CCM WAFUNIKA JANGWANI, DAR....JIONE MWENYEWE PICHA ZOTE HAPA ZA TUKIO...
Umati wa wanachama wa CCM wakiwa katika mkutano huo.Screen kubwa iliyofungwa jukwaani kwa ajili ya kutoa matukio live kwa walio mbali.Bendera za CCM zikiwa zimezunguka uwanjani hapo.Wanachama wa CCM...
View ArticleTAZAMA JINSI DIAMOND ALIVYOKUA AKITUMBWIZA JUKWAANI...JIONEE MWENYEWE HAPA NI...
Kama kawaida uzinduzi wa kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na madiwani, uzinduzi wa CCM ambao ulipambwa na uwepo pia wa makada wa CCMkutoka katika tasnia ya filamu na wasanii wa...
View ArticleRAIS KIKWETE, MKAPA NA MAKONGORO NYERERE WAISHAMBULIA UKAWA KWA...
Rais Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa na Mtoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Makongoro Nyerere wameshambulia vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi...
View ArticlePITIA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU AGOSTI 24,2015, KWA HABARI ZOTE ZA UDAKU,...
Pitia hapa headline mpya kwenye magazeti mbalimbali ya Udaku, Michezo na Hardnews. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo.
View ArticleDIANA KIMARO CHUPUCHUPU KUBAKWA...JIONE ILIVYOKUA KATIKA PURUKUSHANI
Diana Kimaro ‘Pacha wa Lulu’Kisa pombe! Habari ya kushtua inaeleza kwamba, mwigizaji katika tasnia ya filamu Bongo, Diana Kimaro ‘Pacha wa Lulu’ amekiri kunusurika kubakwa na msanii mwenye hadhi na...
View ArticlePICHA: MH EDWARD LOWASSA AKIWA AMEPANDA DALADALA ILI KUANGALIA KERO ZA WANANCHI
Mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa Mh Edward Lowassa akiwa kwenye daladala kuangalia kero za wananchi,ni maeneo ya Gongo lamboto kuelekea ChanikaVIA: Mpekuzi blog
View ArticleMGOMBEA UBUNGE SIKONGE, SAID NKUMBA (CHADEMA) AREJEA RASMI CCM
Aliyekuwa Mbunge wa Sikonge (CCM), Said Nkumba ambaye alihamia Chadema hivi karibuni ameamua kurejea katika chama chake cha zamani kwa madai alikosea njia.Nkumba ambaye alihamia Chadema baada ya...
View ArticleFRANK: NIKIPATA UBUNGE, NITAACHA SANAA
Mohamed Mwikongi, 'Frank'.MOHAMMED Mwikongi, maarufu kwa jina la Frank, ni miongoni mwa mastaa wakali wa kitambo kwenye tasnia ya sanaa ya maigizo hapa nchini.Alianza kutikisa kwenye anga la sanaa hiyo...
View ArticleWANANCHI WACHOMA MOTO KITUO CHA POLISI HUKO MOROGORO KISA MAUAJI YANAYOTOKANA...
Kundi la watu zaidi ya 100 wakiwa na silaha mbalimbali za jadi ikiwemo mapanga, mawe na marungu wamevamia kituo kidogo cha polisi cha Mbingu, kilichopo tarafa ya Mngeta wilayani Kilombero, mkoani...
View ArticleANGALIA PICHA-DK.SHEIN ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR
Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi walipofika...
View ArticleCCM NOMA!!! FILIKU NJOMBE NJIA NYEUPE UBUNGE WAPINZANI WAKE WAINGIA MITINI
Deo Filikunjombe (CCM)fomu ya mgombea wa Chadema ubunge Ludewa zikiwa hazijatimia baada ya tomu ya tamko kukosekana Fomu ya mgombea wa Chadema ikiwa haijazwa senemu ya tarehe ,mwezi na mwaka Mzee Kada...
View ArticlePITIA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE AGOSTI 25,2015, KWA HABARI ZOTE ZA UDAKU,...
Pitia hapa headline mpya kwenye magazeti mbalimbali ya Udaku, Michezo na Hardnews. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya...
View ArticleMAGUFULI AKATAA KUPANDA HELIKOPTA.......ASEMA ATATUMIA GARI ILI AZIJUE KERO...
MGOMBEA urais wa CCM, Dk John Magufuli amesema katika sehemu kubwa ya kampeni yake, atatumia zaidi usafiri wa barabara ili apate fursa ya kuzijua kwa karibu kero za wananchi katika maeneo mengi ya...
View Article11 MBARONI KWA TUHUMA ZA KUCHOMA MOTO KITUO CHA POLISI MOROGORO
POLISI mkoani Morogoro wanashikilia watu 11, wakazi wa Kijiji cha Mpofu wilayani Kilombero kwa tuhuma za kuvamia na kuchoma moto kituo kidogo cha polisi na ofisi ya serikali ya kijiji hicho.Watuhumiwa...
View ArticleLOWASSA, SUMAYE NYUMA YA PAZIA....JIONE HAPA
Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye akipena mkono na mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa.Na Mwandishi WetuWAKATI jana Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikitikisa Jiji...
View ArticleKOVA: MFADHILI MAUAJI STAKISHARI NI HUYU
Suleiman Kova akionyesha picha ya mtuhumiwa huyo.IMEBUMBULUKA! Hatimaye Jeshi la Polisi Tanzania (PT) limeanika picha ya mtu anayedaiwa kuwa ndiye mfadhili mkuu wa matukio mbalimbali yanayohusishwa na...
View ArticleMAUAJI YA KUTISHA BAKWATA
Deogratius Mongela na Chande AbdallahINAUMA sana! Katika hali isiyo ya kawaida, mkazi wa Kata ya Mwembe Mkavu, Wilaya ya Bagamoyo, Pwani, Ramadhani Mloli (37) amemuua mkewe, maarufu kwa jina la Mama wa...
View ArticleNAPE: NI UPUUZI KWA ICC KUFUATILIA UCHAGUZI WA TANZANIA...ONA ALIYOYASEMA
Baada ya Muendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya kimataifa ya uhalifu (ICC) kusema kuwa wanaufuatilia kwa makini uchaguzi mkuu wa Tanzania kuhakikisha hakuna haki za binadamu zitakazo kiukwa, Katibu wa...
View ArticleUWIIII!!!! MAGUFULI BALAA SANA!!! HEBU SHUHUDIA HAPA JINSI ALIVYOITEKA...
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini Mpanda, mkoani Katavi.Waziri Mkuu MizengO Pinda akimtambulisha Mgombea Urais...
View ArticlePOLISI YAMTAHADHARISHA LOWASSA STAILI YA KAMPENI ZAKE
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtahadharisha mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema Edward Lowassa kuwa kampeni alizoanza kwa kuyatembelea makundi kadhaa zinaweza kutumiwa na maadui...
View Article