NDEGE ZIMETELEKEZWA AIRPORT MWAKA MZIMA, MWENYE NAZO HAJULIKANI ?!! CHEKI NA...
Eti ndege zimetelekezwa na mwenyewe hafahamiki ??!! Kichwa cha habari huenda kikakushtua lakini ndio hivyo, na ndege zenyewe zimekaa airport mwaka mzima uwanja wa Kuala Lumpur, Malaysia.Baada ya ndege...
View ArticleTOP 5 STORI: MADRID WAPO TAYARI RODRIGUEZ AJIUNGE NA CHELSEA ILA? BAADA YA...
Headlines za soka bado zinachukua nafasi kila kukicha na mimi mtu wangu siachi kukujuza kila linalonifikia, hususani katika kuelekea kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili la mwezi January. Mtu wangu...
View ArticleARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS WEASDAY DEC 16,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP...
ARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS WEASDAY DEC 16,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP NEWS AND SPORTS NEWS Update............................
View ArticleLOWASSA KUZUNGUKA NCHI NZIMA KUANZIA KESHO
Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema akiungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa ataanza ziara ya kuzunguka nchi nzima kuwashukuru Watanzania kwa kumpigia kura...
View ArticleMCHUNGAJI NA MKEWE WATIWA MBARONI KWA KUMFUNGIA NDANI MTOTO WAO MLEMAVU KWA...
POLISI mkoani Singida inamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste Itaja na mkewe kwa tuhuma za kumfungia ndani ya chumba mtoto wao mlemavu wa viungo kwa miaka 12 bila kutoka nje.Kamanda wa Polisi...
View ArticleCHAMA CHA WAHASIBU TANZANIA (TAA) CHAAHIDI KUPAMBANA NA WAHASIBU WALA RUSHWA,...
CHAMA cha Wahasibu Tanzania (TAA) kimetishia kuwaondoa wahasibu waliokuwepo kwenye daftari la chama hiko endapo watakiuka taratibu na maadili ya kazi kulingana na matakwa ya chama hicho ikiwemo ya...
View ArticleMBOWE AZUNGUMZIA KASI YA RAIS MAGUFULI.....ADAI KUWA MPINZANI HAIMAANISHI...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amezungumzia kasi aliyoanza nayo rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli pamoja na baraza lake la mawaziri.Akizungumza jana na mwandishi wa...
View ArticleSIMBACHAWENE AAGIZA TAKA ZILIZOKUSANYWA WAKATI WA UHURU DISEMBA 9 ZIZOLEWE...
WAZIRI wa nchi ofisi ya Rais Tamisemi,Utumishi na Utawala bora George Simbachawene amewaagiza wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurungenzi wote wa halmashari nchini kuhakikisha wanazoa taka zote...
View ArticleUTURUKI KUISAIDIA TANZANIA KUFANIKISHA MPANGO WA ELIMU BURE
Serikali ya Uturuki imeahidi kuisaidia Serikali ya Tanzania kufanikisha mpango wa utoaji wa elimu bure kwa wanafunzi utakaoanza January mwakani.Hayo yalizungumzwa jana na Balozi wa Uturuki nchini Bi...
View ArticleTAFFA YAIBUA MAPYA YA UTOROSHAJI WA KONTENA BANDARINI
CHAMA cha Mawakala wa Forodha nchini (TAFFA) kimesema kuwa wizi wa kontena bandari ya Dar es Salaam na kusababisha serikali kukosa mapato ni tatizo la muda mrefu ambalo ni limekuwa likisababishwa na...
View ArticleRIPOTI KUTOKA ZANZIBAR KUHUSU AJALI YA MOTO KWENYE MELI DECEMBER 15..
Hii stori imenifikia baada ya kuenea kwenye mitandao pamoja na picha zikionesha tukio la meli kuwaka motoNimeipata ripoti pia kwenye habari ya ITV kwamba meli hiyo ya MV Royal imepata ajali ya kuwaka...
View ArticleARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS THURSDAY DEC 17,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP...
ARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS THURSDAY DEC 17,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP NEWS AND SPORTS NEWS Update.Mpekuzi blog
View ArticleWAZIRI WA KILIMO ATOA SAA 48 KWA KAMPUNI YA SPARKWAY LTD KULIPA BILLION 3.4...
Waziri wa Kilimo Uvuvi na Mifugo Mwigulu Lameck Nchemba ametoa masaa 48 kuanzia jana kwa kampuni ya Sparkway ltd kuwalipa wakulima wa korosho wa Mkoa wa pwani, kiasi cha Bilioni 3.4 za mauzo ya...
View ArticleMKURUGENZI WA HALMASHAURI YA BABATI AMBAYE ALIHUSIKA NA KUIBINAFSISHA COCO...
Katibu mkuu ofisi ya rais tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) Bwana Jumanne Sagini amemsimamisha kazi mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Babati mkoani Manyara Mhandisi Mussa Natty...
View ArticleWATUMISHI WANNE WA SERIKALI WALIOSAFIRI KWENDA NJE YA NCHI BILA RUHUSA YA...
Rais Magufuli ameagiza kusimamishwa kazi mara moja kwa watumishi waandamizi wanne wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU ambao walisafiri nje ya nchi licha ya Rais Magufuli kupiga...
View ArticleDK. DIDAS MASABURI AKUBALI YAISHE....AFUTA KESI YA KUPINGA UBUNGE WA SAED...
Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi ameamua kutoendelea na kesi ya kupinga ushindi wa Saed Kubenea wa Chadema kwenye uchaguzi wa Jimbo la Ubungo aliyokuwa amefungua Mahakama...
View ArticleRAIS MAGUFULI AWAHAKIKISHIA WATANZANIA KUTIMIZA AHADI YAKE YA ELIMU...
Rais Magufuli amempongeza Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Dkt. Philip Mpango kwa kazi nzuri ya ukusanyaji wa mapato inayofanywa na mamlaka hiyo ambayo imeongeza ukusanyaji wa Mapato...
View ArticleZITTO KABWE AMKINGIA KIFUA PROFESA MUHONGO
Waliosema Ufisadi ni Mfumo ndio wanasema leo Prof. Muhongo hafai kuwa Waziri sababu ya Tegeta Escrow. Sijui lini mahakama ilimhukumu Muhongo! Sijui lini Muhongo kawa Mfumo. Tujifunze kuweka akiba.Prof....
View ArticleMUHIMBILI YAPATA MASHINE MPYA YA VIPIMO YA CT SCAN
Serikali imeanza kufunga mashine mpya ya vipimo ya CT Scan kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), ikiwa ni mkakati wa kukabiliana na tatizo la upungufu wa vifaa tiba.Kifaa hicho kimekuja wakati MNH...
View ArticleARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS FRIDAY DEC 18,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP...
ARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS FRIDAY DEC 18,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP NEWS AND SPORTS NEWS Update...........................
View Article