HERE ARE ALL TANZANIA NEWS PAPER THIS SATURDAY 02 JAN 2016 FOR GOSSIP NEWS,...
Here Are All Tanzania News Paper This Saturday 02 Jan 2016 For Gossip News, Sports News And Hard News.
View ArticleRAIS DKT. SHEIN ATOA SALAM ZA MWAKA MPYA..... AAHIDI ZANZIBAR ITAENDELEA KUWA...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa risala ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2016 kwa wananchi na kueleza kuwa takwimu za mwanzo wa mwaka 2015, uchumi wa...
View ArticleWAZIRI MKUU AWAPONGEZA MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU... AWATAKA WAKUU...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewapongeza Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu, mara baada ya kuapishwa Ikulu leo jijini Dar es Salaam. Ametoa pongezi hizo wakati Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu...
View ArticleRAIS MAGUFULI ATANGAZA VITA NA MAFISADI, WAUZA DAWA ZA KULEVYA 2016
RAIS Dk. John Magufuli, amesema Watanzania wote wanapaswa kuendelea kumuombea ili aendelee na kazi yake ya kupambana na mafisadi wahujumu uchumi na vigogo wauza dawa za kulevya nchini.Kauli hiyo...
View ArticleEDWARD LOWASSA ALALAMIKIA WAFUASI WAKE KUANDAMWA NA WATENDAJI WA SERIKALI
Aliyekua mgombea Urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda UKAWA Mh.Edward Lowassa amelalamikia baadhi ya watendaji wa serikali kwa kuwaandama na kuwatisha wananchi na wafanyabiashara...
View ArticleHERE ARE ALL TANZANIA NEWS PAPER THIS SUNDAY 03 JAN 2016 FOR GOSSIP NEWS,...
Here Are All Tanzania News Paper This Sunday 03 Jan 2016 For Gossip News, Sports News And Hard News.
View ArticleKUNDI LA MUZIKI LA NAVY KENZO LAMFUNIKA DIAMOND PLATNUMZ, LASHIKA NAMBA 4...
Kundi la Mziki la Navy Kenzo Linaloundwa na Aika na Nahreel wametutoa kimasomaso Watanzania Baada ya Video yao ya Wimbo wa Game Walioshirikiana na Vanessa Mdee Kushika Namba Nne katika Chat ya Video 50...
View ArticleBASI LENYE ABIRIA 42 LATUMBUKIA MTONI HUKO MOROGORO, KAMANDA WA POLISI AZUNGUMZA
WATU sita wamekufa papo hapo na wengine 25 kujeruhiwa na kulazwa hospitalini kutokana na ajali mbili tofauti. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, alisema mjini hapa jana kuwa ajali ya...
View ArticleIkulu Yaagiza Mtumishi Atakayefanya Kosa Aadhibiwe Hapohapo Alipo Badala Ya...
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue. MAKATIBU Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu walioteuliwa na kuapishwa juzi wamekutana katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya semina...
View ArticleWaziri Mkuu Majaliwa Kutikisa Mkoa wa Ruvuma Kwa Siku 3 Kuanzia Leo
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo ataanza ziara ya siku tatu mkoani Ruvuma, kuhimiza na kukagua shughuli mbalimbali za maendeleo. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa, Said Mwambungu alipozungumza na waandishi...
View ArticleDkt. Kigwangala Amtembelea na Kumjulia hali Mwadhama Kardinali Pengo
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Hamis Kigwangala jana alimtembelea na kumjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Kadinali...
View ArticleBALOZI SEIF ALI IDDI ATOA TAARIFA RASMI YA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIKAKA...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Maadhimisho ya Sherehe za kutimia Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 yatafanyika kama kawaida na kupangwa kuanza...
View ArticleTRL YASITISHA KWA MUDA SAFARI ZA TRENI YA BARA KUTOKANA NA MAFURIKO KATI YA...
KAMPUNI YA RELI TANZANIA (TRL)TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI (PRESS RELEASE)Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania TRL umetangaza kusitisha kwa muda kuanzia Januari 01, 2016, huduma zake baada ya eneo la...
View ArticleBAJETI YA UCHAGUZI WA MARUDIO ZANZIBAR YATENGWA... KINACHOSUBIRIWA NI ZEC...
Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema bajeti ya uchaguzi wa marudio imeshatengwa na wanachosubiri ni Mwenyekiti wa Tume ya Uhaguzi Zanzibar (ZEC) atangaze tarehe hiyo ya...
View ArticleTHROUGH HERE ALL NEWS PAPER TODAY JANUARY 4,2016 FOR GOSSIP,SPORTS AND HARD NEWS
THROUGH HERE ALL NEWS PAPER TODAY JANUARY 4,2016 FOR GOSSIP,SPORTS AND HARD NEWS
View ArticleWAZIRI MAGHEMBE AFICHUA SIRI YA UTEUZI WA JENERALI GAUDENCE MILANZI WIZARA YA...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amefichua sababu za Rais John Magufuli, kumteua Meja Jenerali Gaudence Milanzi kuwa Katibu Mkuu wa wizara hiyo.Profesa Maghembe alisema lengo ni...
View ArticleKINGUNGE NGOMBARE MWIRU KUMPIMA RAIS MAGUFULI BAADA YA SIKU 100
Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombare Mwiru, amesema atampima na kuzungumzia utendaji wa Rais wa tano, John Magufuli atakapotimiza siku 100 Ikulu.Dk. Magufuli leo ametimiza siku 59 tangu...
View ArticleOLE SENDEKA AMJIBU DK MAKONGORO MAHANGA ....ASEMA MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU...
Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM na mbunge wa zamani wa Simanjiro Christopher Ole Sendeka amewataka watanzania kuwa makini na kuzipuuza kauli zinazoenezwa na baadhi ya watu kwenye mitandao kuwa...
View ArticleSAKATA LA UPOTEVU WA MAKONTENA BANDARI LACHUKUA SURA MPYA BAADA YA CHAMA CHA...
Sakata la utoaji makontena bila kulipia tozo ya bandari, limechukua sura mpya baada ya Chama cha Mawakala wa Forodha (Taffa) kufungua kesi Mahakama Kuu, kupinga kitendo cha Mamlaka ya Bandari (TPA)...
View ArticleMCHUNGAJI LWAKATARE APINGA NYUMBA YAKE KUBOMOLEWA....MWANASHERIA WAKE AITAKA...
Mchungaji a Kanisa la Assemblies of God,Mikocheni, Dr Getrude Lwakatare amepinga nyumba yake kubomolewa ikiwa ni siku chache baada ya wizara ya maliasili na utalii kupitia wakala wa...
View Article