HERE ARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS THUSDAY DEC 10,2015, FOR HARD NEWS,...
Here are all Tanzania Newspapers This Thusday December 0,2015, For hard news, Gossip News and sports news.
View ArticleSHEREHE ZA UHURU: RAIS MAGUFULI ASAMEHE WAFUNGWA 2,336
Katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru wa Nchi yetu tarehe 9 Desemba, 2015 Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutumia madaraka aliyopewa chini ya ya Ibara ya 45(1)(d) ya Katiba ya Jamhuri...
View ArticleTRA YAGOMEA WAMILIKI WA MAKONTENA YALIYOTOROSHWA BANDARINI BILA KULIPIWA USHURU.
Mmamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewagomea kulipa kodi bila adhabu baadhi ya wamiliki wa makontena, ambayo yalitoroshwa kwenye bandari kavu bila kulipiwa kodi. Badala yake, TRA imewapelekea hati ya...
View ArticleATAKAYEUGUA KIPINDUPINDU MPANDA KUBURUZWA KORTINI
Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Paza Mwamlima, ameagiza kuwa mtu yeyote atakayeugua ugonjwa wa kipindupindu akitibiwa na kupona, atafikishwa mahakamani kujibu kosa la kukiuka taratibu za afya na kuugua...
View ArticleLOWASSA: MAGUFULI ANATEKELEZA HOJA ZANGU NA CHADEMA
Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amesema kuwa serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na rais John Magufuli imeanza kuzifanyia kazi hoja zake alizozieleza wakati wa...
View ArticleBREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI ATANGAZA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI… WAMO NAPE...
Ndugu waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla, ninawasalimu sana. Nawakatibisha katika kikao hiki cha kutangaza baraza la mawaziri, Tutakuwa na mawaziri 19, kuna baadhi ya wizara zitakuwa na...
View ArticleHERE ARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS FRIDAY DEC 11,2015, FOR HARD NEWS,...
Here are all Tanzania Newspapers This Friday December 11,2015, For hard news, Gossip News and sports news.............................
View ArticlePROFESA LIPUMBA, LISSU WAPINGA UTEUZI WA MUHONGO NA MWAKYEMBE
Saa chache baada ya rais Magufuli kutangaza baraza lake la Mawaziri ambalo limekuwa baraza dogo kama alivyoahidi, aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) na mbunge wa Singida Mashariki...
View ArticleNAMBA ZA SIMU ZA KURIPOTI KERO TRA NA TAARIFA ZA SIRI ZA WATUMISHI WABADHIRIFU
Dk Mpango ametaja namba za simu na kuomba wananchi waripoti taarifa zinazohusu watumishi wa ofisi ya Mamlaka na Mapato Tanzania (TRA), wanaojilimbikizia mali kinyume na kanuni za utumishi wa umma.Pia...
View ArticleMWANAMKE MSAGAJI AMLAINISHA KIDOA KWA GARI, NYUMBA
Video Queen anayekuja juu kwa kasi ya ajabu, Asha Salum ‘Kidoa’.Video Queen anayekuja juu kwa kasi ya ajabu, Asha Salum ‘Kidoa’ amejikuta kwenye wakati mgumu kufuatia mwanamke mmoja msagaji wa jijini...
View ArticleWASTARA: NAJUTA STAREHE ZIMENIPONZA
STAA wa filamu Bongo, Wastara Juma amesema kitu ambacho kimemponza na kumfanya asumbuliwe na mguu wake mara kwa mara ni kujisahau sana katika starehe kwa kuwa hajawahi kujikubali kuwa ni...
View ArticleRAYUU AFUNGUKIA KUJIUZA NJE
Msanii wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’.MSANII wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amefungukia ishu ya mastaa wengi kupenda kwenda kujiuza nchi za nje ikiwemo Sauzi akisema kuwa, wanaofanya...
View ArticleAUNT LULU ALAZIMISHA PENZI KWA KOFFI OLOMIDE
Staa asiyekaukiwa na vituko, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’.Staa asiyekaukiwa na vituko, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ ameonekana kulazimisha penzi kwa mwanamuziki Koffi Olomide kutokana na maelezo yake...
View ArticleBREAKING NEWZZZZ!! KILICHOJIRI MAHAKAMA KUU KANDA YA SHINYANGA LEO,JAMES...
Kushoto ni aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Kahama Mjini James Lembeli (Chadema) akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga Juma Protas wakitoka...
View ArticleMABIBI NA MABWANA!!!! SIKILIZA NA DOWNLOAD NYIMBO MPYA YA DIAMOND...
Mkali wa Bongo fleva ambaye amezoeleka kuchukua headlines na video zake kali kila siku Diamond Platnumz, jioni ya December 11 aliachia video yake mpya inakwenda kwa jina la Utanipenda? Hii ni video...
View ArticleHERE ARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS SATURDAY DEC 12,2015, FOR HARD NEWS,...
HERE ARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS SATURDAY DEC 12,2015, FOR HARD NEWS, GOSSIP NEWS AND SPORTS NEWS Update...............................
View ArticleSERIKALI YAELEKEZA UENDESHAJI WA SEKONDARI ZAKE ZA BWENI
SERIKALI inatarajiwa kutoa utaratibu wa namna wanafunzi wa shule za Serikali za mabweni, watakavyosoma huku ikionya wakuu wa shule watakaodai ada au michango ya aina yoyote, kwamba watachukuliwa hatua...
View ArticleKINANA AMPA MAKAVU LOWASSA
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amemjibu aliyekuwa mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, aliyedai kuwa kazi nzuri anazofanya Rais John Magufuli, ni utekelezaji wa sera za vyama vinavyounda...
View ArticleWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YAFUTA VYAMA VYA KIJAMII 1,268
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imefuta vyama vya Kijamii 1,268 kutokana na kushindwa kutekeleza majukumu yao na sheria zilizowekwa katika uendeshaji wa vyama pamoja na mashirika yasiyo ya Kiserikali...
View ArticleBILLIONI 473 ZATOLEWA MIKOPO KWA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU.....TAHLISO...
Shilingi billion 473 zimetengwa kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu nchini kwa mwaka huu ikilinganishwa na Shilingi bilioni 341 zilizotolewa mwaka jana ikiwa ni ongezeko la Tsh....
View Article