WENYEVITI WA CCM MIKOA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KASI ALIYOANZA NAYO
WENYEVITI wa Mikoa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini, wamempongeza na kuunga mkono hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Rais John Magufuli za kutumbua majipu. Wamempongeza Dk Magufuli kwa hatua za...
View ArticleTRA YAIBANA BAKWATA KUHUSU MISAMAHA YA KODI
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imelishukia Baraza Kuu la Waislamu Tanzania kutokana na kuwepo ongezeko kubwa la maombi ya misamaha ya kodi.TRA imeiandikia Barua Bakwata baada ya kubaini kuwa kati ya...
View ArticleUBUNGE WA SAED KUBENEA WAPINGWA MAHAKAMANI
KubeneaAliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Didas Massaburi, amefungua kesi ya kupinga ushindi wa Saed Kubenea, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
View ArticleHERE ARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS TUESDAY DEC 08,2015, FOR HARD NEWS,...
Here are all Tanzania Newspapers This Tuesday December 08,2015, For hard news, Gossip News and sports news...................................
View ArticleADA ELEKEZI SHULE BINAFSI: WAMILIKI WA SHULE WAIIJIA JUU SERIKALI
Taharuki imetanda kwa wamiliki wa shule nchini baada ya kupokea waraka unaowakataza kuongeza ada kwa shule zisizo za serikali katika mwaka wa masomo unaoanza mwezi ujao.Kwa mujibu wa tangazo hilo...
View ArticleMENEJA MKUU KIWANDA CHA URAFIKI ASIMAMISHWA KAZI.
Serikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara, imeingilia kati mgogoro wa Kiwanda cha Nguo cha Urafiki kwa kuwasimamisha kazi Meneja Mkuu wa kiwanda hicho, Nassoro Baraza na Naibu Meneja Mkuu, Samweli...
View ArticleKAMISHINA WA OPERESHENI NA MAFUNZO, CP PAUL CHAGONJA AHAMISHIWA ZIMAMOTO
AMIRI Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Dk. John Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya utendaji ndani ya Jeshi la Polisi kwa kumhamisha Kamishina wa Operesheni na Mafunzo, CP Paul...
View ArticleMKUU WA MKOA WA KATAVI AWAFUTA KAZI MAOFISA 11 NA MKURUGENZI WAO KWA UFISADI...
MKUU wa Mkoa wa Katavi, Dk Ibrahim Msengi amewasimamisha kazi maofisa waandamizi 11 wa Manispaa ya Mpanda akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wake, Suleiman Lukanga kwa ukiukwaji wa sheria za manunuzi kwa...
View ArticleWANNE WATIWA MBARONI KWA KUPIGA PICHA VIFAA VYA JWTZ NA KUVISAMBAZA MITANDAONI
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema limeanza kuchukua hatua kali kwa watu waliohusika na upigaji wa picha wa vifaa vya kijeshi na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii, ambapo hadi...
View ArticleRUGE: HAKUTAKUWA NA FIESTA MWAKA HUU, TUMSAPOTI MAGUFULI
Mkurugenzi wa Clouds Media Group ambao ni waandaaji wa tamasha la Fiesta, Ruge Mutahaba amesema kuwa tamasha hilo halitakuwepo mwaka huu.Amesema wameamua kuahirisha kufanya tamasha hilo mwaka huu...
View ArticleKASI YA RAIS MAGUFULI IMEGONGA HODI OFISI YA RAIS-UTUMISHI.......WATUMISHI WA...
Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma imeanza rasmi kutekeleza Ahadi ya Uadilifu kwa watumishi wa Umma nchini .Akiongea na vyombo vya habari leo, Katibu Mkuu Hab Mkwizu amesema utekelezaji huo...
View ArticleMNYIKA AIBUKIA SAKATA LA BANDARI, ASEMA DAWA YA JIPU SIO KULITUMBUA
Baada ya kuwa kimya tangu ashinde Ubunge, Mbunge wa Kibamba kwa tiketi ya Chadema, John Mnyika ameibukia kwenye sakata la ubadhirifu kwenye Mamlaka ya Bandari nchini na kuitaka serikali kuweka wazi...
View ArticleHERE ARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS WEASDAY DEC 09,2015, FOR HARD NEWS,...
Here are all Tanzania Newspapers This Tuesday December 08,2015, For hard news, Gossip News and sports news......................
View ArticleRAIS MAGUFULI AWAONGOZA WATANZANIA KUFANYA USAFI
Rais John Magufuli ameongoza kwa vitendo zoezi la kufanya usafi leo kama alivyoelekeza baada ya kufuta shamrashamra za maadhimisho ya siku ya Uhuru, Disemba 9.Rais Magufuli na mkewe Janeth wamefanya...
View ArticleSALAM ZA RAIS MAGUFULI KWA WANANCHI KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 54 YA UHURU
Namshukuru Mwenyezi Mungu aliyeiwezesha nchi yetu kutimiza miaka 54 ya uhuru kwa salama na amani. Namshukuru Mungu pia kwa kuniwezesha kuiona siku hii nikiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania....
View ArticleKAMATI KUU YA CCM YAIPONGEZA SERIKALI YA AWAMU YA TANO KWA UTENDAJI WAKE
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITarehe 07/12/2015 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ilifanya kikao chake cha kawaida mjini Dar es salaam kwa siku moja. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa...
View ArticleSERIKALI YATOA UFAFANUZI KUHUSU NAMNA YA KUADHIMISHA SIKU YA UHURU
Serikali imetoaufafanuzi kuhusu namnaya kuadhimisha siku yaUhuru yaani Tarehe 9 Desemba, 2015 kuwa siku hiyo sio siku ya mapumziko.Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Omben iSefue, amesema siku hiyo ni siku ya...
View ArticleSHIRIKA LA UMEME NCHINI, TANESCO LIMEBAINI WIZI WA UMEME NYUMBANI KWA WEMA...
Shirika la Umeme nchini, Tanesco limebaini wizi wa umeme nyumbani kwa Wema Sepetu. Mafundi wa shirika hilo waliambatana na waandishi wa habari hadi kwenye nyumba hiyo na kubaini kuwa umeme unaingia...
View ArticleUKAWA WAJAZANA KORTINI KANDA YA ZIWA KUTETEA NAFASI ZAO ZA UBUNGE
KESI za kupinga matokeo ya ubunge zimezidi kumiminika katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mwanza, ikiwamo za kupinga matokeo yaliyompa ushindi Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya (Chadema). Kesi...
View Article