AFISA ARDHI MOROGORO KAPEWA SIKU 14 ZA KUJIELEZA KWA NINI ASIFUKUZWE KAZI
Katibu mkuu ofisi ya Waziri mkuu (TAMISEMI) Jumanne Sagini ametoa siku 14 kwa afisa ardhi, mhandisi wa majengo na Afisa mipango miji manispaa ya Morogoro kuandika maelezo ya kwanini wasifukuzwe kazi...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI ATOA SIKU SABA KWA WAFANYABIASHARA WAKWEPA KODI.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli amewapa siku saba kuanzia tarehe 03/12/2015 wafanyabiashara wote ambao waliingiza mizigo yao bila kulipa kodi wakalipe kwani baada ya hapo...
View ArticleBREAKING NEWS: WAZIRI MKUU AFANYA TENA ZIARA YA KUSHTUKIZA BANDARINI NA...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya ziara nyingine ya kushtukiza bandarini na kukagua mfumo wa upokeaji na utoaji mizigo na utozaji wa malipo baada ya kupewa taarifa kwamba kuna makontena 2,431...
View ArticleMWANASHERIA MKUU AWAKANA WAKUU WA MIKOA WANAOSITISHA LIKIZO ZA WATUMISHI
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju amezungumzia suala la wakuu wa mikoa kutoa matamko ya kusitisha likizo za watumishi wa umma kwa kuwataka wafanye kazi tu.Akizungumza jijini Dar es Salaam...
View ArticleHERE NEWSPAPER TODAY FRIDAY DEC, 04.2015 FOR STORY INFORMATION,GOSSIP SPORTS...
HERE NEWSPAPER TODAY FRIDAY DEC, 04.2015 FOR STORY INFORMATION,GOSSIP SPORTS HARD NEWS.....................................
View ArticleMAGUFULI: SIJACHANGIWA NA MFANYABIASHARA YEYOTE KUINGIA IKULU… PIA ALITOA...
Rais Dk. John Magufuli, amesema hakuna mfanyabiashara aliyemchangia kumuwezesha kuingia Ikulu katika kampeni za uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu, ili aweze kusimamia ipasavyo makusanyo ya kodi kwa...
View Article[AUDIO] KAULI YA JANUARI MAKAMBA KUHUSU KUMKEJELI RAIS MAGUFULI
January Makamba ameamua kutoa ufafanuzi wa picha mbalimbali zilizowekwa katika akaunti yake ya Instagram ambazo zinadaiwa kumkashfu Rais Magufuli baada ya kumnyima Uwaziri Mkuu.Katika utetezi wake,...
View ArticleZARI AMTAFUTIA DOGO WA DIAMOND MCHUMBA MAARUFU KAMAA ‘HARMONIZE’…DEMU HUYO NI...
Zarinah Hassan ‘Zari’.Mpenzi wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ anadaiwa kumkuwadia dogo anayeishi na kufanya kazi ya muziki na Diamond, Rajabu Abdulkhali ‘Harmonize’ kwa...
View ArticleNYOTA WA FILAMU NCHINI, WASTARA JUMA. NA YEYE KAANZA USAGAJI...TAZAMA PICHA HAPA
Nyota wa filamu nchini, Wastara Juma.Jinamizi la usagaji limetua kwa nyota wa filamu nchini, Wastara Juma baada ya dada aliyefahamika kwa jina moja la Marry, ambaye awali alimsaidia katika matibabu,...
View ArticleNEWS ALERTS!!!! GARI LA MAGAZETI YA MWANANCHI LAPATA AJALI....WAWILI WAFARIKI...
WATU wawili wamefariki dunia Papo hapo baada ya Gari walilokuwa wakisafiria lililobeba Magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti kwenda mkoani mkoani Mbeya kupata ajali Eneo la Kitonga Wilaya ya...
View ArticleTAHADHARI KUHUSU KUINGILIA AU KUFUATILIA MAWASILIANO YA WATU
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIAISO 9001:2008 CERTIFIEDTAARIFA KWA UMMATAHADHARI KUHUSU KUINGILIA AU KUFUATILIA MAWASILIANO YA WATU***Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa za kuwepo kwa...
View ArticleMAGUFULI AITAKA TRA KUTOA MASHINE ZA EFDS BURE.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, ameishangaa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kutogawa bure Mashine za EFDs, na wao kubaki na kazi ya kukusanya mapato.Akizungumza katika...
View ArticleWATUHUMIWA 8 WA UPOTEVU WA MAKONTENA 349 WAFIKISHWA MAHAKAMANI
WATUHUMIWA nane wa upotevu wa makontena 349 yaliyovushwa Bandarini ya Dar es Salaam bila kulipiwa kodi, miongoni mwao akiwemo Kamishna wa Kodi na Forodha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Tiagi...
View ArticleUPDATES!!! VIGOGO TRA WAKUTWA NA MAMILIONI NYUMBANI KWAO
Siku chache baada ya kigogo mmoja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kubainika kumiliki nyumba 73, wafanyakazi wengine wa mamlaka hiyo wamekutwa na mamilioni ya shilingi waliyoficha majumbani...
View ArticleKASI YA RAIS MAGUFULI HAIKO KWENYE MAKONTENA BANDARINI TU, IMEPITA NA TFF...
Ikiwa bado siku moja Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli atimize mwezi mmoja toka aapishwe kuwa Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, tumeshuhudia mengi...
View ArticleTRA YAKUSANYA BILIONI 5 ZA KODI YA MAKONTENA 329......WAFANYAKAZI 35...
BAADA ya Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa kufanya ziara ya kushitukiza katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kubaini upotevu wa Makontena 329, mapya yaibuka kwa Makampuni 43 kuhusika kukwepa kodi ya...
View ArticleBREAKING NEWZZZZ!!!! RAIS MAGUFULI AMTEUA VALENTINO MLOWOLA KUWA NAIBU...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John P. Magufuli, amemteua Valentino Mlowola, kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Lilian Mashaka aliyeteuliwa kuwa Jaji...
View ArticleWATUHUMIWA 8 WA UPOTEVU WA MAKONTENA 349 WAFIKISHWA MAHAKAMANI
KASI ya utendaji kazi wa Rais Dk.John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Majaliwa Kasim Majaliwa imeanza kuwagusa baadhi ya watendaji wa Serikali baada ya maofisa wanane wa Mamlaka ya Mapato Tanzania...
View ArticleHAKIELIMU YAMZIMA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE
TAASISI isiyo ya kiserikali ya HakiElimu leo imezindua ripoti iliyobainisha madudu yaliyofanywa katika utawala wa Awamu ya Nne chini ya Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete.Ndani ya ripoti hiyo iliyobeba miaka...
View Article