Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

[AUDIO] KAULI YA JANUARI MAKAMBA KUHUSU KUMKEJELI RAIS MAGUFULI

$
0
0

January Makamba ameamua kutoa ufafanuzi wa picha mbalimbali zilizowekwa katika akaunti yake ya Instagram ambazo zinadaiwa kumkashfu Rais Magufuli baada ya kumnyima Uwaziri Mkuu.

Katika utetezi wake, Makamba amesema picha hizo hakuziweka yeye bali ziliwekwa na vijana wengine ambao ilibidi awatafute wampe ufafanuzi wa picha hizo baada ya kuzua gumzo mitandaoni na katika baadhi ya magazeti 

Hizi ndo Picha alizoweka ambazo zinadaiwa kumkejeli Rais Magufuli.
Picha hii inaonyesha   sokwe mtu wakiwa wamevalia suti  na  huyo mtu anayeonekana kurukia kamba huku nyuma ana mkia lakin akiwa amevalia kaptula peke yakePicha hii inaonyesha Nguruwe wakiwa wamepewa heshima ya zulia jekundu ambayo ni heshima ya kipekee anayopewa binadam pekee 
 Picha hii inamuonyesha mtu akiwa amewasha moto kwa kutumia kuni ambazo chanzo chake ni ngazi anayotakiwa kutumia kutokea nje ( juu ) 
  
Msikilize January Makamba akiongea hapo chini


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

Trending Articles