NEC YAONYA VYAMA VYA SIASA VITAKAVYOKIUKA RATIBA ZA KAMPENI
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevitaka vyama vyote vya siasa vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015, kuhakikisha vinafuata na kuheshimu ratiba ya uchaguzi waliyojiwekea.Katika taarifa kwa njia...
View ArticlePITIA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO AGOSTI 26,2015, KWA HABARI ZOTE ZA UDAKU,...
Pitia hapa headline mpya kwenye magazeti mbalimbali ya Udaku, Michezo na Hardnews. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya...
View ArticleKESHO HAPATOSHI JANGWANI!! RAIS WA UKAWA EDWARD LOWASSA KUWAHUTUBIA WATANZANIA
MRATIBU wa Maandalizi ya Kampeni Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Deogratia Munishi amesema maandalizi ya mkutano wa ufunguzi wa kampeni yamekamilika kwa asilimia 90.Akizungumza na...
View ArticleANGALIA HAPA MAJINA YA WAHITIMU WA KIDATO CHA 4 NA 6 2014 NA JKT 2015...
Tangazo la Wito chuo cha polisi moshi kwa wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2014 na JKT mwaka 2015 waliochaguliwa kujiunga na jeshi la Polisi.BOFYA HAPA KUANGALIA MAJINA...
View ArticleANGALIA PICHA- NYUMBA ILIYOUNGUA NA MAHALI WALIPOZIKWA WATU 9 WA FAMILIA MOJA...
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Shariff Hamad na umoja wa UKAWA leo wamewatembelea na kuwapa pole ndugu wa marehemu waliofariki kwenye ajali ya moto hapo jana maeneo ya Buguruni Malapa. Baba wa Familia...
View ArticleUMEIPATA HII MPYA YA DAVID KAFULILA KUHUSU DR SLAA?? IKO HAPA
Mbunge wa Kigoma Kusini anaye maliza muda wake, David Kafulila amefunguka na kusema anaamini Katibu Mkuu wa chama cha Chadema Dk. Willibrod Slaa hawezi kuwasaliti watanzania wakati huu wa ukombozi wa...
View ArticleNI BALAA SANA!!! ANGALIA PICHA MHESHIMIWA LOWASSA ALIPOKUTANA NA...
Mgombea urais wa vyama hivyo Mh Edward Lowassa na mgombea mwenza Mh Duni Haji wamekutana na makundi mbalimbali ya wajasiriamali na wanafunzi wa elimu ya juu ambao licha kutumia fursa hiyo kuelezea...
View ArticleUSIPIME!!! SHUHUDIA PICHA JINSI DKT MAGUFULI ALIVYOKINUKISHA MBEYA ,AAHIDI...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi,Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika viwanja vya Nzovwe mjini Mbeya jioni ya leo Agosti...
View ArticleMSANII JUMA NATURE AKA KIBRA AIBUKIA KWA LOWASSA,UKAWA MWENDO MDUNDO
Msanii Juma Nature A.k.a Kibra akiongoza wasanii wenzake kuwasalimia viongozi wa UKAWA leo Ijumaa 28/08/2015 ikiwa ni majumuisho ya ziara ya Mgombea Urais Mhe. Lowassa kwa jiji la Dar es salaam
View ArticleUSIPITWE NA KILICHOANDIKWA KWENYE MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMAMOSI,AGOSTI...
......................////
View ArticleMWAKYEMBE AMSHAMBULIA LOWASSA KUHUSU RICHMOND,MWIGULU NAYE ADAI LOWASSA NI...
Aliyekuwa mwenyekiti wa kamati teule ya bunge ya kuchunguza kashfa ya mkataba tata wa Richmond iliyomuondoa madarakani aliyekuwa waziri mkuu Mh Edward Lowassa, Mh Harrison Mwakyembe amewahakikishia...
View ArticleLULU, MAMA KANUMBA WAPIGANA VIKUMBO
Mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’.MAKUBWA! Mama wa aliyekuwa nguli wa filamu Bongo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa amejikuta kwenye simanzi nzito baada ya kukutana na mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’...
View ArticleMAFURIKO YA LOWASSA YAIPONZA TBC1, WAPEWA ADHABU NA TCRA KWA UBAGUZI HABARI...
MAMLAKA ya mawasiliano nchini (TCRA) imekipa onyo kali kituo TBC1 kwa kosa la kubagua kusoma taarifa zinazohusiana na UKAWA.Hukumu hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na kamati ya maudhui ya...
View ArticleNI ZAIDI YA TSUNAMI!! UKAWA WAWEKA HISTORIA DAR ES SALAAM,SHUHUDIA...
Mafuriko ya Lowassa leo Dar9:31 Mchana: Edward Lowassa akiwa na mgombea mwenza Haji Duni wanaingia kwenye viwanja vya Jangwani wakiwa kwenye gari la wazi.9:43 Mchana: Lowassa amefika meza kuu na...
View ArticleANGALIA PICHA 41 ZA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM SHINYANGA,MHESHIMIWA SAMWEL...
Chama cha Mapinduzi wilaya ya Shinyanga mjini leo kimezindua rasmi kampeni zake za Uchaguzi mkuu ujao katika viwanja vya Shycom mjini Shinyanga,ambapo wabunge wa majimbo yote ya Shinyanga wamehudhuria...
View ArticleNOMA SANA!! ANGALIA PICHA MAGUFULI AZIDI KUCHANJA MBUGA,AWATAKA WANANCHI...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Njombe mjini katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika jioni...
View ArticleHOTUBA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA NA UKAWA MH. EDWARD NGOYAI...
HOTUBA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA NA UKAWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASSA YA KUZINDUA ILANI NA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUUJangwani-Dar-es-Salaam, 29 AGOSTI 2015Ndugu Wana Dar es salaam na...
View ArticleZIKO HAPA SENTENSI 12 ZA WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRICK SUMAYE KWENYE MKUTANO...
Sumaye: "Kama kipimo cha uadilifu ni Kinana Katibu mkuu wa CCM, basi mimi nitakuwa mtakatifu" Serikali hii ni dhaifu sana na alituthibitishia katibu mkuu, mwenyewe kusema kuna mawaziri mizigo.Sumaye:...
View ArticleNIMEKUSOGEZEA MAGAZETI YOTE YA TANZANIA LEO JUMAPILI,AGOSTI 30,2015,KURASA ZA...
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumapili Agosti 30,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Michezo na...
View ArticleLULU KACHUMBIWA?? PICHA HII IMEZUA UTATA
Elizabeth Michael aka Lulu amewaacha mashabiki wake njia panda baada ya kuweka picha inayoonesha amevaa pete ya uchumba.Picha aliyoweka Lulu na kuibua maswali kibao kutoka kwa mashabiki wakeKupitia...
View Article