nao Watanzania...
View ArticleCHAMA CHA TPP CHAPIGWA MARUFUKU KUFANYA KAMPENI
OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania kimetoa onyo kali kwa Chama cha Tanzania Peoples Part (TPP) kutoshiriki katika shughuli zozote za kisiasa zinazoendelea nchini. .Kauli hiyo imekuja baada ya...
View Article