SERIKALI YATANGAZA ‘KUMINYA’ AJIRA ZA WAGENI......WANAOISHI NCHINI BILA...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga ameagiza waajiri kote nchini kutowapa ajira wageni kwa kazi zinazoweza kufanywa na Watanzania.Pia, ameagiza maofisa wa Idara ya Uhamiaji kufanya...
View ArticleARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS FRIDAY DEC 25,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP...
ARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS FRIDAY DEC 25,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP NEWS AND SPORTS NEWS Update.
View ArticleDUNIA KIGANJANI BLOG INAWATAKIA WASOMAJI WAKE WOTE HERI YA CHRISTMASS NA...
DUNIA KIGANJANI BLOG INAWATAKIA WASOMAJI WAKE WOTE HERI YA CHRISTMASS NA KUKUOMBA KUENDELEA KUTEMBELE DUNIA KIGANJANI KWA HABARI ZA UHAKIKA
View ArticleSERIKALI YAWAPIGA STOP AKINA LOWASSA NA WENZAKE KUFANYA MIKUTANO YA HADHARA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wanasiasa walioshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu hawaruhusiwi kuitisha mikutano ya hadhara kwa ajili ya kuwashukuru wananchi kwa kuwa wanaweza kuvuruga shughuli za...
View ArticleWAZIRI MKUU ATAKA AMANI YA NCHI ILINDWE......AKEMEA UVAAJI WA NGUO FUPI NA...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wananchi waendelee kulinda amani ya nchi huku akikemea uvaaji wa nguo fupi na kuwasihi Watanzania kujenga tabia ya kuvaa mavazi yenye kumpendeza Mungu. Pia,...
View ArticleSERIKALI HAIJATOA TAMKO LA KUTOWALIPA MAKOCHA WA TAIFA STARS
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inakanusha taarifa zilizoandikwa katika gazeti la Mwananchi la tarehe 24.12.2015 yenye kichwa cha habari “JPM kutolipa makocha Stars”.Serikali kupitia...
View ArticleAFISA WA INTELIJENSIA WA TANAPA ALIUAWA NA MFANYAKAZI WAKE WA NDANI KWA...
Jeshi la Polisi Mkoani hapa limefanikiwa kumkamata mtu mmoja aitwaye Ismail Swalehe Sang’wa (20) ambaye ni mwenyeji wa kijiji cha Sepuka wilayani Ikungi katika Mkoa wa Singida kwa tuhuma za kumuua...
View ArticleSERIKALI YAPIGA MARUFUKU MATANGAZO YOTE YANAYOHUSU TIBA ASILI NA TIBA MBADALA...
Taarifa kutoka Wizara ya Afya kuanzia tarehe 24 Desemba 2015 imepiga marufuku matangazo yote yanayohusu tiba asili na tiba mbadala kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.Wale wote wenye vibali...
View ArticleMAWAZIRI NA MANAIBU WALIOTEULIWA JUZI KUAPISHWA JUMATATU
Tarehe 23 Desemba, 2015 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliwateua Mawaziri wanne, Naibu Waziri mmoja na kumhamisha Wizara Waziri mmoja.Walioteuliwa ni Waziri wa...
View ArticleHERE ARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS SATURDAY DEC 26,2015, FOR HARD NEWS,...
HERE ARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS SATURDAY DEC 26,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP NEWS AND SPORTS NEWS Update.........................
View ArticleTANZANIA YAANZA KUSAKA AMANI BURUDI......WAZIRI MAHIGA ATETA NA RAIS...
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk Augustine Mahiga, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Pierre Nkurunziza wa Jamhuri ya Burundi, kwenye Ikulu yake jijini Bujumbura.Taarifa ya...
View ArticleNAPE NNAUYE: NCHI ILIFIKA PAGUMU, TUMUOMBEE MAGUFULI
Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye amesema Watanzania wanapaswa kumuombea Rais John Magufuli ili aendelee kutumbua majipu kwani nchi ilifika pagumu baada ya wezi kuonekana...
View ArticleLOWASSA AIBUKIA KANISANI HANDENI IBADA YA KRISMASI......AWATAKA WATANZANIA...
Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa ameibukia katika Kanisa la KKKT wilayani Handeni mkoani Tanga, kushiriki ibada ya Krismasi na kutumia nafasi hiyo kushukuru wapiga kura...
View ArticleOPERESHENI KUONDOA WAFUGAJI YASITISHWA......ASKARI WA WANYAMAPORI...
MAWAZIRI wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi na wa Maliasili na Utalii, wameonya askari wa Wanyamapori wanaojihusisha na utesaji, unyanyasaji na kujipatia fedha haramu kwa kukamata mifugo au wakulima, waache...
View ArticleWAZIRI MKUU KESHO KUANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI KIGOMA
WAZIRI Mkuu Kassimu M Majaliw (pichani) kesho ataanza ziara ya kikazi ya siku mbili Mkoani Kigoma. Akizungumza na waandishi wa habari juu ya ziara hiyo Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa...
View ArticleBREAKING NEWZZZZZZ!!!! BAADA YA CCM KUTANGAZA KUJIANDAA KWA UCHAGUZI...
Kufuatia taarifa iliyotolewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho iliyokutana Zanzibar juzi, tarehe 27 Desemba, 2015, waandishi wengi...
View ArticleEDWARD LOWASSA ATOA MKONO WA POLE KWA WAGONJWA HOSPITALI YA KILIMANJARO CRCT
Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo na kuungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, akimjulia hali mzee Khalfan Kangero (95), pamoja na...
View ArticlePAPAA MSOFE, ALEX MASSAWE WAHUKUMIWA
Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi, imetoa hukumu kwa mfanyabiashara Marijani Abubakar, almaarufu Papaa Msofe, Alex Massawe na Makongoro Nyerere kwa kosa la kughushi hati ya umiliki wa nyumba iliyopo...
View ArticleWAZIRI WA FEDHA DK. PHILIP MPANGO AANIKA AIBU YA KUOMBA MISAADA NJE.....ASEMA...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, amesema serikali inatarajia kukusanya kiasi cha Sh. trilioni 1.3 ndani ya mwezi huu pekee. Aidha, amesema ili kuhakikisha serikali inapata mapato ya...
View ArticleDR. NDALICHAKO AAHIDI MAPINDUZI YA ELIMU NCHINI......AAPA KUPAMBANA NA...
WAZIRI wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Dk Joyce Ndalichako, amesema atafuatilia shule za Serikali ili kujua sababu za kufanya vibaya katika mitihani yao. Dk Ndalichako ambaye...
View Article