$ 0 0 Kampeni meneja Habibu Machange akiongea na wakazi wa mji wa Kigoma Moses Machali akiongea na wana Kigoma Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo Mama Anna Mgwira akiongea na wananchi wa Jimbo la Kigoma Mjini,jimbo ambalo Zitto Kabwe anawania Ubunge