Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HERE NEWSPAPER TODAY SUTARDAY DEC, 05.2015 FOR STORY INFORMATION,GOSSIP...

HERE NEWSPAPER TODAY SUTARDAY DEC, 05.2015 FOR STORY INFORMATION,GOSSIP SPORTS HARD NEWS........................

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND, MAMA’KE KIKAO KIZITO!

Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mama’ke mzazi, Sanura Kassim ‘Sandra’ wamelazimika kukaa kikao kizito ili kupata muafaka wa mzazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIDOA; ZAO LA NAY WA MITEGO ANAYEJIONGEZEA UMAARUFU KILA KUKICHA

KAMA kawa, kama dawa. Mpaka Home Next Level inazidi kuchanja mbuga kwa kuwatembelea mastaa mbalimbali Bongo ambapo wiki hii tulimtembealea muuza nyago aliyepata kujitangaza vyema katika wimbo wa Mbongo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJERUMANI YAMSIFU RAID MAGUFULI KWA KUPAMVANA NA UFISADI KWA...

Serikali ya Ujerumani imeeleza kufurahishwa na kasi ya kupambana na rushwa na ufisadi ya Rais John Magufuli na kuahidi kumpa ushirikiano katika masuala ya maendeleo.Ujerumani inakuwa nchi ya kwanza ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNDANI KIGOGO WA BANDARI KUFA KWA PRESHA!

WAKATI Rais John Magufuli akiwa kwenye zoezi la kutumbua majipu kwenye Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), mshtuko mkubwa umetokea kufuatia kigogo mwenye wadhifa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERENA HOTEL YAZUSHIWA KUFUNGWA KWA KUTOLIPA KODI

HOTELI ya kimataifa ya Serena jana ilikumbwa na msukosuko wa kuandamwa na waandishi wa habari baada ya kusambaa kwa tetesi kuwa imefungwa kwa amri ya serikali kwa kosa la kukwepa kulipa kodi.Tetesi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AWAAGIZA WAKURUGENZI KUWAONDOA OMBAOMBA WALIKO...

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadiki amewaagiza wakurugenzi wa halmashauri za jiji la Dar es Salaam, kuwaondoa ombaomba wote walioko katika barabara za jiji, kwani wanachangia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HERE ARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS SUNDAY DEC 06,2015, FOR HARD NEWS,...

Here are all Tanzania Newspapers This Sunday December 06,2015, For hard news, Gossip News and sports news......................

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI ATAJWA HUKO SWEDEN KUWACHONGANISHA MARAIS WENZAKE NA WAPIGA KURA WAO

Dagens Nyheter ni gazeti kubwa kushinda yote nchini Sweden, ndio 'Daily News' lao kwa maana ya jina la gazeti.Katika toleo lake la Ijumaa Desemba 4, habari za John Magufuli zimepamba pia gazeti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII HAPA ORODHA YA MAJINA YALIYOTAJWA NA TRA YA KAMPUNI NA WATU WALIOKWEPA...

Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) juzi  ilitaja majina ya kampuni 43 na wamiliki wa makontena 329 ambayo yalipitishwa bandarini bila kulipiwa ushuru, na kufichuliwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wiki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AMSIHI YUSSUF MANJI AKUBALI KUACHIA UFUKWE WA...

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadiki amemuomba mmiliki wa Kampuni ya Q Consult inayomilikiwa na mfanyabiashara Yussuf Manji kutumia busara kukubali kuuachia ufukwe wa Coco jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKIMYA WA LOWASSA, SUMAYE NA MBOWE KUHUSU MAJIPU YANAYOTUMBULIWA NA MAGUFULI...

Ukimya wa wanasiasa walioongoza harakati za kupambana na ufisadi katika majukwaa ya kisiasa, wakati huu Serikali ikichukua hatua za wazi na haraka kukabiliana na ubadhirifu wa mali za umma, umeibua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRENI YA MIZIGO YAANGUKA HUKO DODOMA NA HAYA NDIYO YALIYOWAKUTA ABIRRIA ZAIDI...

ABIRIA zaidi ya 1000 waliyokuwa wakisafiri na treni ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), jana wamekwama mkoani Dodoma na kushindwa kuendelea na safari kutokana kuanguka treni ya mizigo kati ya Kituo cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI SEFUE: MAAGIZO YA RAIS MAGUFULI HAYAVUNJI SHERIA YA UNUNUZI

Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema maagizo ya Rais  Magufuli kutaka fedha zilizokuwa zitumike kwa matumizi yasiyo ya lazima, kupelekwa katika miradi mbalimbali ya maendeleo nchini,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HERE ARE ALL TANZANIA NEWSPAPERS THIS MONDAY DEC 07,2015, FOR HARD NEWS,...

Here are all Tanzania Newspapers This Munday December 07,2015, For hard news, Gossip News and sports news.......................................

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZ!!!! MAGUFULI ATEKA KAMPENI ZA URAIS UGANDA KWA...

Kasi ya Rais John Magufuli katika kubana matumizi yasiyo ya lazima ya serikali ili fedha zinazookolewa zielekezwe katika kuimarisha huduma za jamii imeendelea kuvutia wengi katika nchi jirani za Afrika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA KUPIGA KAMBI MAALUMU JIJINI ARUSHA KUPIGANIA USHINDI WA GODBLESS LEMA

Aliyekuwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, anatarajiwa kuanza kambi nzito jijini Arusha kuanzia keshokutwa (Jumatano) kwa nia ya kuhakikisha kuwa mgombea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFISA FORODHA WA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA) ATIWA MBARONI KWA KURUHUSU...

POLISI mkoani Rukwa inamshikilia Ofisa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Michael Mwingira ili kusaidia uchunguzi wa magogo 665 na mbao za mti wa mkurungu vilivyokuwa vinasafirishwa kinyume...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU TAMISEMI AKAGUA MIUNDOMBINU YA MFUMO WA MABASI YAENDAYO HARAKA

Katibu Mkuu Ofisini ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. Jumanne Sagini (kushoto) akimweleza jambo Mwenyekiti wa Kampuni ya UDA-RT, Bw. Robert Kisena...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIAMA CHA WALIOTOROSHA MAKONTENA 2431 KIMEKARIBIA.....MAJINA YAO YAMESHATUA...

Baada ya moto kuwawakia watumishi wa Mamlaka ya Mapato wanaotuhumiwa kujihusisha na ukwepaji kodi wa kifisadi kwenye Bandari Kavu (ICDS) na kupelekea wanane kati ya watuhumiwa 37 kufikishwa mahakamani,...

View Article
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live