Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

PAM D: NIKIVAA NGUO NDEFU NAWASHWA

$
0
0
Mwanamuziki anayefanya poa kwenye game, Pam D.

Mwanamuziki anayefanya poa kwenye game, Pam D amesema watu wasimshangae kwa kupenda kuvaa nguo fupi hasa vipensi kwa kuwa, eti akivaa nguo ndefu anawashwa na kukosa amani.

Mwanadada huyo aliiambia safu hii kuwa, kuna ambao wanaweza kumtafsiri tofauti na kumuita majina mabaya lakini yeye hajali kwani ni mwanamuziki anayejitambua.

“Nikivaa nguo ndefu yaani utanionea huruma, nitawashwa na nitajikuna sana, lakini nikivaa kipensi hivi au hata kama ni sketi fupi, hapo poa,” alisema Pam D.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

Trending Articles