MAKONDA AIBUA UFISADI WA BILIONI 5.7 KINONDONI
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (pichani) ameamuru kusitishwa mara moja malipo yanayofanywa kwa makandarasi waliojenga barabara tano za ndani ya wilaya hiyo.Amefanya hivyo kwa maelezo kuwa...
View ArticleWANAFUNZI 503,914 WACHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA
Jumla ya wanafunzi 503,914 kati ya 518,034 waliofaulu mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kwa kupata alama A, B na C, wamechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika shule za sekondari za Serikali...
View ArticleJAJI MARK BOMANI AMSHAURI MAALIM SEIF AKUBALI UCHAGUZI URUDIWE
JAJI Mkuu na Mwanasheria Mkuu Mstaafu, Mark Boman amesema kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Umoja Zanzibar, Maalim Seif Hamad akubali uchaguzi urudiwe Zanzibar kwani kama alishinda atashinda...
View ArticleCAG AKAIDI AGIZO LA RAIS MAGUFULI....... AENDA NAIROBI, KENYA KWA FEDHA ZA...
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Juma Assad, amekiuka agizo la Rais Dk. John Magufuli, baada kusafiri nje ya nchi bila kibali cha Ikulu.Kwa mujibu wa gazeti la...
View ArticleSHAMSA FORD HANA AIBU!!! EBU TAZAMA HIZI PICHA
Msanii wa filamu, Shamsa Ford.Hana aibu! Msanii wa filamu, Shamsa Ford hivi karibuni alizua gumzo baada ya kutupia picha kwenye mtandao ikimuonesha akiwa nusu utupu mbele ya Wamasai walioonekana kupata...
View ArticlePAM D: NIKIVAA NGUO NDEFU NAWASHWA
Mwanamuziki anayefanya poa kwenye game, Pam D.Mwanamuziki anayefanya poa kwenye game, Pam D amesema watu wasimshangae kwa kupenda kuvaa nguo fupi hasa vipensi kwa kuwa, eti akivaa nguo ndefu anawashwa...
View ArticleWEMA AMUINGIZA MKENGE DIAMOND
Wema na Diamond Platinumz enzi wakiwa pamoja..MAPYA tena! Baada ya hivi karibuni staa wa Bongo, Wema Sepetu kuuvaa msala wa kudaiwa kutumia maji na umeme kwa wizi, madai mazito yameibuka kuwa, wizi huo...
View ArticleMENEJA ATUMBULIWA JIPU GESTI!
Akiwa haamini kilichotokea baada ya fumanizi hilo.SASA kinachoonekana ni tumbuatumbua majipu iliyoanzishwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’ dhidi ya mafisadi imeenea kila kona ya nchi, mtu...
View ArticleARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS SATURDAY DEC 19,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP...
ARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS SATURDAY DEC 19,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP NEWS AND SPORTS NEWS Update...........................
View ArticleBREAKING NEWZZ!!!! WATUMISHI 10 TANESCO WASIMAMISHWA KAZI KWA UPOTEVU WA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme (Tanesco), Felchesmi Mramba, amewasimamisha kazi maofisa 10 wakiwamo wahasibu waandamizi na mafundi kwa kusababisha upotevu wa mapato zaidi ya Sh.milioni...
View ArticlePROFESA MUHONGO KAFUTA LIKIZO ZOTE ZA WAFANYAKAZI WA TANESCO.......KAWAAGIZA...
Bei ya umeme inatarajia kushuka wakati wowote kuanzia sasa baada ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (pichani )kuliagiza Shirika la Umeme (Tanesco), kushusha gharama za nishati...
View ArticleKAULI YA MWENYEKITI FREEMAN MBOWE KUHUSU UAMUZI WA BODI YA MCC KUZUIA MSAADA...
Muda mfupi baada ya Bodi ya MCC kutoa taarifa inayoonesha Tanzania haitapata msaada kutoka shirika hilo kama ilivyotarajiwa kwa ajili ya mwaka 2016, Mwenyekiti wa Chama (T), Freema Mbowe ametoa kauli...
View ArticleMAREKANI KUPITIA SHIRIKA LA MCC YAINYIMA MABILIONI YA PESA TANZANIA KUTOKANA...
Serikali ya Marekani kupitia Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) imetangaza kusitisha msaada wa dola Milioni 472.8 ambazo ni sawa na takribani shilingi trillion moja, kutokana na uamuzi wa kufutwa...
View ArticleKASI YA RAIS MAGUFULI YABAINI VYETI FEKI 219.......WAZIRI ATAKA HATUA KALI ZA...
Kasi ya Mawaziri wa Rais John Pombe Magufuli kufanya ziara za kushtukiza na kutoa maagizo kwa watendaji imeanza kufumua uozo baada ya jana kubainika kuwa watumishi 219 kati ya 704 wa serikali...
View ArticleWAZIRI WA MAMBO YA NJE DK MAHIGA KUZUNGUMZA NA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga atafanya ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Arusha kuanzia leo Jumamosi tarehe 19 Desemba...
View ArticleLOWASSA ATOA UJUMBE MZITO KWA CCM BAADA YA KUPEWA TUZO YA AMANI NA TAASISI...
Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema na kuungwa mkono na Ukawa, Edward Lowassa amesema anashangaa kuona anaambiwa mleta vurugu wakati dunia inamkubali kuwa ni mlinzi wa amani.Kauli ya Lowassa...
View ArticleWAZIRI KITWANGA,DR MWAKYEMBE WATEMBELEA MAGEREZA MAKUU JIJINI...
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe na Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga, wameunda kamati ndogo ya wataalamu kwa ajili ya kutatua changamoto zilizopo magerezani.Wakizungumza na...
View Article