Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

SHIRIKA LA UMEME NCHINI, TANESCO LIMEBAINI WIZI WA UMEME NYUMBANI KWA WEMA SEPETU

$
0
0

Shirika la Umeme nchini, Tanesco limebaini wizi wa umeme nyumbani kwa Wema Sepetu.
 
Mafundi wa shirika hilo waliambatana na waandishi wa habari hadi kwenye nyumba hiyo na kubaini kuwa umeme unaingia moja kwa moja kwenye nyumba bila kupita kwenye mita.
 
Wakati mafundi hao wameingia nyumba hiyo walimkuta Idris Sultan ndani aliyejaribu kuwasihi wasiukate umeme.

Kukutwa kwa Idris kwenye nyumba hiyo kumetia mafuta zaidi tetesi za kuwa wawili hao wana uhusiano.

Tazama Video Hapa Chini


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2674

Trending Articles