Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA DIAMOND- UNAITWA CCM NO. 1

Diamond kaamua kuja na hii mpya, ameipa jina CCM No-1 ikiwa ni maalum kwa ajili ya kampeni za uchaguzi mkuu mwaka huu. Isikilize hapa….

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIMEKUWEKEA HAPA WIMBO MPYA WA SNAIDA- Unaitwa UKAWA TAIFA KUBWA,USIKILIZE NA...

Wimbo  mpya  unaohusu Umoja wa Katiba ya Wananchi ‘UKAWA’ kutoka kwa msanii chipukizi nchini, Snaida. Isikilize hapa….

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFURIKO YA JANGWANI YAHAMIA SHINYANGA,ZIKO HAPA PICHA 38 ZA MKUTANO WA...

Hapa ni katika viwanja vya Shycom mjini Shinyanga ambako maelfu ya wakazi wa Shinyanga wamefurika katika uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi mkuu ujao wilaya ya Shinyanga hususani jimbo la Shinyanga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PERUZI HAPA MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATATU AGOSTI 31,2015- UDAKU,MICHEZO...

....................................

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA URAIS WA UKAWA EDWARD LOWASSA ADAI ANAHITAJI KURA MILIONI 10 TU

Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Ukawa, Edward Lowassa amesema kama Watanzania watashindwa kufanya mabadiliko kwa kupiga kura kuing’oa CCM madarakani mwaka huu, hawataweza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI YAKAMATA MAJAMBAZI 38 YAKIWA NA SILAHA NZITO PAMOJA NA MILIONI...

Jeshi la Polisi limewakamata watu 38 wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi ambao pia wamepatiwa mafunzo ya kigaidi katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Lindi.Sambamba na kukamatwa watu hao, polisi pia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA WANANCHI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ) LAANDAA SHEREHE ZA KUMUAGA...

Taarifa kwa Vyombo vya HabariVyombo vya Ulinzi na Usalama vinaandaa sherehe ya kumuaga Amiri Jeshi Mkuu tarehe 01 Septemba 2015 kwa gwaride rasmi litakalofanyika katika viwanja vya Uhuru, kuanzia saa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WAFUNGA BARABARA BAADA YA GARI LA POLISI KUGONGA WANAFUNZI WAWILI

Wananchi wa eneo la Misugusugu Wilayani Kibaha Mkoani Pwani hii leo wamefunga barabara baada ya Wanafunzi wawili kugongwa na gari la Jeshi la Polisi na kupelekea kifo cha Mwanafunzi MmojaAkiongea na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PITIA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE SEPT 01,2015, KWA HABARI ZOTE ZA UDAKU,...

Pitia hapa headline mpya kwenye magazeti mbalimbali ya Udaku, Michezo na Hardnews. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAMWEL SITTA AWAJIBU UKAWA

Waziri wa Uchukuzi, Samwel Sitta amesema serikali italifufua Shirika la Ndege Tanzania (ATC) ili liweze kununua ndege nne na kuanza biashara.Sitta pia amesema Rais Jakaya Kikwete atazindua ujenzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA APOKELEWA KIFALME NJOMBE........HAPA KUNA PICHA 14 ZA MAFURIKO YAKE

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwasili kwenye viwanja vya Shirika la Nyumba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI ATIKISA SONGEA......AWEKA SHADA LA MAUA KWENYE KABURI LA MAREHEMU...

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa majimaji mjini Songea jana ambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVE UPDATE KUTOKA SERENA HOTEL AMBAKO DR. SLAA ANAONGEA

1.Napenda kumshukuru mwenyezi mungu kwa kutujalia uzima.2. Nimeamua kujitokeza leo hii ili kukomesha upotoshaji na kuuweka wazi ukweli.3.Sina tabia ya kuyumbishwa na ninasimamia ninachokiamini.4.Sina...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO KUANZA KUTUMIKA LEO

Serikali imewatoa hofu wananchi kuhusu Sheria ya Makosa ya Mtandao inayoanza kutumika rasmi leo kuwa haijatungwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu, bali kwa maslahi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA 3 ZA MKUTANO WA LOWASSA RUVUMA NI NOUMA...JIONE MWENYEWE

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AMESEMA ENDAPO ATACHAGULIWA ATASHUSHA BEI YA VIFAA VYA UJENZI

Mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema endapo atachaguliwa, atashusha bei ya vifaa vya ujenzi vikiwamo saruji na mabati kuanzia mwakani akisema tayari kuna viwanda vikubwa ambavyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA: UJINGA, UMASIKINI NA MARADHI VITAKUWA HISTORIA KWENYE SERIKALI YANGU

Mgombea urais wa Chadema kwa mwamvuli wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa amesema akiwa rais wa Awamu ya Tano atafuta maadui watatu ambao ni ujinga, maradhi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAASKOFU WAMJIBU DR. SLAA BAADA YA KUWATUHUMU KUHONGWA NA...

Baadhi ya viongozi wa dini na wananchi wamesema shutuma za aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa kuwa baadhi yao walihongwa na Mgombea Urais wa Ukawa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YALIKANA DENI LA WALIMU

Sakata la madeni ya walimu limezidi kuchukua sura mpya baada ya serikali kusema haidaiwi na kwamba imebaini kuwapo kwa majina hewa ya walimu zaidi 4,000 yaliyowasilishwa kwa ajili ya malipo.Imesema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUNDU LISSU: DR SLAA NI MUONGO WATANZAIA MPUUZENI.....KINACHOMSUMBUA NI TAMAA...

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbroad Slaa, jana alitangaza rasmi kuachana na siasa baada ya kutofautiana na chama chake katika kumpokea Edward Lowassa na hatimaye kumfanya mgombea urais wa chama hicho...

View Article
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live