Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI DKT. KIGWANGALLA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA LEO KATIKA HOSPITALI...

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na duka la dawa kwa wagonjwa wanaotumia huduma ya bima ya afya katika Hospitali ya Ligula ya mkoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWAKYEMBE: TUTAMALIZIA MCHAKATO WA KATIBA MPYA KUANZIA PALE ULIPOISHIA

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe amesema Rais amempa kazi ya kuhakikisha anakamilisha mchakato wa Katiba Mpya pamoja na uanzishwaji wa Mahakama ya Rushwa.Kura ya Maoni ya kupitisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIKUBALI KUPITWA NA MAGAZETI YA LEO DEC 21,2015 KWA HABARI ZA UDAKU,MICHEZO...

.USIKUBALI KUPITWA NA MAGAZETI YA LEO DEC 21,2015 KWA HABARI ZA UDAKU,MICHEZO NA HARD NEWS..KUBWA ZAIDI NI DIAMOND KUKIMBIA KIPIGO UGANDA..........................

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMA YA JUMA DUNI HAJI KUBAKI CHADEMA AU KURUDI CUF KUJULIKANA JANUARI

Mwanasiasa mkongwe nchini, Juma Duni Haji amesema hatima yake ya kubakia au kuondoka ndani ya Chadema itajulikana mwezi ujao.Duni aliihama CUF na kujiunga Chadema ambayo ilimsimamisha kuwa mgombea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ADA ELEKEZI SHULE BINAFSI TAYARI

TUME ya wataalamu waliokuwa wanakusanya maoni ya wadau wa elimu na kukokotoa ada elekezi kwa shule za msingi na sekondari zisizo za Serikali, wamemaliza kazi yao na tayari wamekabidhi ripoti hiyo kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU ACHARUKA.....ASEMA WABADHIRIFU WATANG'OLEWA MARA MOJA,ASISITIZA...

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaonya watendaji wa halmashauri nchini kwamba atakayebainika ametumia vibaya fedha za Serikali atang’olewa kazini kwa sababu Serikali ya Awamu ya Tano haina mchezo na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND AKACHA SHOO YA ZARI

Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.Habari ya mjini! Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amezua utata kwa mashabiki wake baada ya kukacha kuzama kwenye pati iliyokuwa imeandaliwa na mzazi mwenzake, Zarinah...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMA ATIMULIWA KWENYE NYUMBA

Mizigo ikipakizwa kutoka kwenye nyumba hiyo.UFALME umeanguka! Unaweza kusema hivyo! Hatimaye Miss Tanzania 2006, aliye pia staa wa filamu za Bongo, Wema Isaac Sepetu amedaiwa kutimuliwa kwenye nyumba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS TUESDAY DEC 22,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP...

ARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS TUESDAY DEC 22,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP NEWS AND SPORTS NEWS Update..............................

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KAGAME AMVULIA KOFIA RAIS MAGUFULI KWA UCHAPAKAZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Rwanda hapa nchini Eugene Kayihura aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo. ******RAIS Paul Kagame wa Rwanda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU!! SINA KINYONGO NA MTU

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema hana kinyongo na mtu yeyote kwa sababu alitangaza msamaha siku aliyokabidhiwa cheti kuwa Mbunge wa Jimbo la Ruangwa na kusisitiza kuwa siasa ziliisha tangu Oktoba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI MBAYA KWA WANAUME: ASILIMIA 49 KATI YA ASILIMIA 100 YA WANAUME...

Na Beatrice Lyimo-MaelezoAsilimia 49 kati ya asilimia 100 ya matokeo ya uchunguzi wa makosa ya vinasaba (DNA)  yanayowasilishwa katika ofisi ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa mwaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KITWANGA AIKANA ORODHA YA WAUZA UNGA......NI ILE ILIYODAIWA KUWEPO...

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga amesema hana orodha ya majina ya watu wanaouza dawa za kulevya na hana muda wa kushughulika na hiyo inayoitwa orodha.  Badala yake, amesema chini ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALICHOONGEA RAIS MAGUFULI NA MAALIM SEIF BAADA YA KUKUTA IKULU JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amekutana naMakamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharrif...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHUNGAJI AMFUNGIA MWANAYE NDANI MIAKA 12

Timotheo anayedaiwa kufungiwa ndani na wazazi wake kwa miaka 12.Na Mwandishi Wetu, UWAZISINGIDA: Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste katika Kijiji cha Itaga mkoani Singida, David Mtipa (59) na mkewe,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIYEMCHINJA MAMA YAKE KISA NI HIKI

Kijana Erasto Kilaini anayedaiwa kumuua mama yake.Na Waandishi Wetu, UWAZIDAR ES SALAAM: Simulizi inauma! Baada ya Erasto Kilaini, 23, (pichani) mkazi wa Mtaa wa Fida Hussein, Vingunguti Kiembembuzi,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS WEDNESDAY DEC 23,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP...

.ARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS WEDNESDAY DEC 23,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP NEWS AND SPORTS NEWS Update........................

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS THUSDAY DEC 24,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP...

ARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS THUSDAY DEC 24,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP NEWS AND SPORTS NEWS Update..............................

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UAMUZI WA MWISHO WA NEC KUHUSU UTEUZI WA MADIWANI VITI MAALUMU KYERWA BAADA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI WAUANA KWA RISASI JIJINI MWANZA WAKIWA LINDONI

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, SACP Justus Kamugisha.ASKARI Polisi wa Kituo cha Polisi Nyamagana jijini Mwanza, Konstebo Daud Masunga Elisha, amemuua askari mwenzake, Konstebo Petro Saimon Matiko...

View Article
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live