Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

EDWARD LOWASSA ATOA MKONO WA POLE KWA WAGONJWA HOSPITALI YA KILIMANJARO CRCT

$
0
0


Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo na kuungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, akimjulia hali mzee Khalfan Kangero (95), pamoja na wagonjwa wengine katika Hospitali ya Kilimanjaro CRCT mjini Moshi jana akiwa njiani kuelekea Monduli mkoani Arusha kwa mapumziko ya kuuaga mwaka.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

Trending Articles