WOLPER AOGA MATUSI KISA LOWASSA...TAZAMA HAPA ILIVYOKUA
MTOTO mzuri Bongo Movies, Jacqueline Wolper, amejikuta akiambulia matusi mazito kutoka kwa staa mwenzake Isabela Mpanda kisa kikiwa ni kuonesha mapenzi yake kwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na...
View ArticleNI NOMA!!! ANGALIA PICHA LOWASSA ALIVYORUDISHA FOMU LEO
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akizungumza mara baada ya kupokea Fomu zilizorudishwa na Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
View ArticleBREAKING NEWS: MGOMBEA UBUNGE KUPITIA CHADEMA JIMBO LA SHINYANGA MJINI...
Mgombea ubunge jimbo la Shinyanga mjini Patrobas Katambi aliyechaniwa fomu zake leo asubuhi mjini Shinyanga.Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga Justus Kamugisha akitoa taarifa kwa waandishi wa habari...
View ArticleSHUHUDIA DK. MAGUFULI ALIVYORUDISHA FOMU ZA URAIS NEC LEO
Mgombea urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damiani Lubuva, wakati alipowasili ofisi hizo.…Akiwa na mgombea mwenza, Samiah...
View ArticlePITIA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI AGOSTI 22,2015, KWA HABARI ZOTE ZA UDAKU,...
.Pitia hapa headline mpya kwenye magazeti mbalimbali ya Udaku, Michezo na Hardnews. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya...
View ArticleAVUNJA REKODI YA LOWASSA,AHAMIA VYAMA 3 AKISAKA UBUNGE
Mbunge aliyemaliza muda wake katika Jimbo la Mbarali, Modestus Kilufi katika picha ya maktaba WIMBI la hama hama kutoka katika vyama vya siasa, lililowakumba zaidi makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
View ArticleSIKU 40 ZA MTOTO WA ZARI USIPIME...HEBU JIONE HAPA
MTOTO wa staa naye ni staa! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kuwepo kwa mipango kabambe ya kufanikisha sherehe ya kumtoa mtoto (arobaini) wa mjasiriamali maarufu Zarinah Hassani ‘Zari The Boss...
View ArticleBREAKING NEWZZ : MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA KASULU MJINI KUFUTWA KUGOMBEA...
MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA KASULU MJINI DANIEL NSANZUGWANKO.Mbunge Huyo wa CCM katika fomu yake amejaza amezaliwa 15/08/2015; kwa namna hiyo mgombea huyo ana siku 7 tu tangu kuzaliwa kwake.Na...
View ArticleBREAKING NEWS : WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRIK SUMAYE AHAMIA UPINZANI
Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye mchana huu anatarajiwa kujiunga na Chama Cha NCCR-Mageuzi katika kile kinachoitwa "Mpango Mbadala" kutokana imani ya viongozi wa UKAWA kwamba lolote litatokea kwa...
View ArticleKUMEKUCHAA...JIONE HII NI BALAA
NI kweli kumekucha! Kipyenga cha kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu 2015 kimepulizwa. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imesema leo ndiyo siku ambayo wagombea udiwani, ubunge na urais wa vyama vyote...
View ArticleMTIKILA, CHIPAKA, MALISA, SOMBI NJE URAIS 2015
Tume ya Uchaguzi (NEC) imewaengua wagombea urais wa vyama vya Ada/Tadea, DP, CCK na AFP leo kwa maelezo kuwa wamekosa vigezo vya kugombea nafasi hiyo kubwa ya uongozi hapa nchini.Kwa mantiki hiyo,...
View ArticleWAFAHAMU MASTAA WA BONGO AMBAO HATA WAKIACHA MUZIKI BADO WATAISHI...
Lady JaydeeKATIKA maisha siku zote tunashauriana kwamba tusitegemee chanzo kimoja cha fedha. Kama wewe ni muajiriwa basi unatakiwa kuwa na vyanzo vingine vya kujiingizia kipato ili usipate tabu pindi...
View ArticlePATASHIKA NGUO KUCHANIKA!!! DIAMOND PLATINUMS ,ALI KIBA KUWASHA MOTO...
Staa wa Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’KUELEKEA Uchaguzi Mkuu wa urais nchini, wasanii Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Ali Saleh Kiba ‘Aki Kiba’ kesho Jumapili wanatarajiwa kutumbuiza katika uzinduzi wa...
View ArticleMCHEZO MCHAFU!!! UKAWA_ WANANCHI WABOMOA NYUMBA YA MGOMBEA UBUNGE MSALITI
Kundi la watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wamevamia na kuibomoa nyumba ya mgombea ubunge wa chama cha wananchi CUF jimbo jipya la Nanyamba wilaya ya Mtwara vijijini, Twahiri Saidi baada ya...
View ArticleBALAA LA UKAWA!!! WANACHAMA WA CHADEMA WAANDAMANA KUPINGA MGOMBE WA UBUNGE...
Muda mfupi kabla mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga Bw.Fred Mpendazoe kurudisha fomu baadhi ya wanachama wa chama hicho wameandamana na kuvamia ofisi ya chama kwa...
View ArticlePITIA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI AGOSTI 23,2015, KWA HABARI ZOTE ZA UDAKU,...
Pitia hapa headline mpya kwenye magazeti mbalimbali ya Udaku, Michezo na Hardnews. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo.
View ArticleMAGUFULI KUISHIKA DAR LEO WAKATI AKIZINDUA KAMPEN
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajiwa kuzindua kampeni zake za urais, ubunge na udiwani nchi nzima katika viwanja vya Jangwani leo, katika mkutano utakaorushwa moja kwa moja na televisheni na redio...
View ArticleHII NDIYO TOP 10 YA REKODI ZA ADA KUBWA ZA USAJILI WA WACHEZAJI KWA MUDA WOTE.
Kila mwishoni mwa msimu wa Ligi mbalimbali duniani vilabu husika huwa na utamaduni wa kuanza kufuatilia wachezaji sahii watakao ongeza nguvu katika vilabu vyao na namna ambavyo watawapata. Siku hizi...
View Article