WAZIRI MAGHEMBE ATEMA CHECHE.......ASEMA WALIOMUITA 'WAZIRI MZIGO' WATAISOMA...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe, aliyeapishwa jana kushika wadhifa huo na Rais Dk. John Magufuli, amefunguka na kueleza sababu za kuitwa Waziri ‘mzigo’ wakati akiwa Wizara ya...
View ArticleJESHI LA POLISI LAFUMULIWA
Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu amelifumua Jeshi la Polisi nchini kwa kupanga na kupangua vigogo wake, huku baadhi wakipandishwa nyadhifa.Pangapangua hiyo imewagusa pia maofisa...
View ArticleMAHAKAMA YATUPA PINGAMIZI LA UBUNGE DHIDI YA DK MWAKYEMBE
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya, imetupilia mbali shauri la kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi wa ubunge wa Kyela, Dk Harrison Mwakyembe(CCM).Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge wa jimbo...
View ArticleTHROUGH HERE ALL NEWS PAPER TODAY 31 DEC 2015 FOR GOSSIP,SPORTS AND HARD NEWS
THROUGH HERE ALL NEWS PAPER TODAY 31 DEC 2015 FOR GOSSIP,SPORTS AND HARD NEWS
View ArticleTAASISI ZA DINI ZATAJWA KUHUSIKA NA UTOROSHAJI WA MAKONTENA BANDARINI
Mashirika ya dini ni miongoni mwa taasisi zilizotakiwa kuwasilisha nyaraka kwa ajili ya kuhakiki kama yalilipa ushuru wa bandari uliosababisha Serikali kupoteza Sh48 bilioni.Uwapo wa taasisi hizo za...
View ArticleKUBENEA AKANA KUMTUKANA DC MAKONDA
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (44) amekana kumtukana Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda tarehe 14 Desemba 2015 walipokutana katika Kiwanda cha Tooku Garments Co. Ltd. kilichopo eneo la External...
View ArticleLIPUMBA AMTWIKA ZIGO DR SHEIN MGOGORO ZANZIBAR....ASEMA MGOGORO UTAKWISHA...
Mwenyekiti wa zamani wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ndiye mtu pekee mwenye uwezo wa kumaliza mgogoro wa Zanzibar.Akizungumza Dar es Salaam jana, Profesa...
View ArticleSHILOLE AFANYA PATI YA AIBU!
Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akicheza sebene.AMA kweli mapenzi yana sarakasi! Ndiyo kauli inayoweza kukuponyoka kufuatia tukio la staa anayebeba dhamana mbili katika sanaa ya Bongo,...
View ArticleBABY MADAHA AANGUKA CHOONI, AVUNJIKA MGUU
Msanii wa filamu na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha akiwa na P.O.P mguuni.Musa matejaMSANII wa filamu na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha hivi karibuni alipata majanga baada ya kuanguka chooni na...
View ArticleBREAKING NEWZZZ!!!! KOVA KUSTAAFU RASMI LEO
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar, Suleiman Kova.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar, Suleiman Kova akiongea na ITV leo asubuhi, atangaza kustaafu rasmi jeshi la polisi, leo ni siku yake ya mwisho.
View ArticleSERIKALI YA MAGUFULI YAMBANA ZARI
Zarinah Hassan ‘Zari’.HAPA Kazi Tu! Serikali ya Rais Dk. John Pombe Magufuli inazidi kuwanyoosha wakwepa kodi na sasa zamu ya utumbuaji majipu imemshukia Zarinah Hassan ‘Zari’ au mama Tifah, kwa kutaka...
View ArticleMKE ALIVYOMUUA MUMEWE KIKATILI NA KUMFUKIA!
Mwanamke aliyezungushiwa duara jekundu ndiye anayedaiwa kumuua mumewe na kumfukia.NI simulizi ya kushangaza kufuatia Archard Frederick (41), kudaiwa kupigwa na kitu kizito kichwani hadi kufariki dunia...
View ArticleHERE ARE ALL TANZANIA NEWS PAPER TODAY 01 JAN 2016 FOR GOSSIP NEWS, SPORTS...
Here Are All Tanzania News Paper Today 01 Jan 2016 For Gossip News, Sports News And Hard News
View ArticleHUYU NDO KATIBU MKUU WA MALIASILI NA UTALII MEJA JENERALI GAUDENCE MILANZI...
Pichani ni Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi ambaye leo ameapishwa rasmi kuanza kupambana na majangili ambao wamekuwa kero kwa nchi hii.Ikumbukwe kuwa kuna wakati...
View ArticlePICHA: RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU WAKE...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Meja Jenerali Gaudence S.Milanzi akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Joseph Magufuli na Katibu Mkuu...
View ArticlePROFESA NDALICHAKO ATOA SIKU 30 KWA KATIBU MTENDAJI NACTE KUVICHUNGUZA VYUO...
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako ametoa siku 30 kwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (Nacte), Dk Primus Nkwera kufanya ukaguzi wa vyuo vyote...
View ArticleRAIS MAGUFULI AMJULIA HALI MUADHAMA KADINALI POLYCARP PENGO ANAYEFANYIWA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali...
View ArticleSHERIA YA KUZUIA KELELE YAANZA KUTUMIKA....KUFANYA SHEREHE MTAANI, KUPIGA...
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limeanza kung’ata kwa kutumia kanuni ili kudhibiti uchafuzi wa mazingira kwa kelele na mitetemo. Kwa sasa mtu akitaka kufanya sherehe...
View ArticleJUMBA LA MCHUNGAJI MAMA RWAKATARE, HOTELI ZA DOUBLE TREE NA SLIP WAY KUBOMOLEWA
Wakati operesheni ya kuweka alama ya X kwenye nyumba zilizojengwa mabondeni, maeneo ya wazi na kinyume na taratibu ikiendelea, Hoteli za Double Tree na Slip Way nazo zimekumbwa na pigo hilo.Hoteli hizo...
View ArticleMKUU WA WILAYA AKANUSHA FAMILIA KUCHEMSHA MAWE NA PUMBA KUTOKANA NA KUKITHIRI...
MKUU wa wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Mohamed Utaly amekanusha taarifa za watu wa wilayani yake kuchemsha mawe kwa ajili ya kukosa chakula kutokana na kukithiri kwa njaa.Akitoa taarifa ya hali ya...
View Article